Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?


  • Total voters
    710
Ingekuwa tambarare tusingepata usiku na mchana, kuhusu uduara wa dunia vipi picha live zinazopigwa ISS na zile za voyager 1 na 2 na bado satellite kibao zinaonyesha uduara wa dunia
Ulipiga wewe izo waga ni stori tu
 
Huwa nikiona hiz mada ndio huwa naukubali Ukweli na ubora wa kutabu chetu kitakatifu Quran "Mwezimungu aliposema tumeiumba dunia mfano wa umbo la yai la mbuni" neno lilitumika ni neno la kiarabu DAHAHA likiwa na maana kusambaza au linatokana na mzizi neno Duria likiwa linamana ya yai la mbuni na ukilitazama yai la mbuni halipo complete round but lipo spherical...Pia Quran imethitisha kuwa jua nalo linazunguka kwenye muhimili wake japo sisi tulisoma jua limetulia but baada ya sayans kua advance wamekuja kutibitisha kuwa jua nalo linazinguka linachukua siku 26 kumaliza mzunguko wako kuna kitu wanaita black sport.!....


kuendelea kubishana dunia flat kwenye ulimwengu wa leo ni hoja dhaifu ikiwa binadamua kashaanza kuchunguza sayari nyingine na kuna mpango wa kwenda mars had leo hakuna picha ya satellite ya flat earth lakin zipo za spherical...Hoja ya dunia tambarare inatetewa na wafia dini sababi biblia inasema dunia ni tambarare jambo ambalo halithitishwi kisayansi na wao wameamua kulipigania kwa kugengeneza hoja dhaifu.!
Mwehu
 
Kwanza kabisa napenda kuwa shukuru kwa mapokeo mazuri
REMEMBER THAT YOU WILL DIE

NO ONE KNOWS EVERYTHING

LIVE AND LET LIVE

THINK AND ASK QUESTIONS

TRY NEW IDEAS

BE VALUABLE TO OTHERS

KNOW YOURSELF

PURSUE KNOWLEDGE, FRIENDSHIP, AND MEANING INSTEAD OF FAME, WEALTH, AND POWER

NEVER MIX BEER AND WINE

SHARE AND ENJOY

Kabla sjayajibu maswali ya watu kwa ujumla kiundani kidogo hili swala linaitaji utilize akili kwelikweli

Alaf just to be clear hili swala haliingiliii maswala dini wala halijabase kwene dini yoyote .this is whats happening right now catch up on reality ,,kuna tofauti kubwa kati ya dini na imani karne moja tu iliopita sisi tulikua hatuna dini yoyote lakin tulikua tunaongozwa na imani zetu na nadhani wote hapa tunatambua kwamba missionaries walikua agents of colonialism nadhani hapo utakua umenielewa kidogo ndo maana spendi kuongelea dini maana zina wagawanya watu kwasababu nadhani wote humu dini tulizikuta na hakuna aliechagua dini yake kwahiyo tunafata tu dini kwasababu mkoloni alisema usipokua na dini unakua hupati huduma kama watu wengine kwahiyo huu ni ufikiraji tofauti kidogo nje ya box so don’t ever judge others na dini zao dini tunarithi hatuchagui we unajuaje ungefundishwa uislamu na ukristo kwa pamoja ungeamua kua na dii gani mwishoni kwahiyo haya ya dini tuweke pembeni imani yako ndo itakuponya kwasababu kila dini inajiona yenyewe ndo inaukweli…kuna sheria moja inasema ''treat your neihboughr as your self'' tukizingatia hii nadhani hapo tutakua sana kiimani….cha msingi kikubwa hapa ni imani… …tafakari alafu pia hili swala la dunia kua tambarare lilibadilishwa zaidi ya miaka 500 jiulizeni kwanini hizi secreatsociety zina mizizi na historia ndefu na dunia hiii.

