Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?


  • Total voters
    745
Nilisha ifuatilia na kukubaliana na hili.
Nilicho elewa concept ya dunia duara nia kua dunia ni mzunguko kwa maana ya recycle.
Mf. Ecosystem concept, Ardhi ⏩ Mimea ⏩ Swala ⏩ Simba/binadamu ⏩ Ardhi ↩️
 
Acheni
Upotoshaji ,isije kua huko mliko hata hiyo bahari haipo,mimi nipo Tanga natumia sana darubini kuangalia mradi wa bomba la mafuta chongoleani,meli ikishapotea kwenye uono wa macho yako kama ukitumia darubini utakachokiona ni lile eneo ambalo lina curve ya maji ila meli hutaiona
 
Kweli hata kichaa hua hajitambui kua yeyeni kichaa JAAYETU HAPO WEWE NI KILAZA HUNA ULIJUALO.

Hivi haujui kua mwezi nao umebebwa na dunia sawa na sisi tulivyo bebwa ? ... Hii inamaana dunia kila inapo sogea namwezi nao unaifuata ...hivyo ukiwa mwezini huwezi gundua kama dunia inajongea .... ILA NJIA RAHISI YAKUTHIBITISHA KUA DUNIA HUJONGEA TENA KWA KASI KUBWA.

Basi asubuhi jua linapochomoza likaziage macho . Utaona jua linacheza cheza sana . Hiyo inamaana kunamtikisiko ila unatikisika kidogo kwakua dunia ni kubwa sana kwamba km 1000 kwake ni kahatua kadogo tu.

Ila dunia yetu kivyovyote vile lazimaiwe na mduara hatakama siyo duara nyoofu kama chungwa ila ni duarakamilifu kabisa lenye miinuko tambalale na mabonde.
 
Picha kutoka katika chombo cha anga za juu cha Artemis II kilichopo ziarani hivi sasa zinatupa ushahidi mwingine kuwa dunia yetu si tambarare.
 

Attachments

  • downloadfile-13.jpg
    1.8 MB · Views: 15
Ungejua duniainaelea angan ungejiongeza .. kwa mtazamo wako huo utatuambia jua nalo nitambalale mwezi piani tambalale.

Akili huamnazipeleka wap kwan mda wa kudadavua mavitu ? .. yaan kitu kielee angani nina mwanzo na mwisho sasa kuatambalale tu inamaanaimekaa kamasimu yakoilivyo kaa au ?

Afadhali ungesemadunia ina umbo la sahani iliyo funikwa angalau ingeleta maana ila syodunia kua tambalale angalia jua na mwezi.
 
Unasema dunia tambalale na unakiri kuwa inazungukwa na jua. Jiulize swali hili. Kama sio duara jua linazungukaje? Maana linapotea na kurudi kwa muda usiotofautiana sana. Nipe elimu juu ya hilo
 
Kuhusu dunia kucheza na issues za reflaction of light inzalisha mazigazi concept ya muda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…