Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?


  • Total voters
    710
hateeb10 still nipo naww mpk utoe majibu
 
So, If the sunset was caused by perspective the Sun would gradually appear smaller until it became too small to see at or near the horizon. Instead you can see that its size remains constant until it moves below the horizon bottom first.
hateeb10
Swali ambalo unashindwa kulijibu, unabaki unarukaruka tu.
 
hateeb10 hapa ulikimbia🤣🤣🤣
 
Nilikuuliza according to wewe, Jua linazungukaje? Mbioooo🎶 by Alikiba🤣🤣
 
Umeamua kupuuza role ya density?

weight na density kwa pamoja vina determine scenarios husika.,...gravity is nowhere to be seen.
Nilikuuliza simply tu, kati ya shilling na maji kipi kinauzito mkubwa?? Ndukiii!!!🤣

NB: ww unadai chenye uzito mkubwa kitashuka chini na chenye uzito mdogo kitakuwa juu.

Kwa maana hiyo shilling ilipaswa ielee.
 
Ona sasa unavyoelezea great circle 🤣🤣 Bora ungekaa kimya
 
Kwann taarifa za mtoto husika zimebebwa na huyo baba na sio baba Mwingine?? Kwann yeye? Ni factor Gani imeamua hivyo?



😃😃 Umeanza kuona kuwa ni maswali ya kijinga Sasa eeh??

Kwann yeye ajue na sio ww??
Sifahamu,.
 
Hujajibu swali, je Jua huwa linapungua size kama perspective laws zinavyotaka??
Perspective laws? hakuna hizo laws
Kwani kitu kikienda mbali hakipungui size?? Au unajitoa akili??

Unaongelea vitu vingine bila kujua, nimekuuliza kama Jua huwa linapotea Kwa sabab linaenda mbali kwann halionekani likipungua size?? Au ww huwa unaona linapungua size
Usijiwekee limit ya size tu,..Kwani kitu kikienda mbali mwanga haupungui? kitu kikiwa karibu mwanga hauongezeki?.........Jua likiwa karib Mwanga wake sehemu husika unakuwa mkubwa na kadri linavyoenda mbali mwanga wake unapungua na lenyewe linapotea na giza (usiku) unaanzia hapo!
 
Ona ujinga wako Sasa🤣🤣🤣 kwahy Dunia ikiwa sphere, na raman yake itakuwa sphere???
Wewe ndiyo unaonyesha ujinga wako,.... unasema great circle route kisha unaonyesha kwamba ina apply tu kwenye Dunia tufe,...wakati kiuhalisia ramani inayotumika kujua routes zote ni flat....that means sio kwamba great circle route haiwezekaniki kwenye dunia tambarare.

Ndege unaziona zina move horizontally kwenda sehemu mbalimbali za Dunia lakini hujiongezi kabisa,....
 
😃😃 Wewe unaamini kwenye kipi?
Mimi naamini Creation, kwamba chochote unachokiona kipo hivyo from the scratch na sio kwamba kilitokana na kiumbe kingine cha tofauti ,... Mimi nikisema Binadamu wame evolve toka kwenye viumbe jamii ya Chura,..si unaona kabisa haiingii akilini?


waswahili wanasema..." Ukiona vyaelea vimeundwa.."
 
Perspective laws? hakuna hizo laws
Kwahy unakataa uhalisia?? Kwamba kitu kikienda mbali halionekani kidg??
Usijiwekee limit ya size tu,..Kwani kitu kikienda mbali mwanga haupungui?
Mimi nimetumia size kwenye swali langu na hakuna shida, kwahy jibu swali
kitu kikiwa karibu mwanga hauongezeki?.....
Jibu swali langu naongelea size, size ikipungua automatically hata mwanga utakuwa mdogo
....Jua likiwa karib Mwanga wake sehemu husika unakuwa mkubwa na kadri linavyoenda mbali mwanga wake unapungua na lenyewe linapotea na giza (usiku) unaanzia hapo!
Jibu kuhusu size🤣🤣🤣🤣
 
Wewe ndiyo unaonyesha ujinga wako,....
😎😎😎😎
unasema great circle route kisha unaonyesha kwamba ina apply tu kwenye Dunia tufe,.
Exactly, ukiongelea great circle tu hapo tayari unaongelea sphere😃. Ndo maana nikasema hujui Geometry na hujawah kusoma au kujifunza chochote kuhusu Great circle
..wakati kiuhalisia ramani inayotumika kujua routes zote ni flat....that means sio kwamba great circle route haiwezekaniki kwenye dunia tambarare.
Nilikuuliza swali hukujibu, nakuuliza tena
Angalia picha chini👇, hiyo line yenye rangi nyekundu ndio great circle na yellow ni direct route(Rhumb line).

Sasa ukiangalia hapo ipi ni route fupi na ipi ni ndefu?

Ndege unaziona zina move horizontally kwenda sehemu mbalimbali za Dunia lakini hujiongezi kabisa,....
Unakichwa kigumu sana, kwahy ww uli expect uone ndege zina move aje ndo ujue Dunia ni duara??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…