Na naomba nieleweke kuhusu hizi secreat society ..huu ni mwaka 2016 jamani sio mpaka uwaone live ndo uamini wapo the fact is indeed hizi organization zipo na they have agendas which they have to fulfill kuna mawe ya kumbukumbu yako huko mjini georgia na hayo mawe yana sheria zote za dunia mpya (amri kuu za dunia mpya)wanayo itaka wao na mawe hayo yameandikwa kwa luhga kuu nane za dunia ikiwemo Kiswahili mwaka 1980 hii inaonesha kua hii Dunia ina mambo mengi yenye siri kubwa swali kubwa la kujiuliza kwa pamoja ni kwanini tunafichwa kuhusu hayo mambo????

Na kumbuka hawa watu who ever they are 9elites ,,secreqat societies) wameiteka dunia nzimakuanzia ngazi za chini sana… makampuni ya televisheni redio masuper market kote wana mkono wao na wanaanika alama zao bila kuficha lakini sisi hatujitambui bado kwamfano mrahisi kabisa super market ya game iliopo mlimani city makao makuu yapo south Africa lakin ukifatilia zaidi unagundua kwamba ni kampuni ndogo ya walmart ya marekani na ukiantgalia logo yake huto amini kabisa skuzote tunaiona lakin mpaka ukae utulie ndo utaona kua kuan 666 katika hiyo logo yao sudhani hii ni concidance wao kuandika game kwa font yenye 666 nadhani mnaziona vizuri izo 666 zimegeuzwa tu lakin 6 zipo tatu
C:\Users\user\AppData\Local\Temp\msohtmlclip1\01\clip_image002.gif
C:\Users\user\AppData\Local\Temp\msohtmlclip1\01\clip_image004.jpg
nahii je tunafundishwa kua dunia inatilt 23.4 degrees on a right angle to the sun 90-23.4=66.6 hii nayo coincidence au fatilieni mambo sio kujudge na kusema ni conspiracy tu .

Naomba hii ya game isiwe mada ni mfano tu … na naomba niwe wazi kuwa sipingani na sayansi wala dini huu ni uchambuzi

Kwa uwelewa wangu mdogo naweza kusema kuwa sisi binadamu ni viumbe teule sana ( we are so special)
C:\Users\user\AppData\Local\Temp\msohtmlclip1\01\clip_image005.jpg
C:\Users\user\AppData\Local\Temp\msohtmlclip1\01\clip_image007.jpg



C:\Users\user\AppData\Local\Temp\msohtmlclip1\01\clip_image009.jpg
unaweza kujiuliza haya mawe ya Georgia yana maana gani kumbuka duniani ssa hvi tupo watu takribani billion saba na woao wana taka watu wasio zidi million mia tano

The English text is:


Maintain humanity under 500,000,000 in perpetual balance with nature.


Guide reproduction wisely — improving fitness and diversity.

Unite humanity with a living new language.

Rule passion — faith — tradition — and all things with tempered reason.

Protect people and nations with fair laws and just courts.

Let all nations rule internally resolving external disputes in a world court.

Avoid petty laws and useless officials.

Balance personal rights with social duties.

Prize truth — beauty — love — seeking harmony with the infinite.

Be not a cancer on the earth — Leave room for nature — Leave room for nature.

Ilikukamilisha malengo yao lengo namba moja inabidi asilimia 90% ya watu walio hai waondolewe duniani, so probably not a good idea.

