Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?

  • Total voters
    710
Hakuna uoga,..mjadala upo fair kabisa.

Ishu ya gravity,.tumemaliza.

Ishu ya kwamba video na picha za uthibitisho ulioweka wa Dunia tufe inayozunguka ni katuni,..pia tumeimaliza.
Sio hoja hizo!! Na hujazimalizaπŸ˜ƒπŸ˜ƒ, ngoja nikukumbushe hoja zangu
 
hateeb10 hoja nazoongelea ni hizi
 
hateeb10 hiziii
 
hateeb10 hiziii
 
Ngoja nimalizie na hoja hii,.... kwanza kabisa kwenye maelezo yako kuna sehemu umeamua kutuongopea, tazama maelezo yako hapa πŸ‘‰ "Kwa upande mwingne tunaona Jua halipungui size yake, linabaki vile vile popote liwapo kwenye anga."........
Hapo tayari hoja yako imepoteza credibility na unatupa kazi ya kukufundisha kwamba even though actually size ya Jua haibadiliki,..lakini sisi tunavyoliangalia kuna muda tunaliona kubwa/dogo kutokana na optical illusions........ pitia kidogo hapa
Horizon Illusion (Appears Larger): When the Sun is near the horizon during sunrise or sunset, it often appears larger than when it is high in the sky. This is a psychological effect known as the "Moon Illusion," which applies to the Sun as well. The Sun looks larger because our brain compares it to objects on the horizon, such as trees or buildings.
Zenith Illusion (Appears Smaller): When the Sun is directly overhead (at the zenith), it appears smaller. This is because there's no reference point in the sky to compare its size against.
2. Atmospheric Refraction:
Near the Horizon (Appears Larger): This occurs due to bends of light from the Sun near the horizon,

Kwahiyo unaposema Size ya Jua hatuoni ikipungua/kuongezeka sio kweli,....

Sasa baada ya kujifunza, jiulize Kama tunaona Jua likiwa kwenye size tofauti, Je ni kweli actual size ya Jua huwa inabadilika au its just a perspective illusion? ukipata majibu rudi hapa.
 
GREAT CIRCLE ROUTES
Is the shortest course between two points on the surface of a sphere.
Yaani hii ni route fupi zaidi kwenye uso wa tufe.
View attachment 3191494

Kwenye ishu ya Great circle route, flat earth map ndiyo inatumika,...sasa unapoweka picha ya Dunia tufe unapoteza maana,.

Lete ramani inayotumiwa na pilots ili tujue jinsi great circle route inavyokuwa applied kwenye uhalisia.
 
Asante Kwa kunirekebisha!! Point yangu ilikuwa halipungui kama perspective iilivyo, unaweza kuendelea!!
 
Nahisi hujui maana ya great circle, au nimekosea?? Maana unavyoelezea inainesha wazi kabisa hujui..
 
Umesema zipo nyingi πŸ˜ƒπŸ˜ƒ maana yake unazijua, naomba Moja kati ya hizo nyingi
Mimi najua possible reasons tu,.so nitakujibu kwa assumptions.

Ila ukimuuliza muhusika atakujibu sababu 1 au 2 ya uhakika,....kama wewe una akili timamu unadhani ni mtu gani sahihi kumuuliza hapo?
 
Kwenye ishu ya Great circle route, flat earth map ndiyo inatumika,...sasa unapoweka picha ya Dunia tufe unapoteza maana,.
Point yangu Kubwa ni kuwa kwenye ramani(ambayo ni lazima iwe flat) huwa tunaitumia hii route na ni fupi, lkn ukiangalia kwenye hiyo ramani inaonekana ni ndefu kuliko Ile nyingine ambayo ipo direct, na jibu ni kwamba Kwa sabab Dunia ni duara, hiyo ramani ukiirudisha kwenye uduara wake itakupa picha halisi kwann ni route fupi
Lete ramani inayotumiwa na pilots ili tujue jinsi great circle route inavyokuwa applied kwenye uhalisia.
 
Asante Kwa kunirekebisha!! Point yangu ilikuwa halipungui kama perspective iilivyo, unaweza kuendelea!!
Nishamaliza,....mwisho nilisema kwamba "Sasa baada ya kujifunza, jiulize Kama tunaona Jua likiwa kwenye size tofauti, Je ni kweli actual size ya Jua huwa inabadilika au its just a perspective illusion? ukipata majibu rudi hapa........"

Umepata majibu gani? maana nilisema ukishapata majibu ndiyo tuendelee.
 
Mimi najua possible reasons tu,.so nitakujibu kwa assumptions.

Ila ukimuuliza muhusika atakujibu sababu 1 au 2 ya uhakika,....kama wewe una akili timamu unadhani ni mtu gani sahihi kumuuliza hapo?
1. Nipe hizo possible reasons
2. Kwann nimuulize muhusika?
 
Nishamaliza,....mwisho nilisema kwamba "Sasa baada ya kujifunza, jiulize Kama tunaona Jua likiwa kwenye size tofauti, Je ni kweli actual size ya Jua huwa inabadilika au its just a perspective illusion? ukipata majibu rudi hapa........"
Unaniuliza tena mm??πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
Umepata majibu gani? maana nilisema ukishapata majibu ndiyo tuendelee.
Hilo swali ni lako nimekuuliza wewe, wewe ndio ulisema Jua halizami ila ni perspective na rules za perspective ni pamoja na kupungua Kwa size mpk kitu linapotea, nikakuuliza je Jua huwa linapungua size mpk linabaki size ndogo hadi kupotea??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…