Kwahy unapingana na flat earthers Hawa? Kwahy umeona ni kiasi Gani Dunia haiwezi kuwa flat, na umejua kwann nakataa hii Nadharia sasa?? Mimi sio mjinga, mpaka Sasa umeshaona mapungufu makubwa kwenye Nadharia ya flat earth,
1. Ni mzunguko wa jua
2. Ni acceration ya Dunia(kwamba Dunia Ina accelerate upwards at 9.81🤣🤣).
Naww umeona ni upumbavu ndio maana hukubaliani nayo.
Tukija kwako, Sina haja tena ya kuendelea kubishana naww kuhusu umbo la Dunia Kwa sababu
1. Huna Nadharia iliyokamilika kuhusu umbo la Dunia yako.
a) hujui mzunguko wa jua kwenye Dunia yako flat
b) hujui baadhi ya observations zinavyotokea( solar and lunar eclipses, moon phases pamoja na kwann tunaweza kuona Jua na mwezi Kwa pamoja) huna majibu na hujui. N.k N.k
2. Umekubaliana namimi kuwa Nadharia ya flat earth inamapungufu sio tu mengi Bali makubwa.
3. Umekiri mwenyewe kuwa Dunia Ina curvature👇👇
4. Umeshindwa kuelezea mambo mengi ambayo nimekuhoji, mfano:
a) great circle route
b) perspective according to you kama unavyosema ndo sabab ya kuona sunset na sunrise.
Hii inadhihirisha ni Kwa kiasi Gani huna point za muhimu kuendelea ku argue.
Kitu unachopenda kukimbilia ni nimekaririshwa, picha nazokupa unasema ni katuni kwahy Dunia, watu wote nzima ifanye kazi ya kutengeneza katuni Ili kukuaminisha ww kuwa Dunia ni duara??
Haya na hii sema ni katuni👇👇
View attachment 3209821
Ukitaka tuendelee humu, njoo na comeback kwenye hayo maeneo nilihainisha hapo juu.