Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?


  • Total voters
    710
1. Huna uthibitisho kwamba Dunia ni Duara.
2. Hakuna haja ya kuirudisha kwenye utufe,... Dunia ipo flat kama unavyoiona,...
Auguste Piccard, the Swiss physicist and inventor who was the first to reach the stratosphere in a pressurized gondola, made observations about the Earth's appearance during his record-breaking ascent in 1931. Piccard reportedly described the Earth's shape as: β€œIt seemed a flat disk with upturned edges.”
 
πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ Umekosea hojaaa
 
Naona umemtaja Piccard hapoπŸ˜ƒπŸ˜ƒ, Kwa taarifa yako tu, yeye mwenyewe alikubali kuwa Dunia ni duara
 
Mimi nipo flexible,..nikipata uthibitisho ambao utafuta mashaka yangu juu ya kwamba Dunia ni tufe na inazunguka,..basi nitabadili mtazamo wangu hata sasa hivi.
Fanya uchunguzi mwenyewe sasa,

Wewe kichwa chako kilivyo huwezi kuja kuelewa kwa hoja za kwenye mijadala peke yake.
 
Una uhakika gani kwamba hakua sahihi,.
Pata shule kidogo kupitia hii clip fupi na ukafanye jaribio kwenye jengo mojawapo pale Posta

Ukishafanya hivyo, tuliza kichwa chako upate muda wa kutafakari
 

Attachments

  • instagram_video_1723849007206.mp4
    4.3 MB
hateeb10 πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
1. Nipe hizo possible reasons
2. Kwann nimuulize muhusika?
1. Reason mojawapo ni ishu nzima ya mbegu iliyobeba taarifa za mtoto husika toka kwa Baba husika...(Hii tushazungumza awali,.. najua unauliza tena kwa kujitoa akili)

2. Kwasababu yeye ndiyo anajua exactly reason why yeye hajahusika/ sio baba wa mtoto husika,....
 
Optical illusion haimaanishi kwamba ni mpaka object ionekane imepungua au kuongezeka size,..bali ukiiona tofauti na uhalisia wake ulivyo hiyo tayari ni optical illusion,

So kitu kupungua/kuongezeka size sio rule ya perspective kwamba ni lazima kitu kipungue/kiongezeke size ndiyo uweze ku notice illusion kwenye scenario husika,,, bali kitu kupungua size is just a type of perspective & not rule!

Kwa mfano kuona kitu kinazama kumbe hakizami hiyo tayari ni optical illusion,
 
1. Reason mojawapo ni ishu nzima ya mbegu iliyobeba taarifa za mtoto husika toka kwa Baba husika.
Kwann taarifa za mtoto husika zimebebwa na huyo baba na sio baba Mwingine?? Kwann yeye? Ni factor Gani imeamua hivyo?


..(Hii tushazungumza awali,.. najua unauliza tena kwa kujitoa akili)
πŸ˜ƒπŸ˜ƒ Umeanza kuona kuwa ni maswali ya kijinga Sasa eeh??
2. Kwasababu yeye ndiyo anajua exactly reason why yeye hajahusika/ sio baba wa mtoto husika,....
Kwann yeye ajue na sio ww??
 
Optical illusion haimaanishi kwamba ni mpaka object ionekane imepungua au kuongezeka size,..bali ukiiona tofauti na uhalisia wake ulivyo hiyo tayari ni optical illusion,
Hujajibu swali, je Jua huwa linapungua size kama perspective laws zinavyotaka??
So kitu kupungua/kuongezeka size sio rule ya perspective kwamba ni lazima kitu kipungue/kiongezeke size
Hujaelewa, hakuna kuongezeka size kwenye perspective nimesema kinapungua size kinapokuwa mbali,
ndiyo uweze ku notice illusion kwenye scenario husika,,, bali kitu kupungua size is just a type of perspective & not rule!
Kwani kitu kikienda mbali hakipungui size?? Au unajitoa akili??
Kwa mfano kuona kitu kinazama kumbe hakizami hiyo tayari ni optical illusion,
Unaongelea vitu vingine bila kujua, nimekuuliza kama Jua huwa linapotea Kwa sabab linaenda mbali kwann halionekani likipungua size?? Au ww huwa unaona linapungua size
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…