Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?


  • Total voters
    710
Mimi sio muongo Bali hujui nilitumia logic gani kusema hivyo...,

Basi ngoja niseme Ndege zina move vertically over the earth's surface,.... Hapo nadhani umefurahi sasa.
Usitake kuamisha, wewe ulisema tofauti(ulidanganya)
 
Unachobisha hasa ni nini? Maana sikuelewi naona maneno mengi mno.

Be specific tuweke sawa kitu kimoja baada ya kingine.
Niwe specific na kipi??🤣, si umesema conceptualized line?? Yaani imaginary line? Sasa wewe unaweza kupita kwenye imaginary path??
 
hateeb10 hapa umeuchuna??
 
hateeb10 nimekwambia nielezee Sasa great circle route ya ndege/meli Inavyokuwa kwenye hiyo flat earth yako umepotea😀.
 
Usitake kuamisha, wewe ulisema tofauti(ulidanganya)
Kwahiyo Ndege hai move horizontally kama nilivyosema?

Kwamba Wings of an aircraft zipo horizontally lakini Ndege ina move vertically? unachekesha,.. siku ukiona Ndege ina move vertically record video uilete hapa
 
Kwahy kwenye hizo point zingine hakuna change in direction???

Kwenye Kila point Kuna change in direction 👇
View attachment 3205328
Ukisikia kitu kime change direction maana yake nini?

Maana yake at a certain point in time kitu kitu hicho kilikua muelekeo wa direction fulani then change in direction ikatokea,.. so hauwezi kuwa sahihi kudai kwamba kila sehem kuna change.

Ili ujue kama kuna change in direction lazima kuwe na original direction.... na kitendo cha kuwepo original direction ni ushahidi tosha kwamba sio kila point kwenye tufe kuna change in direction.
 
Kwahiyo Ndege hai move horizontally kama nilivyosema?
Mbona unahama?? Ulisema kwenye neno 'Aeroplane' Ile PLANE ambayo ni PLANUS inamaanisha kuwa ndege inamove kwenye flat surface🤣🤣 wakati no ni tofauti.
Kwamba Wings of an aircraft zipo horizontally lakini Ndege ina move vertically? unachekesha,.. siku ukiona Ndege ina move vertically record video uilete hapa
Nani kasema zipo horizontally???🤣🤣 Me nimekosoa tu kuwa neno PLANE(PLANUS) lilimaanisha flat wings basiiiii hayo mengine unayaongezea kujitetea tu.
 
Kwahiyo unakubali kwamba Ndege ina move horizontally over the flat earth's surface?
 
Kwanini sasa ulikua unalazimisha neno PLANE litokane na PLANOS instead of PLANUS?
 
Ukisikia kitu kime change direction maana yake nini?
"Kubadilika mwelekeo" ni msemo unaotumiwa kuelezea hali ambapo kitu kinachoendelea au kinachofanyika kinachukua njia tofauti na ile iliyokuwa ikitumika hapo awali. Ni kama gari linavyobadili njia kutoka barabara moja kwenda nyingine.
Maana yake at a certain point in time kitu kitu hicho kilikua muelekeo wa direction fulani then change in direction ikatokea,.. so hauwezi kuwa sahihi kudai kwamba kila sehem kuna change.
Kutoka point Moja kwenda mlnyingine Kuna change of direction, wewe haupo sawa kiakili!!!




Ili ujue kama kuna change in direction lazima kuwe na original direction.... na kitendo cha kuwepo original direction ni ushahidi tosha kwamba sio kila point kwenye tufe kuna change in direction.
Original direction ndo nini?? Ulishawahi kuzungusha kitu in a circular motion, hata jiwe tu ukilifunga kamba zungusha Kwa muda them achia kamba uone litaelekea uelekeo upi, je litaendelea kuzunguka au litaenda straight kufuata uelekeo kutoka kwenye point ulipoachia?

TUMIA AKILI
 
Kwahiyo unakubali kwamba Ndege ina move horizontally over the flat earth's surface?
Over the flat earth surface NO.
But At short distance, ndege Ina move horizontally, mfano kutoka mwanza to dar, lkn kwenye distance ambayo ni Kubwa ndege lazima itafata curvature ya Dunia(lazima).
 
hateeb10
Naona sasa Umeishiwa hoja!!
Na ninmeweza sio tu kuthibitisha kuwa Dunia ni Oblate sphere Bali pia nimweza kuthibitisha bila shaka haupo uwezekano wa Dunia kuwa flat(tambarare).

Nasema haya Kwa sababu mbali mbali ikiwa ni pamoja na wewe kushindwa kuelezea baadhi ya observations lkn pia kukubaliana na Mimi kuwa haiwezekani kwenye Dunia flat. Hoja ambazo zinanifanya nisemeje hivi:;

1. Hoja ya mzunguko wa jua.
Nilitumia model ya flat earth ambayo ndio hutumika kuelezea mzunguko wa jua kwenye Dunia flat, na nikahoji vitu viwili vikibwa,

a) ikiwa Jua linazunguka kama ambavyo imeelezewa kwenye model ya flat earth inamaana distance(radius) kutoka lilipo Jua mpaka kwenye center ya Dunia(North pole)ni sawa throughout movement ya Jua, Kwa maana hiyo popote Jua liwapo kwenye mzunguko wake Kuna mambo mawili hapa (1) Jua litafika katikati ya Dunia(North pole) (2) Jua halitafik North pole.

Sasa kama jibu ni (1) basi katika maisha yote ya mzunguko wa jua kwenye orbit yake North pole kila siku kutakuwa mchana tu, Kwa maana Jua litafika siku zote na popote liwapo kwenye mzunguko wake. Kitu ambacho kwenye uhalisia sio kweli.

Na kama jibu ni (2) basi katika maisha yote ya mzunguko wa jua kwenye orbit yake North pole kila siku kutakuwa usiku tu, Kwa maana Jua halitaweza kufika siku zote na popote liwapo kwenye mzunguko wake. Kitu ambacho pia kwenye uhalisia sio kweli.



Na kama unakumbuka hapa ulikana(ulijitoa) na kusema wewe hujawahi kusema au kuelezea kuwa Jua linafanya mzunguko wa namna hiyo (maana yake hata wewe umeona hitiilafu hapo) na ukadai hujui chochote au namna Jua linavyofanya mzunguko wake. So hii inaonesha au inadhihirisha udhaifu mkumbwa wa hoja ya Dunia flat.

b) hapa nilihoji kutokana na model ya flat earth tunaona jua na mwezi vinazunguk kwenye orbit Moja na tunaona kama Jua likiwa upande huu basi Mwezi unakuwa opposite side ya Jua.

Swali nililohoji ni kwamba katika observation zetu za Kila siku tunashuhudia na tumeshashuhudia mara kadhaa Jua na mwezi kuonekana Kwa pamoja wakati wa mchana. Kitu ambacho kwenye model ya flat earth hakiwezekani.



INAENDELEAAA..................,
 
hateeb10
...................... INAENDELEA

2. Hoja nyingine ni PERSPECTIVE.
Hii ni hoja inayotumiwa na flat earthers(pamoja na ww) kuwa ndio hufanya tuone Jua kama linazama. Hapa nilifafanua vitu vingi sana ambavyo vilikosa majibu,

Kwanza nilikupa conditions au rules za perspective( yaani mpka useme hii ni perspective lazima Kuna vitu hivi vitokee)

1. Perspective is how three-dimensional scenes are represented on a two-dimension surface and seen by the human eye.

2. Closer objects appear larger than more distant objects.

3. Parallel lines appear to converge into the distance.

Hapa nikauliza swali lililokosa jibu/ jibu lake kulikuwa la kubumbabumba.

Swali: kwanini sasa Jua huwa halipungui size kama Sababu ni perspective??
Majibu hakuna...........

3. GREAT CIRCLE ROUTES
Hapa Sasa ndio kasheshe🤣🤣, mtu hajui lakini anapambana kuelezea vitu ambavyo hata yeye hajui.
Lakini anakupa majibu kama haya👇👇🤣🤣🤣



 
hateeb10
............INAENDELEA

Kuna swali uliniuliza naona ulilishikilia sana, uliuliza kama nimeahawahi kuhisi gravity? Nikakujibu sijawahi kuhisi, na huwezi kuhisi.

Kwann?? Jibu ni Adaptation, time adapt hii condition. Mfano kichwa chako kina uzito siyo? Lkn hujawahi kuhisi au shingo kuchoka kushikilia kichwa chako, au mikono yako huwezi kuihusi ni kama ni mzigo kwako. Hiyo ndio adaptation.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…