Goal 2 is contradictory in the English version. The whole point of selective breeding is to reduce diversity by favoring some traits over others.Language fascinates me because it is the only way one mind can know another.
hivi kwa kweli mnashidwa kuelwewa ndugu zangu watu million mia tano na watu biilioni saba watatupunguzaje na haya mambo mii siyatungi yapo na ukifatilia utajua tu usishangae kuskia kunavita zinachochewa hii ni kupunguza watu duniani magonjwa pia yanatengenezwa kama zika virus its proved kabisa ilitengenezwa lab na wazungu ssa hvi hawa watu wana fanya mpaka wether modification duniani lakini watu bado tumelalal inaskitisha sana( google chemtrails uone wnavyoweka sumu angani kupunguza life expectancy) lakin system walio iweka ndo inasababisha watu wawe gizani na ndo wanataka hivyo ..haya mambo yameongelewa vizuri zaidi kwen physichilogy na mass control of people..so haya mambo yapo,,, na yanaumiza kichwa ukiwqa unayafuatilia …….usinichukie mimijaribu kufanya utafiti na naomba niseme sibishani na mtu ukiwa mvivu wakufatilia mambo nakusoma vitabu tofauti utaishia kubisha tu na hapa tunajifunza kwa facts …nliwaambia kuhusu picha za CGI maranyingi watu wanaosema dunia ni duara ukiwaambia wauoneshe picha halisi ya dunia kutoka kwen setteliite fatilieni kuhusu van allen belt mtajua nasa hawajawai hata kwenada space find it van allen belt nuthhing can pass throuht it …sasa sisi tupo busy na system hatuna mda wa kuyapitia haya maswala kiundani na wenyewe wanataka watuy wawe ivoivo walewqe katika mambo wanayo yafanaya …haya mambo yanasikitisha sana na yanatia hasira unapokutana na watu wavivu kufatilia mambo mbalimbali…. Catch up to reality….l

Okay turudi kwene swala letu mojor la umbo la dunia ngoja nitoe tofauti kidogo ngoja nielezee jinsi dunia tambarare inavyo function

Kwa kawaida tulivyo fundishwa darasani solar syetem ni kwamba Dunia ina mizunguko miwili ule wa usiku na mchana na ule wa revolution au mzunguko wa dunia kulizunguka jua na mzunguko huu ndio inasababisha misimu tofauti ndani ya mwaka kuzingatia umbali wa dunia na jua kwamfano jua likiwa umbali wa mile 91,400,000 katika mwezi ya january ni wakati wa baridi na umbali ukiwa mile 94,500,000 mwezi wa saba joto linaongezeka au tunasema summer au kiangazi karibu dunia nzima na wanasema due to the ball-Earth’s tilt, different places receive different amounts of direct sunlight and that is what produces the seasonal and temperature changes. This makes little sense, however, because if the Sun’s heat travels over ninety million miles to reach the ball-Earth, how could a slight tilt, a mere few thousand miles maximum, negate the Sun’s ninety million mile journey, giving us simultaneous tropical summers and Antarctic winters?

Na tukija kwene mfumo tambarare iakuaje misimu inatokeaje na dunia inapataje usiku na mchana ????????? video
katika mfumo tambarare ni dhahiri kwamba jua na mwezi ni nuru zinazoizunguka dunia kuleta misimu na usiku na mchana duniani na ndo mqaana ukiangalia polaris au nyota ya kaskazizi huwa haichange position jna constilation zote zinaizinguka polaris ambayo ni true north.. na kuhusu swala la ndetge kupaa ndege hupaa kwa njia ilionyooka kwahiyo kama dunia ingekua duara ingebidi kila baada ya mile nane pilot ashushe ndege kidogo ili ikae sawa maaana ukenda straight tu utajikuta unaelea space lakin kwa kua dunia ipo flat ndo maana kuna vitu kama auto pilot kwenye ndege alaf fatilieni kama kuna route ya ndege ambayo inapita juu ya antartica au ndege yoyote inayotoka bara la south america kuelekea australia au south africa direct bila connection yoyote jua na mwezi pia vipo karibu sana zaidi tunavoambiwa jaribu kuangalia mwezi vizuri usiku kwa wale mliobaatika kuwa na telescope au camera zenye nguvu unawezakuzoom mwezi na kuona kwamba kuna baadhi ya nyota zinaonekana nyuma ya mwezi yani mwezi unakua kama transparent ndomaana watu wazamani walkua wansema wanaona kama mwezi umetiboka hii nikwasababu mwezi sio something physical its like a projection and it produces its own light kwasababu kunatafauti ya kureflect lihgt na kuglow nadhani mwezi kwangu mimi na watu wengine walio tazama kwa macho yao mwezi una glow na nature ya mwanga wa mwezi ni tofauti na jua kabisa so the moon gives its own light as well...
pia wanasayansi wanavyosema jua lipo kilometer milioni 90 na ushee embu nielewesheni nduguzangu,
dah najaribu kutafakari kidogo niliaminije huu uongo wa dunia kua duara swali kubwa la kujiuliza ni kwamba kwanini hakuna picha halisi ya dunia from space;... wazee wa round earth naomba mnijibu hili swala with evidance na unambie walipitaje kwene Van Allen Belt kwenda mwezini au space ..inasikitisha na kufurahisha watu wanapojaribu kutetea mambo wasio yafuatilia kiundani

