The celebrity
JF-Expert Member
- Jul 9, 2020
- 1,972
- 559
Si nimekuinesha ukabaki unahaha tu🤣🤣🤣Wewe umeshindwa kuonyesha Dunia iki move then una command jamaa arekodi video ya Jua?,..atleast Jua linaonekana kubadilisha position how about Earth?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si nimekuinesha ukabaki unahaha tu🤣🤣🤣Wewe umeshindwa kuonyesha Dunia iki move then una command jamaa arekodi video ya Jua?,..atleast Jua linaonekana kubadilisha position how about Earth?
Yap generally change in position indicates movement,.. na kwenye scenario ya Dunia, Jua na Mwezi,. object pekee ambayo haionekani hata kubadilisha position ni Dunia.Kubadilika position ni kumove ?
Umenionyesha katuni,..Si nimekuinesha ukabaki unahaha tu🤣🤣🤣
Msingi wa hoja iliyopo ni Dunia na Jua ni kipi kinazunguka gimba lingine,,Yap generally change in position indicates movement,.. na kwenye scenario ya Dunia, Jua na Mwezi,. object pekee ambayo haionekani hata kubadilisha position ni Dunia.
Na hata Sayansi inakubali kwamba Jua lina move,..sasa kama wewe unabisha inabidi ulete habari mpya.
Nithibitishe nini wakati siioni iki move, nasema hai move kwasababu siioni ikifanya hivyo?Msingi wa hoja iliyopo ni Dunia na Jua ni kipi kinazunguka gimba lingine,,
Thibitisha kuwa Dunia haimove na sio akili yako ni ndogo kuelewa mambo,
Usiku na mchana sio uthibitisho kwamba Dunia ina move,. Na mimi nikisema Jua lina move ndiyo maana tunapata usiku na mchana,. still itaeleweka vizuri tu.-Uthibitisho wa kwanza ni usiku na mchana ( Hapa Dunia inakua inafanya rotation, Tumeshakueleza mara nyingi huko nyuma )
Huu pia sio uthibitisho,.. ukitaka ujue kwamba Dunia ipo stationary kuna nchi hazijawahi ku experience msimu wa winter mpaka kuanguka kwa barafu mfano Tanzania,....-Kubadilika kwa majira
Sio uthibitisho,. its just a perspective.-Sunrise and Sunset
Sio uthibitisho,.. Meli zina move horizontally over the ocean without bending toward the curvature.-Ship visibility
Hata Dunia tufe ina kingo,... ushawahi kuziona?Tuonyeshe picha ya kingo za Dunia mjadala uishie hapa
Umenionyesha katuni,..
🤣🤣🤣Sababu za kuwa katuni?Umenionyesha katuni,..
Nimekuomba unambie katika Nadharia yako ya Dunia flat Jua linazunguka vp? Upo kimya🤣🤣🤣🤣Usiku na mchana sio uthibitisho kwamba Dunia ina move,. Na mimi nikisema Jua lina move ndiyo maana tunapata usiku na mchana,. still itaeleweka vizuri tu.
Huu pia sio uthibitisho,.. ukitaka ujue kwamba Dunia ipo stationary kuna nchi hazijawahi ku experience msimu wa winter mpaka kuanguka kwa barafu mfano Tanzania,....
Sio uthibitisho,. its just a perspective.
Sio uthibitisho,.. Meli zina move horizontally over the ocean without bending toward the curvature.
Hapo ndo nimekubali??
Mimi tena au ww?
hateeb10 Rudi hapa hakuna kukimbiaUnatakiwa ujibu kati ya shilling(80g) na maji(20kg) kipi kizito?? Acha siasa
Ni computer generated images,..na sio real pictures🤣🤣🤣Sababu za kuwa katuni?
hateeb10 ndukiii🤣🤣PERSPECTIVE
Katika matumizi ya kawaida Perspective Refers to a point of VIEW or a way of looking things.
Basic Rules of Perspective
•Perspective is how three-dimensional scenes are represented on a two-dimension surface and seen by the human eye.
•Closer objects appear larger than more distant objects.
•Parallel lines appear to converge into the distance
View attachment 3191453
Mfano picha hapo juu👆, concept ya perspective ni kwamba vitu vinavyozodi kuwa mbali na tulipo vinazidi kupungua size until vinameet na Horizon.
Ukiangalia mfano hapo juu msitari wenye rangi nyekundu umeenda kumeet na horizon, lakini kamwe hautashuka chini ya ya horizon hiyo, kitakachotokea hiyo object itaendelea kudiminish untill itavanish.
View attachment 3191458
(Angalia hiyo mistari ya rangi nyekundu kwenye hizo Kona za ukuta, zote zinalingana lakini due to respective utaona line ya mbali fupi)
VIPI KUHUSU JUA?
Katika mazingira ya kawaida huwa tuna observe wakati Jua 'linazama'wakati wa jioni au 'kuchomoza' wakati wa asubuhi.
Je huwa tunaona Jua likiwa na size ndogo?
View attachment 3191461
Jibu ni hapana!!!! Tunaona Jua likichomoza likiwa na size Kubwa(Ile ile) kitu ambacho hakiendani na dhana nzima ya perspective kama FLAT EARTHERS wengi wanavyodai.
