Jua linaizunguka Dunia kwa kutoka Mashariki kwenda Magharibi kupitia njia iliyopangiwa,....hilo ndiyo ninalofahamu maelezo zaidi ya hapo nitakudanganya.hateeb10
Mbn hujibu swali langu, mara ya nne sasa hii nauliza🤣
Nambie jua linamove vipi katika Dunia yako flat🤣🤣. Maana umewakataa wenzako wa flat earth.
Duh!Nakuambia ni illusion kwasababu hakuna curvature,...
Basi ili kuondoa utata,..lete video inayoonyesha curvature then nitaamini kweli ships disappear over the curvature.
Usisahau ku zoom tafadhali tuone watu kabisa wanavyoendesha maisha yao kwenye sehemu mbalimbali za Dunia tufe inayozunguka.
Maelezo ya mtoto wa darasa la kwanzaJua linaizunguka Dunia kwa kutoka Mashariki kwenda Magharibi kupitia njia iliyopangiwa,....hilo ndiyo ninalofahamu maelezo zaidi ya hapo nitakudanganya.
Ninapinga Kwa sabab umesema uzito mkubwa chini uzito mdogo juu, wakat kwenye mfano wangu inaenda kinyume🤣🤣.Hahh sasa unapinga vipi kauli yangu wakati ipo sahihi? kama ulitaka majibu ya tofauti ungesema mapema tuhusishe na density..
Hapana, statement huwa haitegemei wakat husika, ukishasema kizito kitaenda chini na chepesi kitakaa juu, there is no turning back uje ujipinge....mimi nilijibu kutokana na tulichokua tunajadili wakati husika.
Mimi hakuna mahali nimesema kizito kitashuka chini na chepesi juu. Mimi sijakataa kuhusisha density, lkn statement yako haipo sawa.Na wewe unakumbuka kwamba hoja tuliyokua tunajadili ili base kwa kiasi kikubwa kwenye uzito,..then baadae ndiyo ukaleta scenario inayohusisha density,...
🤣🤣🤣🤣Labda niseme nimekosea kwa kukufurahisha tu,..ila kiuhalisia majibu yote yaliendana na mada husika.
Haya toa ya kwako basi ambayo yapo detailed zaidi,... (namaanisha ya kwako)Maelezo ya mtoto wa darasa la kwanza
Hakuna ujinga, Si unataka tuelezee kwa kile tunachokiona ?Unajua kama unaongea ujinga ndiyo maana unacheka.
🤣🤣🤣🤣 Afadhali umekiri hujui, Sasa tukija kwenye maswala ya Jua kuzama na kutopungua size, hayo maelezo uliyotoa uliyafanyia tafiti yoyote ukagundua uliyoyasema?? Yaani namaanisha ww ulijuaje kuwa magnification effect inasababisha Jua lisipungue size??? Maana ww unadai haukariri, na unatumia akili zako na senses of organs 😀Jua linaizunguka Dunia kwa kutoka Mashariki kwenda Magharibi kupitia njia iliyopangiwa,....hilo ndiyo ninalofahamu maelezo zaidi ya hapo nitakudanganya.
Nilikujibu vizuri tu na nikaweka na ufafanuzi kwamba Mirage effect ndiyo inafanya uone meli kama imezama hivi ambapo automatically utaona sehem ya juu na sio Meli yote.... kwanza unatakiwa ufahamu kwamba mwanga una play part kubwa kwenye jinsi tunavyoona objects mbalimbali,.. sasa kinachofanya uone kama meli inazama chini ni kutokana layer za temperature tofauti (cold & warm) kukutana kitu ambacho kinasababisha miale ya mwanga (rays of light) kujikunja na kupelekea mtazamaji kuona as if meli ipo inatumbukia chini/inaibuka juu kuliko position halisia ambayo Meli husika ipo.Sasa mbn umeshindwa kuonesha wapi ulipojibu swali langu, au wapi Kwenye maelezo yako mengi umetoa jibu la swali langu??
Swali langu,: kwann meli huonekana top tu na sio yote
Sawa, basi nipe dfn ya great circle na ulipoitoa halafu uichambue Sasa kuonesha kwamba ww haukariri bila kubadirisha maana ya dfn hiyo uliyoitoa🤣🤣. yaani namaanisha kwamba lete dfn yako ya great circle na sehem ulipoitoa kama ilivyo bila kubadili chochote alafu uichambue Kwa akili yako
Vizuri, lakini mirage pekee haiwezi kufanya meli nzima iweze ku-disappear. Utafanya tu meli ionekane kwenye position ambayo haipo. Tena nilitegemea meli ionekane juu kuliko uhalisia wakeNilik niujibu vizuri tu na nikaweka na ufafanuzi kwamba Mirage effect ndiyo inafanya uone meli kama imezama hivi ambapo automatically utaona sehem ya juu na sio Meli yote.... kwanza unatakiwa ufahamu kwamba mwanga una play part kubwa kwenye jinsi tunavyoona objects mbalimbali,.. sasa kinachofanya uone kama meli inazama chini ni kutokana layer za temperature tofauti (cold & warm) kukutana kitu ambacho kinasababisha miale ya mwanga (rays of light) kujikunja na kupelekea mtazamaji kuona as if meli ipo inatumbukia chini/inaibuka juu kuliko position halisia ambayo Meli husika ipo.