The earth is a stretched-out structure, which diverges from the central north in all directions towards the south. The equator, being midway between the north center and the southern circumference, divides the course of the sun into north and south declination. The longest circle round the world which the sun makes, is when it has reached its greatest southern declination. Gradually going northwards the circle is contracted. In about three months after the southern extremity of its path has been reached, the sun makes a circle round the equator. Still pursuing a northerly course as it goes round and above the world, in another three months the greatest northern declination is reached, when the sun again begins to go towards the south. In north latitudes, when the sun is going north, it rises earlier each day, is higher at noon and sets later; while in southern latitudes at the same time, the sun as a matter of course rises later, reaches a lesser altitude at noon and sets earlier. In northern latitudes during the southern summer, say from September to December, the sun rises later each day, is lower at noon and sets earlier; while in the south he rises earlier, reaches a higher altitude at noon, and sets later each day. This movement round the earth daily is the cause of the alternations of day and night; while his northerly and southerly courses produce the seasons. When the sun is south of the equator it is summer in the south and winter in the north; and vice versa. The fact of the alternation of the seasons flatly contradicts the Newtonian delusion that the earth revolves in an orbit round the sun. It is said that summer is caused by the earth being nearest the sun, and winter by its being farthest from the sun. But if the reader will follow the argument in any text book he will see that according to the theory, when the earth is nearest the sun there must be summer in both northern and southern latitudes; and in like manner when it is farthest from the sun, it must be winter all over the earth at the same time, because the whole of the globe-earth would then be farthest from the sun!!! In short, it is impossible to account for the recurrence of the seasons on the assumption that the earth is globular and that it revolves in an orbit around the sun.” -Thomas Winship, “Zetetic Cosmogeny” (124-125)

“The seasons are caused by the Sun’s circuit round the Earth in a spiral ecliptic. In the Winter Solstice (December 21st), the Sun is vertical over the Tropic of Capricorn. Looking South from London, he appears to make a small circuit in the Southern sky, during the same period he is seen to cross the sky at almost overhead in Cape Town, thus causing Summer in the Southern Hemisphere. In the Summer Solstice (June 21st), the Sun is vertical over the Tropic of Cancer, (nearly overhead in London), while looking North from Cape Town, he appears to make a small circuit in the Northern sky, causing Winter in the Southern and Summer in the Northern Hemisphere.” -E. Eschini, “Foundations of Many Generations” (7)




tusiishie hapa jamani
NO ONE KNOWS EVERYTHING

LIVE AND LET LIVE

THINK AND ASK QUESTIONS

TRY NEW IDEAS

BE VALUABLE TO OTHERS

KNOW YOURSELF
Tatizo watu wanasoma ili wabishe na hawasomi ili kuelewa,.ogopa kitu STAGNANT MIND yaan ss tunakariri kila kitu na sio kuhoji ...lzma ureason why?????...Tukiwambia no human or animal went to the moon ,wanabisha Sana .Dini ina Siri kubwa...na kwa nn hatuhoji baadhi ya vitu kwa sababu tumerisishwa tukiwa watoto .hvyo ukiwa mkubwa huwez kuondoa mawaz .na ili mtu akutawale vizr lzma aanze na watoto wak.

Japo mm sijajua kwa nn wanaficha ukwer kuhus umbo la dunia??,na je usik na mchna na kupatwa kwa jua na mwez bas huenda kuna other reasons apart of those we know..
 
Ulipiga wewe izo waga ni stori tu
Tumia macho yako kupiga picha mwezi,jua na sayari zingine halafu kaa chini tafakari uone zina maumbo gani,je unafikiri zitatofautiana na dunia yetu?

