Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?


  • Total voters
    710
Ingekuwa tambarare tusingepata usiku na mchana, kuhusu uduara wa dunia vipi picha live zinazopigwa ISS na zile za voyager 1 na 2 na bado satellite kibao zinaonyesha uduara wa dunia
Ulipiga wewe izo waga ni stori tu
 
Mwehu
 
Tatizo watu wanasoma ili wabishe na hawasomi ili kuelewa,.ogopa kitu STAGNANT MIND yaan ss tunakariri kila kitu na sio kuhoji ...lzma ureason why?????...Tukiwambia no human or animal went to the moon ,wanabisha Sana .Dini ina Siri kubwa...na kwa nn hatuhoji baadhi ya vitu kwa sababu tumerisishwa tukiwa watoto .hvyo ukiwa mkubwa huwez kuondoa mawaz .na ili mtu akutawale vizr lzma aanze na watoto wak.

Japo mm sijajua kwa nn wanaficha ukwer kuhus umbo la dunia??,na je usik na mchna na kupatwa kwa jua na mwez bas huenda kuna other reasons apart of those we know..
 
Ulipiga wewe izo waga ni stori tu
Tumia macho yako kupiga picha mwezi,jua na sayari zingine halafu kaa chini tafakari uone zina maumbo gani,je unafikiri zitatofautiana na dunia yetu?

Usitumie camera tumia macho yako halisi maana unaweza sema camera inakuongopea.

Shule ulienda kusomea ujinga?

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kaandika upuuzi unaweza jaza kitabu hahaha. Nimeishia mstari wa kwanza. Ukilaza grade A kweli kuna watu wana muda. Umasikini wa akili tatizo kubwa sana.
 
Mkuu jaribu kuangalia mwezi una umbo gani, mbona ni kitu kidogo sana kisichoitaji yote hayo uliyoandika.
 
Utafutwa kwa sababu za kupotosha,
Mtu mwenye akili na uelewa wa masuala ya anga, Hawezi dai picha nzima ya dunia kutoka mwezini..otherwise siku moja dunia nzima iwe mchana.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…