Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?

  • Total voters
    710
hateeb10
Mbn hujibu swali langu, mara ya nne sasa hii nauliza🤣

Nambie jua linamove vipi katika Dunia yako flat🤣🤣. Maana umewakataa wenzako wa flat earth.
Jua linaizunguka Dunia kwa kutoka Mashariki kwenda Magharibi kupitia njia iliyopangiwa,....hilo ndiyo ninalofahamu maelezo zaidi ya hapo nitakudanganya.
 
Nakuambia ni illusion kwasababu hakuna curvature,...

Basi ili kuondoa utata,..lete video inayoonyesha curvature then nitaamini kweli ships disappear over the curvature.

Usisahau ku zoom tafadhali tuone watu kabisa wanavyoendesha maisha yao kwenye sehemu mbalimbali za Dunia tufe inayozunguka.
Duh!
 
Hahh sasa unapinga vipi kauli yangu wakati ipo sahihi? kama ulitaka majibu ya tofauti ungesema mapema tuhusishe na density..
Ninapinga Kwa sabab umesema uzito mkubwa chini uzito mdogo juu, wakat kwenye mfano wangu inaenda kinyume🤣🤣.
...mimi nilijibu kutokana na tulichokua tunajadili wakati husika.
Hapana, statement huwa haitegemei wakat husika, ukishasema kizito kitaenda chini na chepesi kitakaa juu, there is no turning back uje ujipinge.
Na wewe unakumbuka kwamba hoja tuliyokua tunajadili ili base kwa kiasi kikubwa kwenye uzito,..then baadae ndiyo ukaleta scenario inayohusisha density,...
Mimi hakuna mahali nimesema kizito kitashuka chini na chepesi juu. Mimi sijakataa kuhusisha density, lkn statement yako haipo sawa.
Labda niseme nimekosea kwa kukufurahisha tu,..ila kiuhalisia majibu yote yaliendana na mada husika.
🤣🤣🤣🤣
 
Jua linaizunguka Dunia kwa kutoka Mashariki kwenda Magharibi kupitia njia iliyopangiwa,....hilo ndiyo ninalofahamu maelezo zaidi ya hapo nitakudanganya.
🤣🤣🤣🤣 Afadhali umekiri hujui, Sasa tukija kwenye maswala ya Jua kuzama na kutopungua size, hayo maelezo uliyotoa uliyafanyia tafiti yoyote ukagundua uliyoyasema?? Yaani namaanisha ww ulijuaje kuwa magnification effect inasababisha Jua lisipungue size??? Maana ww unadai haukariri, na unatumia akili zako na senses of organs 😀

Na pia, nimekuuliza kama magnification inafanya Jua lisipungue size kwann linapotea sasa wakat size yake halipungui na umesema Jua halizami???
 
Sasa mbn umeshindwa kuonesha wapi ulipojibu swali langu, au wapi Kwenye maelezo yako mengi umetoa jibu la swali langu??

Swali langu,: kwann meli huonekana top tu na sio yote
Nilikujibu vizuri tu na nikaweka na ufafanuzi kwamba Mirage effect ndiyo inafanya uone meli kama imezama hivi ambapo automatically utaona sehem ya juu na sio Meli yote.... kwanza unatakiwa ufahamu kwamba mwanga una play part kubwa kwenye jinsi tunavyoona objects mbalimbali,.. sasa kinachofanya uone kama meli inazama chini ni kutokana layer za temperature tofauti (cold & warm) kukutana kitu ambacho kinasababisha miale ya mwanga (rays of light) kujikunja na kupelekea mtazamaji kuona as if meli ipo inatumbukia chini/inaibuka juu kuliko position halisia ambayo Meli husika ipo.
 
Sawa, basi nipe dfn ya great circle na ulipoitoa halafu uichambue Sasa kuonesha kwamba ww haukariri bila kubadirisha maana ya dfn hiyo uliyoitoa🤣🤣. yaani namaanisha kwamba lete dfn yako ya great circle na sehem ulipoitoa kama ilivyo bila kubadili chochote alafu uichambue Kwa akili yako

hateeb10 njoo hapaaaa
 
Nilik niujibu vizuri tu na nikaweka na ufafanuzi kwamba Mirage effect ndiyo inafanya uone meli kama imezama hivi ambapo automatically utaona sehem ya juu na sio Meli yote.... kwanza unatakiwa ufahamu kwamba mwanga una play part kubwa kwenye jinsi tunavyoona objects mbalimbali,.. sasa kinachofanya uone kama meli inazama chini ni kutokana layer za temperature tofauti (cold & warm) kukutana kitu ambacho kinasababisha miale ya mwanga (rays of light) kujikunja na kupelekea mtazamaji kuona as if meli ipo inatumbukia chini/inaibuka juu kuliko position halisia ambayo Meli husika ipo.
Vizuri, lakini mirage pekee haiwezi kufanya meli nzima iweze ku-disappear. Utafanya tu meli ionekane kwenye position ambayo haipo. Tena nilitegemea meli ionekane juu kuliko uhalisia wake

images (4).jpeg

If another ship sails away from you, eventually they will disappear below the horizon. However, if conditions create superior mirages, then you can still the other ship further away from you even though the ship is a short distance below the horizon.

