The celebrity
JF-Expert Member
- Jul 9, 2020
- 1,972
- 559
Asante studio!!? REPRESENTING THE WINGS OF THE AIRCRAFT!! SO HAIMAANISHI KWAMBA KWA SABABU DUNIA NI FLAT BALI KWA SABABU WINGS(MBAWA) ZAKE NI FLAT.🤣🤣.The term "aeroplane" was the original spelling and is still used in British English. It comes from the French "aéroplane", which was coined in the mid-19th century.
- "Aéro": From the Greek "aēr" (air).
- "Plane": Refers to a flat or level surface, representing the wings of the aircraft.
hateeb10 etiiii???We kilaza kweli!! Kwahy unaweza kupita kwenye conceptualized line?? Hapa tunaongelea paths ambazo binadamu au kitu kinapita sasa wewe unaweka imaginary lines??🤣🤣 Basi engineers wasingekuwa wanatengeneza tunnels Sasa wangekuwa Wanafanya imaginary line tu halafu gari/treni zinapita🤣🤣
hateeb10Sasa kwanini unakuwa mbishi wakati hujui??
Mfano wa great circle ni Equator, au duara yoyote ambayo itapita kwenye center of the sphere nayo itakuwa ni great circle( duara kuu) Kwa maana hakuna duara nyingine tofauti na zinazopitia kwenye center ya sphere ambazo ni Kubwa kuzidi hizo great circle.
Mfano: duara inayounganisha point P na p' ni great circle
View attachment 3205223
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣"Plane": From the Latin word "planus", meaning flat or level, reflecting the flat wings or surfaces used in flight.
"Conceptualizing a straight line"Tatizo mgumu kuelewa,...
- This use often includes visualizing or conceptualizing a straight line between the two locations, even if actual travel might require navigating around obstacles.
Eti hateeb10Sasa inatofaut Gani na Ile ya awali??
Eeeeeh!! hateeb10Sio issue pia nachotaka sasa unambie great circle route kwenye ndege maana ndege sio kwamba huwa zinakwepa milima angani,
Kwahy kwenye hizo point zingine hakuna change in direction???Mimi kwenye reference point yangu sioni kama kwenye hizo point kuna mkunjo,.. na nimekurahisishia kwamba from your point of view popote pala utakapo notice change in direction basi fahamu kwamba kuna mkunjo,..
sasa sijui kipi usichoelewa hapo.
Huyo ni wa kuruka ruka tuKwahy kwenye hizo point zingine hakuna change in direction???
Kwenye Kila point Kuna change in direction 👇
View attachment 3205328
Sasa mwanzo ulivyosema "PLANE" Unamaanisha "Wandering".........Asante studio!!? REPRESENTING THE WINGS OF THE AIRCRAFT!! SO HAIMAANISHI KWAMBA KWA SABABU DUNIA NI FLAT BALI KWA SABABU WINGS(MBAWA) ZAKE NI FLAT.🤣🤣.
Na ndio maana nikikwambia ulete source unakimbia kumbe unajua Kuna vitu umevichambua na vingine umeviacha
View attachment 3205319
Sasa hapo unaona kuna point aliyotoa au anaruka ruka?Huyo ni wa kuruka ruka tu
Najua yupo kimya anajipanga arudi hapa kujibu ujinga,
Soma mpk mwisho acha bhangeSasa mwanzo ulivyosema "PLANE" Unamaanisha "Wandering".........
ulikua hujitambui au??
🤣🤣🤣🤣🤣 Unahaha tu mwenyewe!! Unaongea vitu hata huvijui,Sasa hapo unaona kuna point aliyotoa au anaruka ruka?
Muambie akupe uthibitisho wa kwamba Dunia ni tufe 🌎 na Inazunguka....
Even though anasema kwamba Gravity inavuta vitu chini,...ila kakiri mwenyewe kwamba tokea azaliwe hajawahi kuhisi anavutwa na force yoyote.
hateeb10 mbona umekimbia???Kwahy kwenye hizo point zingine hakuna change in direction???
Kwenye Kila point Kuna change in direction 👇
View attachment 3205328
hateeb10 profesa la flat earth🤣🤣🤣, umekimbiaNi makosa lakini!! Sio issue pia nachotaka sasa unambie great circle route kwenye ndege maana ndege sio kwamba huwa zinakwepa milima angani,
hateeb10 sioni mrejeshoo🤣🤣Sasa kwanini unakuwa mbishi wakati hujui??
Mfano wa great circle ni Equator, au duara yoyote ambayo itapita kwenye center of the sphere nayo itakuwa ni great circle( duara kuu) Kwa maana hakuna duara nyingine tofauti na zinazopitia kwenye center ya sphere ambazo ni Kubwa kuzidi hizo great circle.
Mfano: duara inayounganisha point P na p' ni great circle
View attachment 3205223
hateeb10 usiwe muoga we si ndo imeleta hata maneno humu🤣🤣"Conceptualizing a straight line"
Nadhani umeona ujinga wako Sasa!! Ndo maana hapa wakasema conceptualized line au imaginary line, Kwa maana ya kwamba line ambayo haitapinda kufata urefu wa mlima, ukifata tu urefu wa mlima hiyo line/path haitakuwa straight tena..
Hahahaaaa!! Mbona wewe ulisema plane Inamaanisha flat surface ya Dunia kwamba ndege inamove kwenye flat surface 🤣🤣🤣, kumbe muongo!!Sasa mwanzo ulivyosema "PLANE" Unamaanisha "Wandering".........
ulikua hujitambui au??
Mimi sio muongo Bali hujui nilitumia logic gani kusema hivyo...,Hahahaaaa!! Mbona wewe ulisema plane Inamaanisha flat surface ya Dunia kwamba ndege inamove kwenye flat surface 🤣🤣🤣, kumbe muongo!!