The celebrity
JF-Expert Member
- Jul 9, 2020
- 1,972
- 559
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nini maana ya "PLANE"Duuh!! Neno " plane" yes!! Lakin neno aeroplane linatokana na kigiriki yaani aer maana yake air na planos maana yake wandering, ambapo kiujumla inamaanisha wandering in air.
Sasa wewe nambie hiyo maana yako ukiunganisha unapata neno Gani?? 🤣🤣 Kwamba hewa iliyopo horizontal?🤣🤣
Hapo unadadavua neno planus, na sio origin ya neno aeroplane!!!
Still unafanya the same!!
Tatizo mgumu kuelewa,...Enhee ukitumia ndege maana yake hiyo path itakuwa imenyooka, bila kupinda either kushoto/kulia au juu/chini.
Angalia picha yako hapo., From your reference point, upande wa kushoto na kulia utaona points ambazo zime bend outward hizo ndiyo points mkunjo ulipo,.. nimekuwekea maelezo zaidi hopefully utaelewa.
Sources mbalimbali,..subiri upate shule zaidi,... Najua wewe si mwepesi wa kuelewa ila usipoelewa na hapa basi sidhani kama utaelewa tena.hateeb10
Au tufanye hivi tu, nipe source ya maelezo yako ya origin ya aeroplane ulipoitoa au umejitungia??
Sasa kwanini unakuwa mbishi wakati hujui??sijui kwanini imeitwa hivyo,.
We kilaza kweli!! Kwahy unaweza kupita kwenye conceptualized line?? Hapa tunaongelea paths ambazo binadamu au kitu kinapita sasa wewe unaweka imaginary lines??🤣🤣 Basi engineers wasingekuwa wanatengeneza tunnels Sasa wangekuwa Wanafanya imaginary line tu halafu gari/treni zinapita🤣🤣Tatizo mgumu kuelewa,...
- This use often includes visualizing or conceptualizing a straight line between the two locations, even if actual travel might require navigating around obstacles.
Source!!!???????? Au umejitungiaa??Sources mbalimbali,..subiri upate shule zaidi,... Najua wewe si mwepesi wa kuelewa ila usipoelewa na hapa basi sidhani kama utaelewa tena.
The word "aeroplane" originates from a combination of "air" and "plane", with its etymology reflecting its functionality as a flying vehicle with a flat or level wing surface. Here's a breakdown of its origin:
1. Roots of the Word:
- "Air": Derived from the Middle English word "air", which came from the Old French "air", and ultimately from the Latin "aer" (meaning atmosphere or sky), which itself originates from the Greek "aēr" (ἀήρ), meaning air.
- "Plane": From the Latin word "planus", meaning flat or level, reflecting the flat wings or surfaces used in flight.
The word "airplane" originates from a combination of "air" and "plane", with its etymology reflecting its functionality as a flying vehicle with a flat or level wing surface. Here's a breakdown of its origin:
1. Roots of the Word:
- "Air": Derived from the Middle English word "air", which came from the Old French "air", and ultimately from the Latin "aer" (meaning atmosphere or sky), which itself originates from the Greek "aēr" (ἀήρ), meaning air.
- "Plane": From the Latin word "planus", meaning flat or level, reflecting the flat wings or surfaces used in flight.
2. Development of the Term:
- The term "aeroplane" was the original spelling and is still used in British English. It comes from the French "aéroplane", which was coined in the mid-19th century.
- "Aéro": From the Greek "aēr" (air).
- "Plane": Refers to a flat or level surface, representing the wings of the aircraft.
Sasa mbona wewe umeelezea planus??👇👇 Au unajitoa akili bro!!🤣Nini maana ya "PLANE"
Unaambiwa "AEROPLANE" na sio "AEROPLANOS",... Au hujui kutofautisha?
Plane": From the Latin word "planus", meaning flat or level, reflecting the flat wings or surfaces used in flight.
From my reference point,.. mkunjo unaanzia point B & D,..hizo ndiyo points ambazo kwa upande wangu kama ninavyo observe nitasema mkunjo unaanzia hapo....... Then kwenye points nyingine popote pale utakapo notice any change in direction basi ujue kuna mkunjo depending on where you are(reference point),...View attachment 3205204
Sasa embu nambie, ukisema circle Ina curve mbili ambazo zina extend from the center to outwards, je, ni Kwa kutumia reference point ipi?
1. a-e
2. b-f
3. c-g
4. d-h
Na je, hizi kwenye hizi points👇 hakuna curve?? ,(yaani a, b, c, d, e, f na g)
View attachment 3205215
Kaulize ChatGPT itakuelezea kwa kina,.. ukibisha njoo nikueleweshe zaidi.Source!!!???????? Au umejitungiaa??
Ushaambiwa neno PLANE linatokana na neno "PLANUS" that means maana ya maneno hayo ni hiyo hiyo moja...........Au huelewi kitu kidogo kama hicho???Sasa mbona wewe umeelezea planus??👇👇 Au unajitoa akili bro!!🤣
Hujajibu swali !! Je kwenye hizo point nilizoweka hakuna curve??? Yaan point a, b, c,d,e, f na g???From my reference point,.. mkunjo unaanzia point B & D,..hizo ndiyo points ambazo kwa upande wangu kama ninavyo observe nitasema mkunjo unaanzia hapo....... Then kwenye points nyingine popote pale utakapo notice any change in direction basi ujue kuna mkunjo depending on where you are(reference point),...
Source!! Ya maelezo yako!! Please!!Kaulize ChatGPT itakuelezea kwa kina,.. ukibisha njoo nikueleweshe zaidi.
Hata Mimi nimekwambia neno plane linatokana na neno PLANOS that means wandering.Ushaambiwa neno PLANE linatokana na neno "PLANUS" that means maana ya maneno hayo ni hiyo hiyo moja...........Au huelewi kitu kidogo kama hicho???
PLANOS & PLANUS NI MANENO MAWILI TOFAUTI!
Hata Gemini nayo imekukataa tizama screenshot hapa chini,... unapouliza AI kitu ukiilazimisha kujibu unavyotaka wewe itakujibu tu,. sasa acha kuilazimisha iache yenyewe ikupe maelezo
Mimi kwenye reference point yangu sioni kama kwenye hizo point kuna mkunjo,.. na nimekurahisishia kwamba from your point of view popote pala utakapo notice change in direction basi fahamu kwamba kuna mkunjo,..Hujajibu swali !! Je kwenye hizo point nilizoweka hakuna curve??? Yaan point a, b, c,d,e, f na g???
🤣🤣 Onyesha ulivyouliza, mbona mm nimeonyesha nilivyouliza?? Usijekuwa umeiforce🤣Hata Gemini nayo imekukataa tizama screenshot hapa chini,... unapouliza AI kitu ukiilazimisha kujibu unavyotaka wewe itakujibu tu,. sasa acha kuilazimisha iache yenyewe ikupe maelezo
View attachment 3205275
Kwahy kwenye hizo point nyingne hakuna mikunjo???🤣🤣🤣🤣 Kwahy Kuna straight line sio, Basi sawaaaa!!Mimi kwenye reference point yangu sioni kama kwenye hizo point kuna mkunjo,.. na nimekurahisishia kwamba from your point of view popote pala utakapo notice change in direction basi fahamu kwamba kuna mkunjo,..
sasa sijui kipi usichoelewa hapo.