Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?

  • Total voters
    710
Ina maana haujataka kuisoma na theory ya tambarare hayo unayotaka niyaelezee yako dhahiri kabisa namna gani unapata usiku na mxchana katika tambarare. Na nakuhakikishia kama darasani tungefundishwa theory ya utambarare na mimi keo ningeikataa basi ungeniambia nieleezee uduara ulivyo.

Nani mwenye mamlaka yakuona jua linatembea au kukuambia limesimama?

Jiulize tena kwanini tulifundishwa shape ya dunia, zama deep Kwa akili zako mwenyewe, jiulize kile ukionacho na kile uambiwacho vina shabihiana. Kipi ambacho wewe kama wewe umekithibitisha mpaka sasa juu ya umbo la dunia. Je unachoamini sio theory?
Huko tumeshatoka. Unataka uturudishe kwenye dark ages Mkuu

Dunia tambarare ilifundushwa pia hadi ambapo wakaona ni upumbavu.
 
upumbavu ulionekana kwenye evidence ipi hasa... naomba elimu tafadhari
 
....Katika Uzi wote huu inafikirisha tu kwamba bado MTU anabisha kuhusu dunia kuwa Mviringo, lililokuwa ni Somo LA Darasa LA NNE, na anasimama na kutaka kuaminisha watu wazima wenzake kwamba eti Dunia ni Tambarare ambayo kingoni mwake kuna Mabonge ya Barafu!

Haya yatakuwa ni Mabonge ya Barafu ya Ajabu sana ambayo licha ya kupigwa na jua kwa miaka yote ya Uhai wa Dunia ( ya Tambarare! ) hayajapata Kuyeyuka!
Dah! Ni kuombeana tu kwa Kweli...!![emoji853][emoji853]
 
Ukiamini kuna wanaobisha utakua unakosea. hapa watu wana hoji vithibitisho vya uduara mviringo wa dunia na vya mduara wa tambarare.....

Kwakuzingatia kile kionekanacho, maisha ya kila siku nk.

Wewe binafsi unaionaje dunia, imefunikwa na dude la mviringo au upo juu ya li mviringo?
 
upumbavu ulionekana kwenye evidence ipi hasa... naomba elimu tafadhari
Nimeshakata tamaa Na flat earth society hawajui kitu kazi yao ni kukariri vimaelezo vichache ambavyo woteee wanatumia same arguments ambazo zishajibiwa again and again.
 
Kama tumewezwa kuaminishwa siku inaisha saa6.usiku..siku.INA masaa24.eti.19.ni saa1....kwamba.2 nisaa.8...inaweza kuwa kweli kama mida tumeaminishwa dunia watashindwaje....
 
mwingine haelewi kwa nini mto nile unatoka uganda kwenda misri wakati misri ina kimo cha juu kuliko uganda. hivi kweli unaanzaje kumwelekeza mtu wa namna hiyo kuwa dunia ni duara. nikianza kumwambia mambo kama mean gravity, sea level height from mean sea level na geoid si ndio ataona kuwa ni uongo wa wazungu. yaani wao huona somo la dunia kuwa mviringo linaishia tu kwenye jua kutoka east kwenda west wakati kuna material tele zinazosema kwa mifano na evidences kuwa dunia ni duara tena sio duara kama mpira, ni duara linaloitwa ellipsoid. kweli ni bora kuacha tu.
 
Bado tunaambiwa wiki ina siku saba na wiki nne ni sawa na mwezi mmoja hakafua tunapewa tarehe za mwezi mmoja mpaka thelethini au thelathini na moja na tunakubali. so ukisemacho ni kweki wameshajua hatuwezi kuwabishia na tukitokea wakubisha tutabishiwa na wenzetu watuzungukao wala si wao tena.
 
Nimeshakata tamaa Na flat earth society hawajui kitu kazi yao ni kukariri vimaelezo vichache ambavyo woteee wanatumia same arguments ambazo zishajibiwa again and again.
Kata tamaa kwakeweli maana kuna watu hawataki kukubali kisa Ni mzungu alipima na kutoa evidence.
 
Mbona na kwenye flat earth kuna material tele tuu zinazothibitisha dunia sio mviringo.. umewahi kuyasoma na kujifunza kama ulivyofanya katika kujifunza dunia ni mviringo? Au umeamua kuamini upande mmoja wa elimu uliyonayo tuu?
mwingine haelewi kwa nini mto nile unatoka uganda kwenda misri wakati misri ina kimo cha juu kuliko uganda. hivi kweli unaanzaje kumwelekeza mtu wa namna hiyo kuwa dunia ni duara. nikianza kumwambia mambo kama mean gravity, sea level height from mean sea level na geoid si ndio ataona kuwa ni uongo wa wazungu. yaani wao huona somo la dunia kuwa mviringo linaishia tu kwenye jua kutoka east kwenda west wakati kuna material tele zinazosema kwa mifano na evidences kuwa dunia ni duara tena sio duara kama mpira, ni duara linaloitwa ellipsoid. kweli ni bora kuacha tu.
 
