Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?

  • Total voters
    710
Duuh!! Neno " plane" yes!! Lakin neno aeroplane linatokana na kigiriki yaani aer maana yake air na planos maana yake wandering, ambapo kiujumla inamaanisha wandering in air.

Sasa wewe nambie hiyo maana yako ukiunganisha unapata neno Gani?? 🤣🤣 Kwamba hewa iliyopo horizontal?🤣🤣

Hapo unadadavua neno planus, na sio origin ya neno aeroplane!!!

Still unafanya the same!!
Nini maana ya "PLANE"

Unaambiwa "AEROPLANE" na sio "AEROPLANOS",... Au hujui kutofautisha?
 
Enhee ukitumia ndege maana yake hiyo path itakuwa imenyooka, bila kupinda either kushoto/kulia au juu/chini.
Tatizo mgumu kuelewa,...
  • This use often includes visualizing or conceptualizing a straight line between the two locations, even if actual travel might require navigating around obstacles.
 
Angalia picha yako hapo., From your reference point, upande wa kushoto na kulia utaona points ambazo zime bend outward hizo ndiyo points mkunjo ulipo,.. nimekuwekea maelezo zaidi hopefully utaelewa.

PXL_20250117_091505559~2.jpg

Sasa embu nambie, ukisema circle Ina curve mbili ambazo zina extend from the center to outwards, je, ni Kwa kutumia reference point ipi?
1. a-e
2. b-f
3. c-g
4. d-h

Na je, hizi kwenye hizi points👇 hakuna curve?? ,(yaani a, b, c, d, e, f na g)

PXL_20250117_091505559~3.jpg
 
hateeb10
Au tufanye hivi tu, nipe source ya maelezo yako ya origin ya aeroplane ulipoitoa au umejitungia??
Sources mbalimbali,..subiri upate shule zaidi,... Najua wewe si mwepesi wa kuelewa ila usipoelewa na hapa basi sidhani kama utaelewa tena.

The word "aeroplane" originates from a combination of "air" and "plane", with its etymology reflecting its functionality as a flying vehicle with a flat or level wing surface. Here's a breakdown of its origin:

1. Roots of the Word:​

  • "Air": Derived from the Middle English word "air", which came from the Old French "air", and ultimately from the Latin "aer" (meaning atmosphere or sky), which itself originates from the Greek "aēr" (ἀήρ), meaning air.
  • "Plane": From the Latin word "planus", meaning flat or level, reflecting the flat wings or surfaces used in flight.

The word "airplane" originates from a combination of "air" and "plane", with its etymology reflecting its functionality as a flying vehicle with a flat or level wing surface. Here's a breakdown of its origin:

2. Development of the Term:​

  • The term "aeroplane" was the original spelling and is still used in British English. It comes from the French "aéroplane", which was coined in the mid-19th century.
    • "Aéro": From the Greek "aēr" (air).
    • "Plane": Refers to a flat or level surface, representing the wings of the aircraft.
 
sijui kwanini imeitwa hivyo,.
Sasa kwanini unakuwa mbishi wakati hujui??
Mfano wa great circle ni Equator, au duara yoyote ambayo itapita kwenye center of the sphere nayo itakuwa ni great circle( duara kuu) Kwa maana hakuna duara nyingine tofauti na zinazopitia kwenye center ya sphere ambazo ni Kubwa kuzidi hizo great circle.

Mfano: duara inayounganisha point P na p' ni great circle

Great_circle,_axis,_and_poles.svg.png
 
Attachments

  • Great_circle,_axis,_and_poles.svg.png
    Great_circle,_axis,_and_poles.svg.png
    269.5 KB · Views: 2
Tatizo mgumu kuelewa,...
  • This use often includes visualizing or conceptualizing a straight line between the two locations, even if actual travel might require navigating around obstacles.
We kilaza kweli!! Kwahy unaweza kupita kwenye conceptualized line?? Hapa tunaongelea paths ambazo binadamu au kitu kinapita sasa wewe unaweka imaginary lines??🤣🤣 Basi engineers wasingekuwa wanatengeneza tunnels Sasa wangekuwa Wanafanya imaginary line tu halafu gari/treni zinapita🤣🤣
 
Sources mbalimbali,..subiri upate shule zaidi,... Najua wewe si mwepesi wa kuelewa ila usipoelewa na hapa basi sidhani kama utaelewa tena.

