Hahh basi haina haja ya kuchambua mifano yote,..Hapana!! Sitakubali Wala kukataa Moja Kwa moja. Bali Nitajibu!! Kama nilivyojibu kwenye huo mfano mmoja uliochambua
Nimekujibu,..au hujaona subiri nikuonyesheNimekuuliza swali, kwann baba mwingine sio baba ako?? Naona hujajibu Kwa sabab ni maswali ya kijinga
Hukuiona hii The celebrity ⬆️Kwasababu Baba mwingine sio Baba yangu,.
Unataka nikubali tu hata kama Kuna kasoro???Hahh basi haina haja ya kuchambua mifano yote,..
Hapa mtu akisoma atajua mimi na wewe nani lengo lake kujifunza na nani lengo lake ajione ameshinda.
Onyesha maybe sijaonaNimekujibu,..au hujaona subiri nikuonyeshe
Kwann baba mwingine sio baba ako??Kwasababu Baba mwingine sio Baba yangu,.
Senses zako umesema haziwezi kuhisi unapokua unavutwa,...Unataka nikubali tu hata kama Kuna kasoro???
Kwasababu hana vigezo vya kuwa Baba yangu.Kwann baba mwingine sio baba ako??
Nimekupa mifano, umesema uchambue chambua mbona unazunguka??Senses zako umesema haziwezi kuhisi unapokua unavutwa,...
sasa huoni kwamba inabidi umuone daktari?
Kwann Hana vigezo vya kuwa baba yako?Kwasababu hana vigezo vya kuwa Baba yangu.
Kwasababu vigezo vya kuwa Baba wa mtoto husika ndiyo vile tulivyosema mwanzo,..rejea kuhusu Baba na mbegu zenye taarifa za mtoto husika.Kwann Hana vigezo vya kuwa baba yako?
Wote tumezaliwa tumeikuta gravity, miili yetu imeadopt hivyo, ni sawa na samaki majini hawezi kuhisi uzito wa maji kama jinsi ww utakavyokuwa ndani ya majiSenses zako umesema haziwezi kuhisi unapokua unavutwa,...
sasa huoni kwamba inabidi umuone daktari?
Hujajibu swali husika!! Soma maelezo yako vzr. Hapa umeelezea vigezo vya kuwa baba wa mtoto husika, hujajibu kwann Hana vigezo!!!Kwasababu vigezo vya kuwa Baba wa mtoto husika ndiyo vile tulivyosema mwanzo,..rejea kuhusu Baba na mbegu zenye taarifa za mtoto husika.
Hahh kasongo,..Wote tumezaliwa tumeikuta gravity, miili yetu imeadopt hivyo, ni sawa na samaki majini hawezi kuhisi uzito wa maji kama jinsi ww utakavyokuwa ndani ya maji
Una shida ya kuelewa,.. ulisema kwanini Baba mwingine hana vigezo,..nikakupa sababu ya huyo Baba mwingine kukosa vigezo ni kwasababu hajahusika kwenye mchakato wa mbegu,...sasa kama hujaelewa inabidi uende Tuition.Hujajibu swali husika!! Soma maelezo yako vzr. Hapa umeelezea vigezo vya kuwa baba wa mtoto husika, hujajibu kwann Hana vigezo!!!
Mfano: vigezo vya kusoma chuo kikuu lazima uwe umemaliza form 4 Kwa ufaulu, Sasa nikikuuliza kwann huna vigezo vya kusoma chuo, ukinijibu kwasabab vigezo vya kuingia chuo ni a b c, utakuwa hujajibu swali
Unauliza kama mtoto mdogo!! Samaki ameadopt mazingira hayo tangu anaanza uhai wake, hawezi kuhisi hicho kitu, ni sawa naww unavyovuta hewa ni mpaka u concentrate ndio utahisi unavuta hewa lkn ukiwa busy na mambo yako hutaina hiyo hisiaHahh kasongo,..
Miili yetu ime adopt? wewe umejuaje kama Samaki majini hawawezi kuhisi uzito wa maji? lini walikuambia hawawezi kuhisi uzito wa maji.
Hayo ni maneno yakoumeamua kukubali tu blindly kuhusu gravity,..hizo nyingine unazofanya ni assumptions.
Kwa hiyo kwa akili yako ndogo unadhani evolution haipo?Wewe unaejua mbona unashindwa kuthibitisha mambo madogo tu,...Thibitisha Dunia ni tufe na ina move?
Kama watu walipata ujasiri wa kuingiza kwenye mitaala ya elimu na kuwafundisha EVOLUTION THEORY,.. basi usijiaminishe kwamba kila unachofundishwa ni 100% truth.
Awali hukujibu hivi😃😃Una shida ya kuelewa,.. ulisema kwanini Baba mwingine hana vigezo,..nikakupa sababu ya huyo Baba mwingine kukosa vigezo ni kwasababu hajahusika kwenye mchakato wa mbegu,...sasa kama hujaelewa inabidi uende Tuition.
Hakuna uoga,..mjadala upo fair kabisa.hateeb10
Tuwe fair and square, jibu hoja zangu za awali😃😃, Mimi najibu hoja zako, usiwe muoga kujifunza