hateeb10
JF-Expert Member
- Dec 8, 2022
- 2,920
- 1,223
1. Huna uthibitisho kwamba Dunia ni Duara.Point yangu Kubwa ni kuwa kwenye ramani(ambayo ni lazima iwe flat) huwa tunaitumia hii route na ni fupi, lkn ukiangalia kwenye hiyo ramani inaonekana ni ndefu kuliko Ile nyingine ambayo ipo direct, na jibu ni kwamba Kwa sabab Dunia ni duara, hiyo ramani ukiirudisha kwenye uduara wake itakupa picha halisi kwann ni route fupi
2. Hakuna haja ya kuirudisha kwenye utufe,... Dunia ipo flat kama unavyoiona,...
Auguste Piccard, the Swiss physicist and inventor who was the first to reach the stratosphere in a pressurized gondola, made observations about the Earth's appearance during his record-breaking ascent in 1931. Piccard reportedly described the Earth's shape as: “It seemed a flat disk with upturned edges.”