Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?

  • Total voters
    710
hateeb10
............INAENDELEA

Kuna swali uliniuliza naona ulilishikilia sana, uliuliza kama nimeahawahi kuhisi gravity? Nikakujibu sijawahi kuhisi, na huwezi kuhisi.

Kwann?? Jibu ni Adaptation, time adapt hii condition. Mfano kichwa chako kina uzito siyo? Lkn hujawahi kuhisi au shingo kuchoka kushikilia kichwa chako, au mikono yako huwezi kuihusi ni kama ni mzigo kwako. Hiyo ndio adaptation.
Chai
 
Over the flat earth surface NO.
But At short distance, ndege Ina move horizontally, mfano kutoka mwanza to dar, lkn kwenye distance ambayo ni Kubwa ndege lazima itafata curvature ya Dunia(lazima).
Kwahiyo Ndege ikifuata curvature ina move vertically instead of horizontally?
 
Unaleta Memez humu 🤣🤣🤣 na Kuna hoja umezikimbia hutaki kujibu🤣🤣,
Ukiona sijajibu ujue hakuna hoja hapo,... kwa mfano unalazimisha nikuelezee great circle route kwenye flat earth wakati wewe ndiyo uliyekuja na concern yako hii mimi niielezee ili iweje sasa... na hata kama nikielezea haitothibitisha kwamba Dunia ni tufe na inazunguka.

Nilikuambia ulete uthibitisho wa videos na picha halisia zikionyesha kwamba Dunia ni tufe kwa bahati mbaya ukaleta katuni.
 
hiyo sio meme that's a fact,... unaiita meme ili ukimbie wakati hiyo scenario ni uthibitisho tosha kwamba gravity haihusiki kwenye vitu kuanguka.
 
Wewe si ulisema hata kwenye flat earth hiyo route inawezekana🤣🤣🤣, ndo nimekwambia Sasa nambie ndege zunawezaje kufanya hivyo kwenye flat earth.
Nilikuambia ulete uthibitisho wa videos na picha halisia zikionyesha kwamba Dunia ni tufe kwa bahati mbaya ukaleta katuni.
Wewe kuita katuni haiondoi uhalisia🤣🤣
 
Kufata curve kunahusianaje na horizontally na vertically??
Kwani hii kauli yako ulimaanisha nini?......"But At short distance, ndege Ina move horizontally, mfano kutoka mwanza to dar, lkn kwenye distance ambayo ni Kubwa ndege lazima itafata curvature ya Dunia(lazima)."

Umesema at short distance Ndege ina move horizontally,.kisha ukaweka 'BUT....

Sasa tuambie in the long distance Ndege hai move horizontally? ina move vipi?
 
Yesss

Ndiooo.

Si Inafata curvature ya Dunia. Yaani route yake itakuwa curved (haitakuwa straight).
 
And yet huwezi kuelezea ni nn sabab ya vitu kuanguka🤣
Nimekuelezea ila kwa kuwa umeshakaririshwa hutaki kukubali kwamba gravity haifanyi hivyo ulivyofundishwa,...

Mfano mzuri ndiyo huo wa Yai kuelea kwenye maji chumvi na kuzama kwenye maji fresh,... ila still huwezi kuelewa I hope siku moja utaruhusu akili yako ifikirie on its own.
 
Yesss

Ndiooo.

Si Inafata curvature ya Dunia. Yaani route yake itakuwa curved (haitakuwa straight).
lakini still ina move horizontally? maana hutaki kujibu directly umeshikilia kufuata curvature ya Dunia, inafuata vipi? unaogopa kusema,..

Kumbuka Ndege haiwezi ku move horizontally constantly kwenye tufe la namna hii 👉 🌎
 
hiyo sio meme that's a fact,... unaiita meme ili ukimbie wakati hiyo scenario ni uthibitisho tosha kwamba gravity haihusiki kwenye vitu kuanguka.
Sasa hapo Kuna kitu Gani Cha ajabu??
Maji umeyachanganya na chumvi(siyo pure water tena 1 kg/m³) maana yake density yake imeongezeka hivyo kufanya density ya maji kuwa Kubwa kuliko ya yai.

Na hiyo haiondoi kuwa vitu huanguka Kwa sabab ya gravity. Embu fikria kwann at first kwenye maji yasiyo na chumvi Yai lilizama(kumbuka hapo Kuna density) na scenario ya pili kwenye maji yenye chumvi Yai halikuzama(hapa pia density ipo).

Kwahy utagundua Kuna kitu kingne kinacho affect movement ya yai, density haisababishi mwendo wa kitu Hilo unalijua Kila kitu chenye uzito Kuna density hata ukilichukua Hilo yai ukaliweka chini Bado litakuwa na density Ile ile, lkn halitamove Kwa sabab density haisababishi mwendo wa kitu.
 
Nimekuelezea ila kwa kuwa umeshakaririshwa hutaki kukubali kwamba gravity haifanyi hivyo ulivyofundishwa,...
🤣🤣🤣
Mfano mzuri ndiyo huo wa Yai kuelea kwenye maji chumvi na kuzama kwenye maji fresh,... ila still huwezi kuelewa I hope siku moja utaruhusu akili yako ifikirie on its own.
Unapenda kukimbilia huku!! Ukiweka hoja zako vizuri utakuwa mtu wa maana sana.
 
Sasa hapo Kuna kitu Gani Cha ajabu??
Maji umeyachanganya na chumvi(siyo pure water tena 1 kg/m³) maana yake density yake imeongezeka hivyo kufanya density ya maji kuwa Kubwa kuliko ya yai.

Na hiyo haiondoi kuwa vitu huanguka Kwa sabab ya gravity. Embu fikria kwann at first kwenye maji yasiyo na chumvi Yai lilizama(kumbuka hapo Kuna density) na scenario ya pili kwenye maji yenye chumvi Yai halikuzama(hapa pia density ipo).

Kwahy utagundua Kuna kitu kingne kinacho affect movement ya yai, density haisababishi mwendo wa kitu Hilo unalijua Kila kitu chenye uzito Kuna density hata ukilichukua Hilo yai ukaliweka chini Bado litakuwa na density Ile ile, lkn halitamove Kwa sabab density haisababishi mwendo wa kitu.
Kwahiyo ni kitu gani hasa kinafanya Yai lielee kwenye saltwater na lizame kwenye freshwater? apart from density hicho kitu kingine ni kipi?
 
Back
Top Bottom