Sema wewe ndiyo huelewi,..mimi ningekuwa sielewi basi nisingeweka hapa.ππππππ???????
Sijaona ulipojibu kwann meli zinaanza kuonekana Kwa juu tu na sio chini zinapokuwa zina approach land, π€£π€£π€£π€£. Umekopi tu hata ww huelewi ulichojibu
Hahh kwahiyo kabla ya kuwekwa vigae palikuwa na curvature hapo?Sasa nimfundishe nnπ€£π€£ wakat yeye Alipo sio flat??? Mimi nipo ndani hapa Kuna vigae kabisa pamefanyiwa levelling na binadamu Ili pawe flatπ€£π€£
Si kichwa chako kina Nta ndo maanaπ€£Ulitoa sababu ya kwanini hatuhisi gravity? sikumbuki
Simply Adaptation, ukikataa nakupa test Moja tu, chukua kiatu unachovaaga weka mchanga ndani ya kiatu hicho halafu vaa tembea Kila siku na ivo viatu Kwa mwaka mzima uone kama baada ya huo muda utaona bughudha za mchanga huo, au utaona normal tu tofaut na mwanzoItaje hiyo sababu hapa.
Basi nioneshe ulipojibu kwenye hayo maelezo yako Hilo swali, nioneshe tu usirudie kujibu π€£π€£Sema wewe ndiyo huelewi,..mimi ningekuwa sielewi basi nisingeweka hapa.
Hapakuwa flatπ€£π€£, na ndio maana wakapafanyia levelling Ili pawe flat π€£π€£π€£πHahh kwahiyo kabla ya kuwekwa vigae palikuwa na curvature hapo?
hateeb10 kujibu huwezi, ndo maana nasema mjadara umekushindaπNilikuuliza simply tu, kati ya shilling na maji kipi kinauzito mkubwa?? Ndukiii!!!π€£
NB: ww unadai chenye uzito mkubwa kitashuka chini na chenye uzito mdogo kitakuwa juu.
Kwa maana hiyo shilling ilipaswa ielee.
hateeb10 ππKwann haufahamu pia??
Hahh duh kweli akili imehama kaka,........ huo ni uongo hata ukivaa hicho kiatu chenye mchanga ndani ya miaka 10 hutoacha kuhisi kwamba kuna mchanga labda mchanga usagike na kuisha kabisa kwenye kiatu.Si kichwa chako kina Nta ndo maanaπ€£
Simply Adaptation, ukikataa nakupa test Moja tu, chukua kiatu unachovaaga weka mchanga ndani ya kiatu hicho halafu vaa tembea Kila siku na ivo viatu Kwa mwaka mzima uone kama baada ya huo muda utaona bughudha za mchanga huo, au utaona normal tu tofaut na mwanzo
hateeb10 kujibu umeshindwaNilikuuliza swali hukujibu, nakuuliza tena
Angalia picha chiniπ, hiyo line yenye rangi nyekundu ndio great circle na yellow ni direct route(Rhumb line).
Sasa ukiangalia hapo ipi ni route fupi na ipi ni ndefu?
View attachment 3198419
Si akili yako ndio imeishia hapo,Hahh duh kweli akili imehama kaka,........ huo ni uongo hata ukivaa hicho kiatu chenye mchanga ndani ya miaka 10 hutoacha kuhisi kwamba kuna mchanga labda mchanga usagike na kuisha kabisa kwenye kiatu.
Tatizo unalazimisha vitu ambavyo havipo vionekane vipo,. hakuna adpatation yoyote ni hadithi tu.
Sifahamu,Kwann haufahamu pia??
Angalia swali alafu jibu, mm wapi kwenye Hilo swali nimesema neno density??πππsasa hilo swali la density sijakujibu? au unajitoa akili
Kwann haufahamu?Sifahamu,
Unajua kama unaongea ujinga ndiyo maana unacheka.Hapakuwa flatπ€£π€£, na ndio maana wakapafanyia levelling Ili pawe flat π€£π€£π€£π
Sifahamu.Kwann haufahamu?
hateeb10 π€£π€£π€£ njoo hapaSasa ndio maana nakushangaa unaposema great circle kwenye flatππ
Kwamba sawa hujui lkn hata kugoogle umeshindwaaππ
View attachment 3198503
Sasa nambie ww hiyo great circle yako kwenye flat tu bila sphere umeitoa wapi??
Umeishiwa hojaaaπUnajua kama unaongea ujinga ndiyo maana unacheka.
Kwahiyo unanipangia jinsi ya kujibu swali,..unataka nijibu unavyotaka wewe?Angalia swali alafu jibu, mm wapi kwenye Hilo swali nimesema neno density??πππ