Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?

  • Total voters
    710
Hapa unaweza kuwa sahihi pia, kwamba ni assumption tu, lkn sio kweli Kwa maana pia in relation to movement of the earth with its atmosphere including hiyo ndege, the earth is stationary, so ni sawa tu kwako kuweka assumption kwamba Dunia haizinguki.

Kwenye flat, hapa ita apply only Kwa sababu Map lazima iwe kwenye flat surface, na pia kwenye route ambazo ni fupi
Unasema naweza kuwa sahihi? Kwani hizo assumptions nimeziweka Mimi?
 
Hahh naona umeamua kujifariji,....

Najua umeelewa vizuri tu kwamba nini nimemaanisha regarding whether curvature inakua considered/not kwenye anga,.ila umeamua kuiweka kwamba Ina support idea yako ya imaginary curvature of the earth,...
Umeelezea vyema kabisaaaa🤣🤣, Wala usiwe na shaka!!!
Kimsingi nimetoa hiyo statement kukuelewesha assumptions mbili (wao wanaziita assumptions, I thought ungejiongeza kwamba what if huo ndiyo uhalisia & not assumptions kama wanavyosema) yaani kwenye piloting wana assume kwamba :-
1. Dunia ni flat
2. Dunia haifanyi movement (stationary).
What if tena🤣🤣
Nilijua ungedadisi kwamba je hizo assumptions ni assumptions kweli au ndiyo uhalisia ulivyo,..but sadly umezibeba kama unavyofundishwa!
🤣🤣🤣🤣🤣
 
hateeb10
Na labda nikuulize swali la mwisho;
Vitu huanguka katika rate (acceration) sawa au inategemea na uzito wa kitu?-kwamba chenye uzito mkubwa huanguka Kwa haraka kuliko chenye uzito mdogo.
Ndiyo rate ya vitu kuanguka inategemea na uzito wa kitu,.

Na hiyo unaweza ukafanya research kwa kujaribu objects tofauti tofauti,.. jaribu kuangusha/kurusha mfuko empty na Coin ya Tsh.50 uone utapata matokeo gani.
 
Umeelezea vyema kabisaaaa🤣🤣, Wala usiwe na shaka!!!

What if tena🤣🤣

🤣🤣🤣🤣🤣
Hahh sawa lete uthibitisho basi..,mpaka leo hujapata video halisia ukiachana na ile katuni?

Naomba video inayoonyesha shughuli za kijamii na kiuchumi zinavyoendelea Australia 🌏.,.. video iwe zoomed vizuri!
 
Ndiyo rate ya vitu kuanguka inategemea na uzito wa kitu,.

Na hiyo unaweza ukafanya research kwa kujaribu objects tofauti tofauti,.. jaribu kuangusha/kurusha mfuko empty na Coin ya Tsh.50 uone utapata matokeo gani.
Duuh!! Experiment imeshafanyika tangu miaka ya zamani sana.

It is said that Galileo demonstrated that Aristotle’s belief was false by dropping weights from the leaning tower of Pisa. The story is almost certainly untrue, but Galileo
did do something equivalent: he rolled balls of different weights down a smooth slope.

The situation is similar to that of heavy bodies falling vertically, but it is easier to observe because the Speeds are smaller. Galileo’s measurements indicated that each body increased its speed at the same rate, no matter what its weight. For
example, if you let go of a ball on a slope that drops by one meter for every ten meters you go along, the ball will be traveling down the slope at a speed of about one meter per second after one second, two meters per second after two seconds, and so on, however heavy the ball.
 
Hahh sawa lete uthibitisho basi..,mpaka leo hujapata video halisia ukiachana na ile katuni?
Kuita katuni haibadirishi kitu!! Uzuri ni kwamba umeshasema curvature of the earth is not taken into consideration so Sina haja yakujielezea sana.
Naomba video inayoonyesha shughuli za kijamii na kiuchumi zinavyoendelea Australia 🌏.,.. video iwe zoomed vizuri!
Unaona akili zako sasa🤣🤣🤣, video za shughuli za kijamii na kiuchumi Australia mpaka u zoom? Kweli?? Sasa kwann u zoom??

View: https://youtu.be/v6-51yRkVbk
 
Unazidi kujifanganya mwenyewe na kudhihirisha hujui chochote!! Bora ukubali hujui.

Mimi sijakataa kuwa kwenye flat ndege haiwezi ku curve(kupita njia ya mkunjo) au kwenda straight Ili kufikia destination yake. Bali nahoji hiyo njia ya mkunjo(curved route/great circle route) ni kivipi inaweza kuwa ndio route fupi zaidi kuliko straight route?? SIJUI UMENIELEWA SASA??

Yaani hii👇👇 ni route fupi
View attachment 3209083

Kuliko hii👇👇
View attachment 3209085
hateeb10
Njoo tumalizie hapa, maana ushajua kwamba Dunia una curvature. Bado hapa tu🤣🤣🤣
 
hateeb10
Na Moja ya sabab zinazotolewa na flat earthers ni kwamba vitu huonekana kuanguka Kwa rate sawa (9.81) Kwa sababu Dunia Ina accelerate upwards Kwa rate hiyo (9.81) Kwahy wanadai kuwa Dunia ndio inavi-hit vitu🤣🤣. VITUKO.

Kwahy unapoona nakataa Dunia sio flat sio mjinga, nimesoma na kuona ni ujinga tu.
Screenshot_20250121-215512~2.png
 
Duuh!! Experiment imeshafanyika tangu miaka ya zamani sana.