Tazama "Time Lapse" photo ikionesha sun setting. Flat Earth model inadai kwamba hii ni ILLUSION.
View attachment 3191467
Tazama picha ya pili hii👇, ikionesha taa za barabarani; unaonesha jinsi ILLUSION inasababishwa na PERSPECTIVE in the same way na unaona jinsi taa zinavyokaribia Horizon kadri zinavyoenda mbali zaidi.
View attachment 3191471
Hapa tunaona Kuna tatizo!!!!!😎🤔
Taa za barabarani tunaona zinapungua size kadri zinavyokuwa mbali na tulipo kama tu jinsi PERSPECTIVE inafanya kazi.
Kwa upande mwingne tunaona Jua halipungui size yake, linabaki vile vile popote liwapo kwenye anga.
So, If the sunset was caused by perspective the Sun would gradually appear smaller until it became too small to see at or near the horizon. Instead you can see that its size remains constant until it moves below the horizon bottom first.
HOPE YOU ALL UNDERSTAND!!!!!!!!!!!!!!
hateeb10 Chosen Rich Poor Brain
hateeb10 NdukiiiSHIP VISIBILITY
HiI observation mara nyingi tunaweza kuiona tunapoenda ufukweni mwa bahari.
Utaobserve Meli iki disappear from the bottom baadae inapotea yote.
FLAT EARTHERS CLAIMS!!
Kwa mujibu wa flat Earthers ni kwamba tunaona vile Kwa sababu ya ukomo wa tunavyoweza kuona. Kwa maana kwamba Kuna distance inafikia hatuwezi kuona tena.
Okay!!😎
Just observe this👇
, View attachment 3191482
Hapo unaweza kuona Meli iliyokaribu unaonekana vizuri ukilinnganisha na meli iliyombali.
Kimsingi meli iliyombali inainekana only at the top side, na sio bottom side. Ukirejea maelezo ya Flat earth kuwa ni ukomo wa macho kuona, Sasa kwanini meli yote isipotee kutokana na ukomo wa macho badala yake inaonekana juu tu?????????
hateeb10 Chosen Rich Poor Brain
hateeb10 Rudi hapaGREAT CIRCLE ROUTES
Is the shortest course between two points on the surface of a sphere.
Yaani hii ni route fupi zaidi kwenye uso wa tufe.
View attachment 3191494
Kwa mfano angalia picha chini👇, route kutoka Madrid mpaka New York.
View attachment 3191497
Utaona Kwa kawaida kwenye map route fupi itakuwa ni ya msitari mnyoofu, lkn kiuhalisia hiyo line nyingine iliyocurve ndio route fupi zaidi. Why? Kwenye sphere hiyo ndio route fupi zaidi lkn kwenye flat surface,(map) huonekana kama ndefu.
View attachment 3191499
👆👆 Hii juu ni route fupi zaidi inayotumiwa na ndege kuliko hii👇👇
View attachment 3191500
View attachment 3191501
Hii piaa👆👆 na sio hii👇👇
View attachment 3191502
Thibitisha usemachoNi computer generated images,..na sio real pictures
Chukua hata wwSiku hizi kuna teknolojia ya drones,.. kwanini isichukuliwe drone moja izunguke tufe zima tumalize utata?....
Chukua ww uzungushe.....au kwa ukubwa wa Dunia hakuna Drone itakayoweza kufanya hivyo?
Nani kakwambia haiwezekani??🤣🤣Kama haiwezekani kupata ushahidi basi usilaumu watu wanaoendelea kuhoji,..sio kwamba hawana akili ni kwasababu hawajapata uthibitisho wa kuridhisha,.
sasa hiyo hoja si tulishamaliza kitambo sana?.....Density na Weight! kitu kinaweza kikawa na weight kubwa kuliko kingine ila density ikafanya chenye uzito mkubwa kielee na chenye uzito mdogo kizame kulingana na msongamano pamoja na volume ya chembechembe kwenye object husika......hateeb10 Rudi hapa hakuna kukimbia
Hujajibu swalisasa hiyo hoja si tulishamaliza kitambo sana?.....Density na Weight! kitu kinaweza kikawa na weight kubwa kuliko kingine ila density ikafanya chenye uzito mkubwa kielee na chenye uzito mdogo kizame kulingana na msongamano pamoja na volume ya chembechembe kwenye object husika......
still huoni gravity ikihusika,..labda ulazimishe
Huwa unachekesha sana hahaNithibitishe nini wakati siioni iki move, nasema hai move kwasababu siioni ikifanya hivyo?
Wewe unaesema Ina move ndiyo unatakiwa uthibitishe,..au akili yako ni ndogo kuelewa mambo?
Na mimi nikisema Jua lina move ndiyo maana tunapata usiku na mchana,. still itaeleweka vizuri tu.
Yani wewe unaleta haya madai alafu unaniuliza mimi swali kama nmewahi kuziona,Hata Dunia tufe ina kingo,... ushawahi kuziona?
Natamani nikueleweshe kuhusu hiyo great circle route na jinsi hata wewe unavyoweza ku apply kwenye maisha yako ya kila siku,..ila naona itachukua muda sana,.....hateeb10 Rudi hapa