Screenshot_20250111-150428.png

Hiki ndo namaanisha na sio unavyodai👇👇

Screenshot_20250111-150819.png
 
Nilikujibu vizuri tu na nikaweka na ufafanuzi kwamba Mirage effect ndiyo inafanya uone meli kama imezama hivi ambapo automatically utaona sehem ya juu na sio Meli yote.... kwanza unatakiwa ufahamu kwamba mwanga una play part kubwa kwenye jinsi tunavyoona objects mbalimbali,.. sasa kinachofanya uone kama meli inazama chini ni kutokana layer za temperature tofauti (cold & warm) kukutana kitu ambacho kinasababisha miale ya mwanga (rays of light) kujikunja na kupelekea mtazamaji kuona as if meli ipo inatumbukia chini/inaibuka juu kuliko position halisia ambayo Meli husika ipo.
Na kingine,, hii observation ya meli kuonekana kuzama hutoa Kila mara, mirage hutegemea condition na Hali ya hewa, huwezi kuona mirage barabarani kukiwa na Hali ya mvua na hakuna Jua, lkn ship disappearing always inatokea.
 
hateeb10

Flat earth theory, pamoja na maelezo yako(maana umewakataa wenzako🤣) Bado umeshindwa kutoa majibu mengi sana kuhusu mambo mengi kama;

1. Photos taken from space clearly show that the Earth is roughly spherical.

2. That satellites are in orbit and beaming down (for example) GPS signals.

3. That the ISS is in orbit - and if you know when it’s going overhead - you can see it with your naked eyes.

4. That the moon has phases that are the same for everyone on Earth (meaning that the moon is much further away than Flat Earthers believe - and that the sun is vast further away than that).

5. That gravity is variable over the surface of the earth (less at the equator, more at the poles) - in part because of centrifugal force.

6. That Qantas airlines fly (4 times a week) between Sydney Australia and Santiago Chile nonstop in a 747–400 airplane. A distance that would be three times further than a 747 can fly on a flat-earth map - and in a flight time that would require it to fly 2.1 times the speed of sound.

7. That there are lunar and solar eclipses - and during a lunar eclipse you can see the curvature of the earth’s shadow with your own two eyes.

8. That the sun disappears gradually over the horizon during sunsets (and so does the moon).

9. That the moon looks “upside-down” in Australia, “sideways” on the equator and right-side-up in Europe.

10. That the way sailors have navigated by the stars for the past 400 or more years can’t work in flat earth.

11. That you can see France from the top of the cliffs of Dover and not from the beach below.
 
Sawa, basi nipe dfn ya great circle na ulipoitoa halafu uichambue Sasa kuonesha kwamba ww haukariri bila kubadirisha maana ya dfn🤣🤣🤣
Definition niliyotumia ndiyo hiyo hiyo ulitumia wewe,..ila mimi nimetafsiri kwamba the said route ni possible pia kwenye Dunia flat kama tunavyoiona na kama inavyotumika kwenye ramani japo unakataa,..
 
Okay😀,
Screenshot_20250111-121801~2.png

Kwenye dfn imeandikwa "a circle on the surface of a sphere" wewe unakuja vipi kudai eti ,"hata kwenye flat inawezekana,"?? Sasa nichambulie hii👆 dfn ulivyoielewa.
 
Na kingine,, hii observation ya meli kuonekana kuzama hutoa Kila mara, mirage hutegemea condition na Hali ya hewa, huwezi kuona mirage barabarani kukiwa na Hali ya mvua na hakuna Jua, lkn ship disappearing always inatokea.
Barabarani ni tofauti na baharini,.hiyo condition kwenye bahari muda wote inakuepo kutokana na muingiliano wa tabaka tofauti za hewa (Temperature inversion) unaodumu muda wote haijalishi kuna mvua au Jua.
 
Okay😀,
View attachment 3198661

Kwenye dfn imeandikwa "a circle on the surface of a sphere" wewe unakuja vipi kudai eti ,"hata kwenye flat inawezekana,"?? Sasa nichambulie hii👆 dfn ulivyoielewa.
Definition nimeielewa kama ulivyoelewa wewe (au unataka mpaka nikuelezee upya),..nimekupa maelezo tofauti kwamba the said scenario hata kwenye flat surface ni possible., hutaki?
 
Barabarani ni tofauti na baharini
😎😎😎😎
,.hiyo condition kwenye bahari muda wote inakuepo kutokana na muingiliano wa tabaka tofauti za hewa (Temperature inversion) unaodumu muda wote haijalishi kuna mvua au Jua.
Kwahy unataka kusema barabarani hakuna muingiliano wa tabaka?? Na kwamba baharini air condition siku zote Iko vile vile??? Yaani temperature huwa haichange???

Hata hivyo mirage kwenye bahari hufanya meli ionekane ipo juu kuliko uhalisia
main-qimg-9762da9acc03c4f1538461a98e62de14-lq.jpeg

Screenshot_20250111-150819.png
 
Definition nimeielewa kama ulivyoelewa wewe (au unataka mpaka nikuelezee upya),..nimekupa maelezo tofauti kwamba the said scenario hata kwenye flat surface ni possible., hutaki?
🤣🤣, ww unajua nilivyoielewa mpk useme umeelewa kama nilivyoielewa Mimi??????

Umeanza kuchanganyikiwa Sasa eeh?? Na unaposema hata kwenye flat surface inawezekana kivipi sasa?? Wakati kwenye definition Kuna condition inayosema
"Passing through the center of the sphere" sasa kwenye flat surface kuna center of the sphere???🤣🤣
 
😎😎😎😎

Kwahy unataka kusema barabarani hakuna muingiliano wa tabaka?? Na kwamba baharini air condition siku zote Iko vile vile??? Yaani temperature huwa haichange???

Hata hivyo mirage kwenye bahari hufanya meli ionekane ipo juu kuliko uhalisia
View attachment 3198671

View attachment 3198672
Hapo ipo kweli angani kwasababu ya gravitational force,..Hahh (joking)

Hizo picha zenyewe ni edited,..
 
Back
Top Bottom