Usitumie camera tumia macho yako halisi maana unaweza sema camera inakuongopea.

Shule ulienda kusomea ujinga?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndo maana leo hii ni watu wengi sana hawaamini kama Mungu yupo, kwamba hakuna pia mwisho wa dunia.
WATU wanaosoma biblia huchanganya na nadharia za kisayansi kuhusu umbo la dunia. UKISOMA sana biblia, imeandikwa kuwa dunia ni flat, pia imetulia, ukitegemea sayansi za wapagani ndio hizo ambazo zinajitahidi kushawishi watu kuwa hakuna uumbaji uliofanyika bali uibukaji wa vitu, binadamu hakuumbwa bali alitokana na vimelea, na hakuna Mungu wala mwisho wa dunia.
Hii imeleta ndani ya mind za watu kuwa waovu kadri iwezekanavyo kwa sababu hakuta kuwa na chochote after death.
NA hao mleta uzi unaosema ni ma elites umeshindwa kuwataja ni Vatican na agents zao kama Jesuits, illuminatti, freemason na wengineo wengi. HAWA ndo wameshika miradi yote ya science za kilimo kama mambo ya GMO, spaceprogram zote zipo chini yao Including NASA na karibu everthing iwe ni siasa au uchumi nk.
Na mambo haya wanahakikisha hakuna anayejua na kusambaza. HATA HUU UZI HAUTAFIKA MBALI LAZIMA UFUTWE .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza nikupongeze kwa kuwa mdadisi. Hata mm hi theory ya curved earth inachanganya kidogo. Kwa mfano ktk suala la Circumnavigation of the earth wanasema Magellan alisafiri baharini bila kukata kona akatokea pale pale alipoanzia safari. Lakini ukiichunguza ramani ya dunia hakina sehemu ambapo unaweza kusafiri baharini straight bila ya kukutana na nchi kavu ( visiwa). Swali je alipokutana na ardhi aliendelea tu kunyoosha au alifanyage? Kwa ufupi circumnavigatio ya baharini haiwezekani kwa ramani zilizopo. Kwa hiyo kuna utata kidogo kuhusiana na umbo halisi la dunia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kaandika upuuzi unaweza jaza kitabu hahaha. Nimeishia mstari wa kwanza. Ukilaza grade A kweli kuna watu wana muda. Umasikini wa akili tatizo kubwa sana.
 
Mkuu jaribu kuangalia mwezi una umbo gani, mbona ni kitu kidogo sana kisichoitaji yote hayo uliyoandika.
 
Ndo maana leo hii ni watu wengi sana hawaamini kama Mungu yupo, kwamba hakuna pia mwisho wa dunia.
WATU wanaosoma biblia huchanganya na nadharia za kisayansi kuhusu umbo la dunia. UKISOMA sana biblia, imeandikwa kuwa dunia ni flat, pia imetulia, ukitegemea sayansi za wapagani ndio hizo ambazo zinajitahidi kushawishi watu kuwa hakuna uumbaji uliofanyika bali uibukaji wa vitu, binadamu hakuumbwa bali alitokana na vimelea, na hakuna Mungu wala mwisho wa dunia.
Hii imeleta ndani ya mind za watu kuwa waovu kadri iwezekanavyo kwa sababu hakuta kuwa na chochote after death.
NA hao mleta uzi unaosema ni ma elites umeshindwa kuwataja ni Vatican na agents zao kama Jesuits, illuminatti, freemason na wengineo wengi. HAWA ndo wameshika miradi yote ya science za kilimo kama mambo ya GMO, spaceprogram zote zipo chini yao Including NASA na karibu everthing iwe ni siasa au uchumi nk.
Na mambo haya wanahakikisha hakuna anayejua na kusambaza. HATA HUU UZI HAUTAFIKA MBALI LAZIMA UFUTWE .
Utafutwa kwa sababu za kupotosha,
Mtu mwenye akili na uelewa wa masuala ya anga, Hawezi dai picha nzima ya dunia kutoka mwezini..otherwise siku moja dunia nzima iwe mchana.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom