Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?

  • Total voters
    710
Nilifanya experiment hii mwaka 2016, nikapata majibu yake Yale. Lakn pia tumekuwa tukifanya experiment tangu o level, majibu ni Yale Yale, vitu vyote vina accelerate the same 9.81.
Ukiangusha karatasi na Jiwe,.. rate ya kuanguka itakua sawa?
 
Wewe aliyekuambia mimi nipo hapa ku argue nani?,.. wewe huna uthibitisho wa madai yako ndiyo maana unaona tupo kwenye argument hapa.

NOTE: Sipo hapa kufanya argument,.. nipo hapa kuomba uthibitisho usio acha maswali yoyote, kwamba 100% Dunia ni tufe na inazunguka,. kama huna uthibitisho endelea ku argue.
 
Huwezi kuthibitisha kwamba Dunia ni tufe na inazunguka,..then unasema nije na comeback?

Eti nimekiri kwamba Dunia ina curvature,.. basi sawa tuseme nimekiri,. Then how can i prove kwamba curvature kweli ipo? wewe unaweza ku prove?
 
Wewe aliyekuambia mimi nipo hapa ku argue nani?,.. wewe huna uthibitisho wa madai yako ndiyo maana unaona tupo kwenye argument hapa.
Uthibitisho nimeshakupa wa kutosha🤣, na uzuri umekiri mwenyewe. Lakin ww umeshindwa kutetea hoja zako.
NOTE: Sipo hapa kufanya argument,.. nipo hapa kuomba uthibitisho usio acha maswali yoyote, kwamba 100% Dunia ni tufe na inazunguka,. kama huna uthibitisho endelea ku argue.
Haupo hapa kuomba uthibitisho, upo hapa kutetea Uzi(rejea mada ya Uzi) na umeshindwa vibaya kabisa.

Uzi: Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare
So wewe unamuunga mkono mleta Uzi. Lakin umeshindwa kutetea hoja zako.
 
Huwezi kuthibitisha kwamba Dunia ni tufe na inazunguka,..then unasema nije na comeback?
Sijashindwa siwezi kukushikia mtutu Ili ukubali. Ila hoja zako zinadhihirisha kiasi Gani umeelewa Sasa kuwa Dunia ni duara.
Eti nimekiri kwamba Dunia ina curvature,.. basi sawa tuseme nimekiri,. Then how can i prove kwamba curvature kweli ipo? wewe unaweza ku prove?
Hapa👇
 
Eti nimekiri kwamba Dunia ina curvature,.. basi sawa tuseme nimekiri,. Then how can i prove kwamba curvature kweli ipo? wewe unaweza ku prove?
Kama unaona Bado una hoja, jibu hoja zangu nilizo ainisha hapo juu. Simple tu.
 
hateeb10
Ngoja kwanza, je tunakubaliana kuwa flat earth model(ambayo ipo published) Ina mapungufu sio tu mengi Bali makubwa pia?

Na kwamba hukubaliani nayo Kwa namna Moja ama nyingine?
 
hateeb10
Ngoja kwanza, je tunakubaliana kuwa flat earth model(ambayo ipo published) Ina mapungufu sio tu mengi Bali makubwa pia?

Na kwamba hukubaliani nayo Kwa namna Moja ama nyingine
Hujajibu swali,.. nimeuliza Karatasi na Jiwe ukirusha vitaanguka at the same rate?

Jibu ndiyo au hapana.,,
Jibu: Ndio( condition hakuna air resistance)
Naww, coin ya 200 na jiwe la 1 kg ukiangusha Kwa pamoja je vitaanguka at the same rate, and same time????
 
Hujajibu swali,.. nimeuliza Karatasi na Jiwe ukirusha vitaanguka at the same rate?

Jibu ndiyo au hapana.,,
Jifunze acha ujinga!!! Nimekupa video ya experiment iliyofanyika, je hujaona?? Au nayo ni katuni???🤣🤣
 
Uthibitisho nimeshakupa wa kutosha🤣, na uzuri umekiri mwenyewe. Lakin ww umeshindwa kutetea hoja zako.

Haupo hapa kuomba uthibitisho, upo hapa kutetea Uzi(rejea mada ya Uzi) na umeshindwa vibaya kabisa
Umenipa uthibitisho gani?

Hata wewe deep down unajua kwamba huwezi kutumia hizo katuni kuthibitisha 100% kwamba Dunia ni tufe na inazunguka,..
 
Mimi ili kujua kwamba whether Dunia ni flat/tufe sihitaji model yoyote,.. i have senses to observe and decide,. unless proven otherwise.
Unasema condition iwe hakuna air resistance? kwanini object mojawapo iwe affected zaidi na air resistance kuliko object nyingine?
 
Jifunze acha ujinga!!! Nimekupa video ya experiment iliyofanyika, je hujaona?? Au nayo ni katuni???🤣🤣
Sasa experiment ambayo mimi mwenyewe naweza kuifanya unataka mpaka nifanye reference kwa mtu mwingine,.. sidhani kama kuna ulazima huo.
 
Naww, coin ya 200 na jiwe la 1 kg ukiangusha Kwa pamoja je vitaanguka at the same rate, and same time????
Kuanguka at the same rate and time itategemea density ya object hizo mbili (Coin ya 200 na Jiwe la Kg1) compared to air. na of course kama hakuna hewa zitaanguka kwa wakati mmoja since hakuna chochote kinachoweza ku resist.

NOTE; Hii pia ina disprove gravity theory inayosema kwamba "The force of gravity acting on an object depends on its mass. Objects with larger mass are pulled with greater force by gravity compared to objects with smaller mass."

Hahh sasa kama hiyo ni kweli,.. Jiulize Je, in real life experience kitu unachovuta kwa nguvu kubwa na kitu unachovuta kwa nguvu ndogo kipi kitafika pale unapovutia (let's say chini) kwa haraka zaidi?? Je vitu vitu vyote viwili vita accelerate at the same rate wakati nguvu uliyotumia kuvuta ni tofauti??

Tufikirie tu pole pole,.. nipo nasubiri majibu hapa.
 
Your senses have limits!! Sasa endelea kukaa na sense zako hivo hivo!! Mbn huamini kama ruler inapinda ukizamisha kwenye maji, mbona unaamini illusion kwenye kuzama Kwa Jua?? Acha uongo na ujinga
 
Umenipa uthibitisho gani?

Hata wewe deep down unajua kwamba huwezi kutumia hizo katuni kuthibitisha 100% kwamba Dunia ni tufe na inazunguka,..
🤣🤣🤣🤣 Umeishiwa sasa?? Umeshamaliza Kila kitu, umesema Dunia Ina curvature. Hukubaliani models za flat earth, huna unachojua chochote kuhusu umbo la Dunia so huna chochote Cha kuendelea kusema humu, labda utetee hoja nilizoanisha
 
na of course kama hakuna hewa zitaanguka kwa wakati mmoja since hakuna chochote kinachoweza ku resist.
Asanteee!!! Umemaliza yoteee!!
Sasa akili zumeanza kukukaa sawa.

Kwahy unajua wazi fika Kasi(accelaration) ya vitu kuanguka haitegemei uzito wa kitu Kwa maana ipo constant,(Rate). Hii inamaana kwamba vitu vyote vina accelerate kwenda chini kwa the same rate,(at free fall), sasa ulishawahi au unaweza kujiuliza ni kwanini??

It means Kuna factor nyingine ipo inavyosababisha. Good!! A good start🌎
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…