The celebrity
JF-Expert Member
- Jul 9, 2020
- 1,972
- 559
Lala inuka binuka, haibadirikiKwenye video na katuni au kwenye uhalisia pia?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lala inuka binuka, haibadirikiKwenye video na katuni au kwenye uhalisia pia?
hateeb10 still nipo naww mpk utoe majibuSHIP VISIBILITY
HiI observation mara nyingi tunaweza kuiona tunapoenda ufukweni mwa bahari.
Utaobserve Meli iki disappear from the bottom baadae inapotea yote.
FLAT EARTHERS CLAIMS!!
Kwa mujibu wa flat Earthers ni kwamba tunaona vile Kwa sababu ya ukomo wa tunavyoweza kuona. Kwa maana kwamba Kuna distance inafikia hatuwezi kuona tena.
Okay!!😎
Just observe this👇
, View attachment 3191482
Hapo unaweza kuona Meli iliyokaribu unaonekana vizuri ukilinnganisha na meli iliyombali.
Kimsingi meli iliyombali inainekana only at the top side, na sio bottom side. Ukirejea maelezo ya Flat earth kuwa ni ukomo wa macho kuona, Sasa kwanini meli yote isipotee kutokana na ukomo wa macho badala yake inaonekana juu tu?????????
hateeb10 Chosen Rich Poor Brain
hateeb10So, If the sunset was caused by perspective the Sun would gradually appear smaller until it became too small to see at or near the horizon. Instead you can see that its size remains constant until it moves below the horizon bottom first.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣FORCE YA KUPULIZA?🤣
hateeb10 hapa ulikimbia🤣🤣🤣MZUNGUKO WA JUA(ACCORDING TO FLAT EARTH): DEBUNK.....
View attachment 3191642
Tazama picha hapo juu👆👆, ukiangalia point iliyopo north pole(katikati kabisa) na ukiangalia orbit ya Jua (ambayo ni circular) utagundua umbali kutoka kwenye hiyo point(north pole) mpk kwenye point yoyote kwenye hiyo orbit ya Jua ni the same (RADIUS).
Sasa hoja yangu ni kwamba;
1. Kama Jua linafika kwenye hiyo point inamaanisha hakuna muda itafika kutakuwa Giza Kwa sababu Jua popote litakapokuwa kwenye orbit yake Bado umbali(RADIUS) itabaki kuwa Ile ile na angle of strike itakuwa Ile ile. So siku zote kutakuwa mchana kwenye point/eneo Hilo kitu ambacho katika uhalisia hakipo hivyo.
2. Kama Jua halifiki kwenye hiyo point inamaanisha hakuna muda kutakuwa na mwanga kwenye hiyo point, yaani siku zote kutakuwa na Giza tu, kitu ambacho katika uhalisia hakipo hivyo.
LAKINI PIA TAZAMA VIDEO HII👇👇
View attachment 3191653
Ukiangalia model juu hapo, utaona Jua na mwezi vinamove in opposite side muda wote yaan jus likiwa upande huu basi Mwezi utakuwa exactly the opposite side.
Kwa maana hiyo there is no possibility Jua na mwezi kuwa observable at the same time.
Sasa ndugu zangu, naamini wote tunakubaliana hili haliendani na uhalisia, bonafsi nimeshuhudia mara kadhaa Jua na mwezi Kwa pamoja wakati wa mchana.
View attachment 3191669
View attachment 3191673
hateeb10
Nilikuuliza according to wewe, Jua linazungukaje? Mbioooo🎶 by Alikiba🤣🤣Wewe una uhakika gani kwamba kwenye flattened earth Jua linazunguka kama hiyo model uliyoweka hapo?.........Akitokea flat earther yoyote akisema Jua linazunguka kwa mtindo 1,2,3....utamuamini? na utasema huu ndiyo msimamo wa watu wote wanaosema Dunia ni flat?
Kimsingi hiyo model ni nadharia tu just an imagination na haimaanishi kwamba 100% Jua linazunguka hivyo,.
Nilikuuliza simply tu, kati ya shilling na maji kipi kinauzito mkubwa?? Ndukiii!!!🤣Umeamua kupuuza role ya density?
weight na density kwa pamoja vina determine scenarios husika.,...gravity is nowhere to be seen.