The word "aeroplane" originates from a combination of "air" and "plane", with its etymology reflecting its functionality as a flying vehicle with a flat or level wing surface. Here's a breakdown of its origin:

1. Roots of the Word:​

  • "Air": Derived from the Middle English word "air", which came from the Old French "air", and ultimately from the Latin "aer" (meaning atmosphere or sky), which itself originates from the Greek "aēr" (ἀήρ), meaning air.
  • "Plane": From the Latin word "planus", meaning flat or level, reflecting the flat wings or surfaces used in flight.

The word "airplane" originates from a combination of "air" and "plane", with its etymology reflecting its functionality as a flying vehicle with a flat or level wing surface. Here's a breakdown of its origin:

1. Roots of the Word:​

  • "Air": Derived from the Middle English word "air", which came from the Old French "air", and ultimately from the Latin "aer" (meaning atmosphere or sky), which itself originates from the Greek "aēr" (ἀήρ), meaning air.
  • "Plane": From the Latin word "planus", meaning flat or level, reflecting the flat wings or surfaces used in flight.

2. Development of the Term:​

  • The term "aeroplane" was the original spelling and is still used in British English. It comes from the French "aéroplane", which was coined in the mid-19th century.
    • "Aéro": From the Greek "aēr" (air).
    • "Plane": Refers to a flat or level surface, representing the wings of the aircraft.
Source!!!???????? Au umejitungiaa??
 
View attachment 3205204

Sasa embu nambie, ukisema circle Ina curve mbili ambazo zina extend from the center to outwards, je, ni Kwa kutumia reference point ipi?
1. a-e
2. b-f
3. c-g
4. d-h

Na je, hizi kwenye hizi points👇 hakuna curve?? ,(yaani a, b, c, d, e, f na g)

View attachment 3205215
From my reference point,.. mkunjo unaanzia point B & D,..hizo ndiyo points ambazo kwa upande wangu kama ninavyo observe nitasema mkunjo unaanzia hapo....... Then kwenye points nyingine popote pale utakapo notice any change in direction basi ujue kuna mkunjo depending on where you are(reference point),...
 
Sasa mbona wewe umeelezea planus??👇👇 Au unajitoa akili bro!!🤣
Ushaambiwa neno PLANE linatokana na neno "PLANUS" that means maana ya maneno hayo ni hiyo hiyo moja...........Au huelewi kitu kidogo kama hicho???

PLANOS & PLANUS NI MANENO MAWILI TOFAUTI!
 
From my reference point,.. mkunjo unaanzia point B & D,..hizo ndiyo points ambazo kwa upande wangu kama ninavyo observe nitasema mkunjo unaanzia hapo....... Then kwenye points nyingine popote pale utakapo notice any change in direction basi ujue kuna mkunjo depending on where you are(reference point),...
Hujajibu swali !! Je kwenye hizo point nilizoweka hakuna curve??? Yaan point a, b, c,d,e, f na g???
 
Ushaambiwa neno PLANE linatokana na neno "PLANUS" that means maana ya maneno hayo ni hiyo hiyo moja...........Au huelewi kitu kidogo kama hicho???

PLANOS & PLANUS NI MANENO MAWILI TOFAUTI!
Hata Mimi nimekwambia neno plane linatokana na neno PLANOS that means wandering.
 
Hujajibu swali !! Je kwenye hizo point nilizoweka hakuna curve??? Yaan point a, b, c,d,e, f na g???
Mimi kwenye reference point yangu sioni kama kwenye hizo point kuna mkunjo,.. na nimekurahisishia kwamba from your point of view popote pala utakapo notice change in direction basi fahamu kwamba kuna mkunjo,..

sasa sijui kipi usichoelewa hapo.
 
Kwahy kwenye hizo point nyingne hakuna mikunjo???🤣🤣🤣🤣 Kwahy Kuna straight line sio, Basi sawaaaa!!
 
Back
Top Bottom