Mbona na kwenye flat earth kuna material tele tuu zinazothibitisha dunia sio mviringo.. umewahi kuyasoma na kujifunza kama ulivyofanya katika kujifunza dunia ni mviringo? Au umeamua kuamini upande mmoja wa elimu uliyonayo tuu?
Hakuna huko kwa flat earthers material iliyo plausible kiasi cha kutosha kusema dunia ni tambarare zaidi ya kamera na nadharia nyingine zisizo na mashiko. Tunafanya kazi za kupima maumbo ya ardhi na kutumia mahesabu mengi yanayorudi mahali pamoja tu, kuwa dunia ni ellipsoid. Sasa sikia hii kuhusu the Nile.
Urefu wa uganda kutoka usawa wa bahari ni mita 1100. Urefu wa misri kutoka usawa bahari ni mita 133. Kwaio uganda iko juu ya misri kwa karibu mita 900. Sasa unawezaje kufikiria kuwa maji ya Nile yanapanda mlima. Anayewadanganya kafa.
 
Ndio tupo msibani hapa.
Sasa fikiria wewe mwenyewe kwa mpishano wa mita hizo kipi kinakua rahisi kwa maji kutiririka kati ya utambarare na mviringo,

Usisahau kutujulisha na kila baada ya umbali gani mviringo wa dunia unaanzia ili tuone kati ya hiyo uganda mpaka misri je kuna mkunjo au hakuna... namaanisha kama ule unaopatikana baharini hadi meli ikiwa mbali tuanze kuona kibendera tuu.
 
Wewe, gravity ninafanya kazi kwa ulinganifu kutoka chanzo kimoja ikivuta chini kila kitu yakiwemo maji. Hiyo mean sea level inafuata geoid ambayo ni kitu kama blanketi isiyooneka inayodumisha maji ya bahari katika kina hicho yaliyomo. Nenda UDSM au chuo kikuu cha ardhi wakakufafanulie hizi Habari na kanuni zinazohusika. Hii phenomenon ya uduara wa dunia sio ya kujifunzia kwenye kurasa hizi ndogo za jamii forum. Nenda pale kajifunze na wakuonyeshe jinsi hiyo theory ya utambarare inavofeli
 
Theory? Basi sawa... endelea kuamini bila kutaka kuhoji.
 
Wewe unachosha tu. Hakuna utakachoelewa. Mambo haya yanakupita kimo kwa bali sana.
siwezi kukukatalia, Pumzika tuu. Ila mimi nami nimesoma habari za dunia mviringo nimeuliza kutoka Uganda hadi Misri kuna Umbali Gani? Na kila baada ya umbali gani Dunia mbinuko wa dunia hutokea? Badala yakunisaidia majibu unaleta habari za gravity..

Kuhusu maji kikawaida yenyewe hutafuta level yake kwa juu hata kama chini kuna milima mawe au mabonde... chukua pipa liwekee ndoo ndani oamoja na mwe hadi nusu yake lijaze maji, lazima juu litakua na usawa sawa wa maji hauwezi kuona mlima wala muinuko.

Unaponielekeza nikaupate ukweli sijui chuoni jua hao nao wameaminishwa dunia ni mviringo bila hata kuzisoma nadharia za dunia ni tambarare. Sasa mtu mwenye upande mmoja wa elimu anawezaje kumuelewesha mtu mwenye pande mbili za elimu.

Mwisho kabla haujapumzika, niambie kupinda kwa dunia katika kutengeneza shape ya mviringo hutokea kila baada ya umbali gani? Na kutoka Uganda mpaka Misri kuna Umbali gani?
 
Sina huo muda na hilo ni somo refu Sana na huna hata basics za kuelewa mambo marahisi tu. Endelea kuibeba hiyo theory ya mabonge ya barafu halafu wakikuuliza waambie tumeshindwa kukupa proof ya uduara wa dunia. Kwa heri.
 
Hata huu nao ni muda. Kama una amini hilo ni somo refu kwanini hauamini hata somo la dunia ni tambarare si fupi... kujifunza na kudadisi kunapanua ubongo. Kwanini unanilisha maneno .... mimi nakomaa zaidi na kila nikionacho, na ninachoweza kukifanyia majaribio mimi mwenyewe... ambapo uwezo wakuyapandisha maji mlima mimi sina wala uwezo wakutengeneza maji yawe na mwinuko sina na mpaka sasa mi naona nipo katika eneo tambarare lenye mito milima na mabonde ndani yake..

Huku nikiliona jua na mwezi vikitembea na kila chenye uziyo kikitafuta egemeo lake. Kwahiyo anzia hapo kunikanusha kuwa nikionacho sio na ninachoweza kukifanya hakipo hivyo... hayo mabonde au bara la barafu si mimi wala wewe tutakaekuja kuyaona mpaka tunakufa... kwahiyo hata unachokiamini wewe hautakuja kuweza kukithibitisha zaidi ya nadharia tulizoaminishwa katika elimu zetu.

Pumzika!!
 
Back
Top Bottom