Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?

  • Total voters
    710
Hapana!! Sitakubali Wala kukataa Moja Kwa moja. Bali Nitajibu!! Kama nilivyojibu kwenye huo mfano mmoja uliochambua
Hahh basi haina haja ya kuchambua mifano yote,..

Hapa mtu akisoma atajua mimi na wewe nani lengo lake kujifunza na nani lengo lake ajione ameshinda.
 
Senses zako umesema haziwezi kuhisi unapokua unavutwa,...

sasa huoni kwamba inabidi umuone daktari?
Wote tumezaliwa tumeikuta gravity, miili yetu imeadopt hivyo, ni sawa na samaki majini hawezi kuhisi uzito wa maji kama jinsi ww utakavyokuwa ndani ya maji
 
Kwasababu vigezo vya kuwa Baba wa mtoto husika ndiyo vile tulivyosema mwanzo,..rejea kuhusu Baba na mbegu zenye taarifa za mtoto husika.
Hujajibu swali husika!! Soma maelezo yako vzr. Hapa umeelezea vigezo vya kuwa baba wa mtoto husika, hujajibu kwann Hana vigezo!!!

Mfano: vigezo vya kusoma chuo kikuu lazima uwe umemaliza form 4 Kwa ufaulu, Sasa nikikuuliza kwann huna vigezo vya kusoma chuo, ukinijibu kwasabab vigezo vya kuingia chuo ni a b c, utakuwa hujajibu swali
 
Wote tumezaliwa tumeikuta gravity, miili yetu imeadopt hivyo, ni sawa na samaki majini hawezi kuhisi uzito wa maji kama jinsi ww utakavyokuwa ndani ya maji
Hahh kasongo,..

Miili yetu ime adopt? wewe umejuaje kama Samaki majini hawawezi kuhisi uzito wa maji? lini walikuambia hawawezi kuhisi uzito wa maji.

umeamua kukubali tu blindly kuhusu gravity,..hizo nyingine unazofanya ni assumptions.
 
Hujajibu swali husika!! Soma maelezo yako vzr. Hapa umeelezea vigezo vya kuwa baba wa mtoto husika, hujajibu kwann Hana vigezo!!!

Mfano: vigezo vya kusoma chuo kikuu lazima uwe umemaliza form 4 Kwa ufaulu, Sasa nikikuuliza kwann huna vigezo vya kusoma chuo, ukinijibu kwasabab vigezo vya kuingia chuo ni a b c, utakuwa hujajibu swali
Una shida ya kuelewa,.. ulisema kwanini Baba mwingine hana vigezo,..nikakupa sababu ya huyo Baba mwingine kukosa vigezo ni kwasababu hajahusika kwenye mchakato wa mbegu,...sasa kama hujaelewa inabidi uende Tuition.
 
Hahh kasongo,..

Miili yetu ime adopt? wewe umejuaje kama Samaki majini hawawezi kuhisi uzito wa maji? lini walikuambia hawawezi kuhisi uzito wa maji.
Unauliza kama mtoto mdogo!! Samaki ameadopt mazingira hayo tangu anaanza uhai wake, hawezi kuhisi hicho kitu, ni sawa naww unavyovuta hewa ni mpaka u concentrate ndio utahisi unavuta hewa lkn ukiwa busy na mambo yako hutaina hiyo hisia
umeamua kukubali tu blindly kuhusu gravity,..hizo nyingine unazofanya ni assumptions.
Hayo ni maneno yako
 
Wewe unaejua mbona unashindwa kuthibitisha mambo madogo tu,...Thibitisha Dunia ni tufe na ina move?

Kama watu walipata ujasiri wa kuingiza kwenye mitaala ya elimu na kuwafundisha EVOLUTION THEORY,.. basi usijiaminishe kwamba kila unachofundishwa ni 100% truth.
Kwa hiyo kwa akili yako ndogo unadhani evolution haipo?
 
Una shida ya kuelewa,.. ulisema kwanini Baba mwingine hana vigezo,..nikakupa sababu ya huyo Baba mwingine kukosa vigezo ni kwasababu hajahusika kwenye mchakato wa mbegu,...sasa kama hujaelewa inabidi uende Tuition.
Awali hukujibu hivi😃😃

Sasa kwann hajahusika kwenye mchakato wa mbegu?
 
hateeb10
Tuwe fair and square, jibu hoja zangu za awali😃😃, Mimi najibu hoja zako, usiwe muoga kujifunza
Hakuna uoga,..mjadala upo fair kabisa.

Ishu ya gravity,.tumemaliza.

Ishu ya kwamba video na picha za uthibitisho ulioweka wa Dunia tufe inayozunguka ni katuni,..pia tumeimaliza.
 
Back
Top Bottom