It is said that Galileo demonstrated that Aristotle’s belief was false by dropping weights from the leaning tower of Pisa. The story is almost certainly untrue, but Galileo
did do something equivalent: he rolled balls of different weights down a smooth slope.

The situation is similar to that of heavy bodies falling vertically, but it is easier to observe because the Speeds are smaller. Galileo’s measurements indicated that each body increased its speed at the same rate, no matter what its weight. For
example, if you let go of a ball on a slope that drops by one meter for every ten meters you go along, the ball will be traveling down the slope at a speed of about one meter per second after one second, two meters per second after two seconds, and so on, however heavy the ball.
Wewe ulivyofanya experiment uligundua nini? achana na habari za kina Galileo

Au huiamini akili yako?
 
Kuita katuni haibadirishi kitu!! Uzuri ni kwamba umeshasema curvature of the earth is not taken into consideration so Sina haja yakujielezea sana.

Unaona akili zako sasa🤣🤣🤣, video za shughuli za kijamii na kiuchumi Australia mpaka u zoom? Kweli?? Sasa kwann u zoom??

View: https://youtu.be/v6-51yRkVbk

Hahh hizo ni katuni kaka,.. onyesha video za shughuli za kijamii na kiuchumi kwenye Dunia tufe linalozunguka,.... ukiweka hapa kuanzia leo nitaamini kile unachoamini wewe.
 
hateeb10
Na Moja ya sabab zinazotolewa na flat earthers ni kwamba vitu huonekana kuanguka Kwa rate sawa (9.81) Kwa sababu Dunia Ina accelerate upwards Kwa rate hiyo (9.81) Kwahy wanadai kuwa Dunia ndio inavi-hit vitu🤣🤣. VITUKO.

Kwahy unapoona nakataa Dunia sio flat sio mjinga, nimesoma na kuona ni ujinga tu.
View attachment 3209273
Mimi nakuambia objects hazi fall at the same rate,.. wewe unaleta kile wanachosema flat earthers hayo ni mawazo yao mimi sipo guided na mawazo ya watu fulani,. wakiwa sawa nita support wakiwa hawapo sahihi siwezi kukubaliana nao.
 
Wewe ulivyofanya experiment uligundua nini? achana na habari za kina Galileo

Au huiamini akili yako?
Nilifanya experiment hii mwaka 2016, nikapata majibu yake Yale. Lakn pia tumekuwa tukifanya experiment tangu o level, majibu ni Yale Yale, vitu vyote vina accelerate the same 9.81.
 
Hahh hizo ni katuni kaka,.. onyesha video za shughuli za kijamii na kiuchumi kwenye Dunia tufe linalozunguka,.... ukiweka hapa kuanzia leo nitaamini kile unachoamini wewe.
Hahahahaaaa kwamba video niloweka ni katuniiiii🤣🤣🤣, inaonesha ni kiasi Gani hata huwa husomi Wala kufatilia nilichoandika au nilichoweka.
 
Mimi nakuambia objects hazi fall at the same rate,.. wewe unaleta kile wanachosema flat earthers hayo ni mawazo yao mimi sipo guided na mawazo ya watu fulani,. wakiwa sawa nita support wakiwa hawapo sahihi siwezi kukubaliana nao.
Kwahy unapingana na flat earthers Hawa? Kwahy umeona ni kiasi Gani Dunia haiwezi kuwa flat, na umejua kwann nakataa hii Nadharia sasa?? Mimi sio mjinga, mpaka Sasa umeshaona mapungufu makubwa kwenye Nadharia ya flat earth,

1. Ni mzunguko wa jua
2. Ni acceration ya Dunia(kwamba Dunia Ina accelerate upwards at 9.81🤣🤣).

Naww umeona ni upumbavu ndio maana hukubaliani nayo.

Tukija kwako, Sina haja tena ya kuendelea kubishana naww kuhusu umbo la Dunia Kwa sababu

1. Huna Nadharia iliyokamilika kuhusu umbo la Dunia yako.
a) hujui mzunguko wa jua kwenye Dunia yako flat
b) hujui baadhi ya observations zinavyotokea( solar and lunar eclipses, moon phases pamoja na kwann tunaweza kuona Jua na mwezi Kwa pamoja) huna majibu na hujui. N.k N.k

2. Umekubaliana namimi kuwa Nadharia ya flat earth inamapungufu sio tu mengi Bali makubwa.

3. Umekiri mwenyewe kuwa Dunia Ina curvature👇👇
Lakini pia kumbuka angani curvature of the earth haipo taken into consideration na ndiyo maana miongoni mwa concepts muhimu kwenye urubani ni:-
a. Assumption that earth is flat

4. Umeshindwa kuelezea mambo mengi ambayo nimekuhoji, mfano:
a) great circle route
b) perspective according to you kama unavyosema ndo sabab ya kuona sunset na sunrise.
Hii inadhihirisha ni Kwa kiasi Gani huna point za muhimu kuendelea ku argue.
 
Kitu unachopenda kukimbilia ni nimekaririshwa, picha nazokupa unasema ni katuni kwahy Dunia, watu wote nzima ifanye kazi ya kutengeneza katuni Ili kukuaminisha ww kuwa Dunia ni duara??
Haya na hii sema ni katuni👇👇
main-qimg-9015193ad5e202bf3460742c8ae01209-lq.jpeg

Ukitaka tuendelee humu, njoo na comeback kwenye hayo maeneo nilihainisha hapo juu.
 
Back
Top Bottom