Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?

  • Total voters
    710
Ningekubali kwamba Dunia ni tufe ila mpaka leo sijawahi kuona exactly point/location ambayo Dunia inaanza ku curve.
Ficha ujinga wako!! Ww unaweza kunionesha exactly point curvature inapoanzia kutokea kwenye Mpira?? Every point is a curvature.
 
Kati ya Mimi naww nani Hana akili? Mars inakiwango kidogo sanaaaa, Cha maji(liquid water), sasa unataka iwe kama frozen Kwa sababu zipi?
Sasa nani aliyekuambia kwamba ili sehem tuseme ipo frozen ni mpaka kuwe na kiwango kikubwa cha Maji?

Water is not a requirement for a planet to be frozen. Any planet or moon with sufficiently low temperatures can freeze other substances depending on its composition, such as methane, nitrogen, or carbon dioxide. While frozen water is common and significant for discussions of habitability, frozen worlds can exist without any water at all.
 
Hahahaaa!! Ramani lazima iwe kwenye flat surface

Kwann unijibu maneno ya hovyoo!! Umeishiwa hoja au?, Mimi sishindi ila ukweli unashinda
Ramani ni flat cause Dunia yenyewe ni flat pia,.. kwani wewe ukiambiwa utengeneze ramani ya Afrika Mashariki utaonyesha na curvature humo ndani?

au ukichora ramani ya Tanzania utahusisha na curve cause Zanzibar ipo below the earth's curvature., Hahh
 
Mwisho wa Dunia tambarare haujulikani,. hata mwisho wa Dunia tufe pia haujulikani.

Ningekubali kwamba Dunia ni tufe ila mpaka leo sijawahi kuona exactly point/location ambayo Dunia inaanza ku curve.
Sentensi yako ilikua ielezee kuwa haujui na sio haijulikani

Akili zako unataka ufananishe na watu Billion 7 tuliopo Duniani, fikra duni kabisa hizi
 
Kuna mwenzako hapo anasema kwenye Dunia tufe Every point is a curvature.,....nikamuuliza "hapo ulipo pia kuna mkunjo(curve)?....."

Mpaka sasa hajarudi anatafakari,..
 
Ndio kila sehemu ni curvature, But huwezi kuona kwasababu wewe ni tiny sana kuliko sehemu ya Dunia
 
Kwahiyo unaamini hapo ulipo kuna mkunjo,..ila kwa kuwa wewe ni tiny sana ndiyo maana huoni huo mkunjo?

Basi sawa,.
 
ll

Nikuulize swali,

Japo ni swali ambalo haliendani na mada husika ila nataka uelewe jambo litakalokupa mwanga

Assume bacteria ana macho na ufahamu kama wa kwako binadamu,

Unadhani bacteria aliepo kwenye ngozi au mwili wa binadamu anaweza kuliona umbo zima la binadamu ?
 
Siwezi kutoa jibu la moja kwa moja,.. cause Bacteria kuona au kutokuona umbo zima la Binadamu itategemea na intelligence waliyo nayo..,

Wewe unaweza ukadhani kwamba kiumbe kidogo kama Bacteria kina uoni na intelligence hafifu,.lakini ukifanya uchunguzi unaweza ukapata majibu tofauti na unavyofikiria.
 
Acha majibu ya kisiasa,
 
Shida yako ni kuwa haupo tayari kwajili ya kujifunza, Lengo lako kuu ni kushinda kila hoja wala haupo tayari kuielewa hoja ya mtu

HAPA HATUSHINDANI
 
Lakini kupitia majibu yako haya,

Nataka nikwambie hivi, Kama ambavyo wewe unadhani kuhusu uwezo wa binadamu kuwa ni mdogo kiasi kwamba huamini kuhusu teknolojia ambazo zinatuonyesha kila siku maumbo ya Dunia na unaita ni CGI

Basi fanya uchunguzi wako vizuri utakuja kupata majibu tofauti na ambayo umekua ukifirikia siku zote za maisha yako
 
Ramani ni flat cause Dunia yenyewe ni flat pia,.. kwani wewe ukiambiwa utengeneze ramani ya Afrika Mashariki utaonyesha na curvature humo ndani?
Sasa nchi zote zitaonekana vipi??😃😃 Akili akili akili
au ukichora ramani ya Tanzania utahusisha na curve cause Zanzibar ipo below the earth's curvature., Hahh
Projection!! Projection!! Elimu huna kuhusu kitu kaa kimya!!
 
Shida yako ni kuwa haupo tayari kwajili ya kujifunza, Lengo lako kuu ni kushinda kila hoja wala haupo tayari kuielewa hoja ya mtu

HAPA HATUSHINDANI
Hapana mkuu,..mimi lengo langu kujifunza ndiyo maana huwa napenda kuuliza maswali kwenye vitu vinavyotatiza,..

Lengo kubwa ni kujifunza,..maana hakuna chochote mtu ataongeza kwa kushinda mjadala.
 
Sasa nani aliyekuambia kwamba ili sehem tuseme ipo frozen ni mpaka kuwe na kiwango kikubwa cha Maji?
Duuh!! Wewe umeongelea ujangwa, na kuhoji kwann hapako frozen!! Sasa kama hakuna kiasi kikubwa Cha maji unategemea kutakuwa ice nyingi kama Antarctica?? Unajua kwenye hiyo Sayari rainfall huwa ni frozen water lkn Kwa kiasi kidg sana??
Water is not a requirement for a planet to be frozen. Any planet or moon with sufficiently low temperatures can freeze other substances depending on its composition,
Kwahy nini kingine kinaweza kifroze??
such as methane, nitrogen, or carbon dioxide.
Sasa oxygen na hivyo vingne vikifroze kutakuwa na barafu???
While frozen water is common and significant for discussions of habitability, frozen worlds can exist without any water at all.
Ujangwa wa hiyo Sayari ni Kwa sabab hakuna mimea iliyopo huko, yaan hakuna life
 
Kuna mwenzako hapo anasema kwenye Dunia tufe Every point is a curvature.,....nikamuuliza "hapo ulipo pia kuna mkunjo(curve)?....."

Mpaka sasa hajarudi anatafakari,..
😃😃😃 Wakat ww upo humu na kujibu hoja zangu umeshindwa et huna muda, me nimeshamalizana naww kama ulivyosema awali kuwa NIMESHINDA,
 
Lakini kupitia majibu yako haya,

Nataka nikwambie hivi, Kama ambavyo wewe unadhani kuhusu uwezo wa binadamu kuwa ni mdogo kiasi kwamba huamini kuhusu teknolojia ambazo zinatuonyesha kila siku maumbo ya Dunia na unaita ni CGI

Basi fanya uchunguzi wako vizuri utakuja kupata majibu tofauti na ambayo umekua ukifirikia siku zote za maisha yako
Mimi nipo flexible,..nikipata uthibitisho ambao utafuta mashaka yangu juu ya kwamba Dunia ni tufe na inazunguka,..basi nitabadili mtazamo wangu hata sasa hivi.
 
Back
Top Bottom