Na kingine,, hii observation ya meli kuonekana kuzama hutoa Kila mara, mirage hutegemea condition na Hali ya hewa, huwezi kuona mirage barabarani kukiwa na Hali ya mvua na hakuna Jua, lkn ship disappearing always inatokea.Nilikujibu vizuri tu na nikaweka na ufafanuzi kwamba Mirage effect ndiyo inafanya uone meli kama imezama hivi ambapo automatically utaona sehem ya juu na sio Meli yote.... kwanza unatakiwa ufahamu kwamba mwanga una play part kubwa kwenye jinsi tunavyoona objects mbalimbali,.. sasa kinachofanya uone kama meli inazama chini ni kutokana layer za temperature tofauti (cold & warm) kukutana kitu ambacho kinasababisha miale ya mwanga (rays of light) kujikunja na kupelekea mtazamaji kuona as if meli ipo inatumbukia chini/inaibuka juu kuliko position halisia ambayo Meli husika ipo.
Definition niliyotumia ndiyo hiyo hiyo ulitumia wewe,..ila mimi nimetafsiri kwamba the said route ni possible pia kwenye Dunia flat kama tunavyoiona na kama inavyotumika kwenye ramani japo unakataa,..Sawa, basi nipe dfn ya great circle na ulipoitoa halafu uichambue Sasa kuonesha kwamba ww haukariri bila kubadirisha maana ya dfn🤣🤣🤣
Okay😀,Definition niliyotumia ndiyo hiyo hiyo ulitumia wewe,..ila mimi nimetafsiri kwamba the said route ni possible pia kwenye Dunia flat kama tunavyoiona na kama inavyotumika kwenye ramani japo unakataa,..
Barabarani ni tofauti na baharini,.hiyo condition kwenye bahari muda wote inakuepo kutokana na muingiliano wa tabaka tofauti za hewa (Temperature inversion) unaodumu muda wote haijalishi kuna mvua au Jua.Na kingine,, hii observation ya meli kuonekana kuzama hutoa Kila mara, mirage hutegemea condition na Hali ya hewa, huwezi kuona mirage barabarani kukiwa na Hali ya mvua na hakuna Jua, lkn ship disappearing always inatokea.
Definition nimeielewa kama ulivyoelewa wewe (au unataka mpaka nikuelezee upya),..nimekupa maelezo tofauti kwamba the said scenario hata kwenye flat surface ni possible., hutaki?Okay😀,
View attachment 3198661
Kwenye dfn imeandikwa "a circle on the surface of a sphere" wewe unakuja vipi kudai eti ,"hata kwenye flat inawezekana,"?? Sasa nichambulie hii👆 dfn ulivyoielewa.
😎😎😎😎Barabarani ni tofauti na baharini
Kwahy unataka kusema barabarani hakuna muingiliano wa tabaka?? Na kwamba baharini air condition siku zote Iko vile vile??? Yaani temperature huwa haichange???,.hiyo condition kwenye bahari muda wote inakuepo kutokana na muingiliano wa tabaka tofauti za hewa (Temperature inversion) unaodumu muda wote haijalishi kuna mvua au Jua.
🤣🤣, ww unajua nilivyoielewa mpk useme umeelewa kama nilivyoielewa Mimi??????Definition nimeielewa kama ulivyoelewa wewe (au unataka mpaka nikuelezee upya),..nimekupa maelezo tofauti kwamba the said scenario hata kwenye flat surface ni possible., hutaki?
🤣🤣🤣Hakuna mahali umenielezeaa, kwahy kauli ya "au unataka mpaka nikuelezee upya" sio sahihi.(au unataka mpaka nikuelezee upya),
Hapo ipo kweli angani kwasababu ya gravitational force,..Hahh (joking)😎😎😎😎
Kwahy unataka kusema barabarani hakuna muingiliano wa tabaka?? Na kwamba baharini air condition siku zote Iko vile vile??? Yaani temperature huwa haichange???
Hata hivyo mirage kwenye bahari hufanya meli ionekane ipo juu kuliko uhalisia
View attachment 3198671
View attachment 3198672