Eeeh?????🤣🤣🤣Nimekuomba unambie katika Nadharia yako ya Dunia flat Jua linazunguka vp? Upo kimya🤣🤣🤣🤣
Ona sasa unavyoelezea great circle 🤣🤣 Bora ungekaa kimyaLakini kwa ufupi kabisa,.unatakiwa uelewe kwamba kwenye Dunia ambayo haina obstacle yoyote ya wewe kwenda either East/west kuelekea destination fulani basi unaweza kuchagua kutumia route yoyote itakayofanya ufike destination husika kwa haraka na nafuu zaidi,.
Ona ujinga wako Sasa🤣🤣🤣 kwahy Dunia ikiwa sphere, na raman yake itakuwa sphere???Ramani ni flat cause Dunia yenyewe ni flat pia,
.. kwani wewe ukiambiwa utengeneze ramani ya Afrika Mashariki utaonyesha na curvature humo ndani?
😃😃 Wewe unaamini kwenye kipi?Hata uwe na Phd ya Biology kama unaamini nadharia ya Evolution basi wewe ni kilaza tu,...
Sifahamu,.Kwann taarifa za mtoto husika zimebebwa na huyo baba na sio baba Mwingine?? Kwann yeye? Ni factor Gani imeamua hivyo?
😃😃 Umeanza kuona kuwa ni maswali ya kijinga Sasa eeh??
Kwann yeye ajue na sio ww??
Perspective laws? hakuna hizo lawsHujajibu swali, je Jua huwa linapungua size kama perspective laws zinavyotaka??
Usijiwekee limit ya size tu,..Kwani kitu kikienda mbali mwanga haupungui? kitu kikiwa karibu mwanga hauongezeki?.........Jua likiwa karib Mwanga wake sehemu husika unakuwa mkubwa na kadri linavyoenda mbali mwanga wake unapungua na lenyewe linapotea na giza (usiku) unaanzia hapo!Kwani kitu kikienda mbali hakipungui size?? Au unajitoa akili??
Unaongelea vitu vingine bila kujua, nimekuuliza kama Jua huwa linapotea Kwa sabab linaenda mbali kwann halionekani likipungua size?? Au ww huwa unaona linapungua size
Wewe ndiyo unaonyesha ujinga wako,.... unasema great circle route kisha unaonyesha kwamba ina apply tu kwenye Dunia tufe,...wakati kiuhalisia ramani inayotumika kujua routes zote ni flat....that means sio kwamba great circle route haiwezekaniki kwenye dunia tambarare.Ona ujinga wako Sasa🤣🤣🤣 kwahy Dunia ikiwa sphere, na raman yake itakuwa sphere???
Mimi naamini Creation, kwamba chochote unachokiona kipo hivyo from the scratch na sio kwamba kilitokana na kiumbe kingine cha tofauti ,... Mimi nikisema Binadamu wame evolve toka kwenye viumbe jamii ya Chura,..si unaona kabisa haiingii akilini?😃😃 Wewe unaamini kwenye kipi?
Kwann haufahamuSifahamu,.
Kwahy unakataa uhalisia?? Kwamba kitu kikienda mbali halionekani kidg??Perspective laws? hakuna hizo laws
Mimi nimetumia size kwenye swali langu na hakuna shida, kwahy jibu swaliUsijiwekee limit ya size tu,..Kwani kitu kikienda mbali mwanga haupungui?
Jibu swali langu naongelea size, size ikipungua automatically hata mwanga utakuwa mdogokitu kikiwa karibu mwanga hauongezeki?.....
Jibu kuhusu size🤣🤣🤣🤣....Jua likiwa karib Mwanga wake sehemu husika unakuwa mkubwa na kadri linavyoenda mbali mwanga wake unapungua na lenyewe linapotea na giza (usiku) unaanzia hapo!
sifahamu pia,.Kwann haufahamu
😎😎😎😎Wewe ndiyo unaonyesha ujinga wako,....
Exactly, ukiongelea great circle tu hapo tayari unaongelea sphere😃. Ndo maana nikasema hujui Geometry na hujawah kusoma au kujifunza chochote kuhusu Great circleunasema great circle route kisha unaonyesha kwamba ina apply tu kwenye Dunia tufe,.
Nilikuuliza swali hukujibu, nakuuliza tena..wakati kiuhalisia ramani inayotumika kujua routes zote ni flat....that means sio kwamba great circle route haiwezekaniki kwenye dunia tambarare.
Unakichwa kigumu sana, kwahy ww uli expect uone ndege zina move aje ndo ujue Dunia ni duara??Ndege unaziona zina move horizontally kwenda sehemu mbalimbali za Dunia lakini hujiongezi kabisa,....
Kwann haufahamu pia??sifahamu pia,.