if cap fits
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 1,461
- 2,062
.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sielewi mkuu.. naomba msaada wako ili na wengine wafaidike...Kumbe ulijibu. Sawa.
Hebu nieleze kidogo unavyoelewa haya mambo mawili, 1. Gravity 2. Height of land above sea level.
Halafu tutaendelea
Huko tumeshatoka. Unataka uturudishe kwenye dark ages MkuuIna maana haujataka kuisoma na theory ya tambarare hayo unayotaka niyaelezee yako dhahiri kabisa namna gani unapata usiku na mxchana katika tambarare. Na nakuhakikishia kama darasani tungefundishwa theory ya utambarare na mimi keo ningeikataa basi ungeniambia nieleezee uduara ulivyo.
Nani mwenye mamlaka yakuona jua linatembea au kukuambia limesimama?
Jiulize tena kwanini tulifundishwa shape ya dunia, zama deep Kwa akili zako mwenyewe, jiulize kile ukionacho na kile uambiwacho vina shabihiana. Kipi ambacho wewe kama wewe umekithibitisha mpaka sasa juu ya umbo la dunia. Je unachoamini sio theory?
upumbavu ulionekana kwenye evidence ipi hasa... naomba elimu tafadhariHuko tumeshatoka. Unataka uturudishe kwenye dark ages Mkuu
Dunia tambarare ilifundushwa pia hadi ambapo wakaona ni upumbavu.
Ukiamini kuna wanaobisha utakua unakosea. hapa watu wana hoji vithibitisho vya uduara mviringo wa dunia na vya mduara wa tambarare.........Katika Uzi wote huu inafikirisha tu kwamba bado MTU anabisha kuhusu dunia kuwa Mviringo, lililokuwa ni Somo LA Darasa LA NNE, na anasimama na kutaka kuaminisha watu wazima wenzake kwamba eti Dunia ni Tambarare ambayo kingoni mwake kuna Mabonge ya Barafu!
Haya yatakuwa ni Mabonge ya Barafu ya Ajabu sana ambayo licha ya kupigwa na jua kwa miaka yote ya Uhai wa Dunia ( ya Tambarare! ) hayajapata Kuyeyuka!
Dah! Ni kuombeana tu kwa Kweli...!![emoji853][emoji853]
Nimeshakata tamaa Na flat earth society hawajui kitu kazi yao ni kukariri vimaelezo vichache ambavyo woteee wanatumia same arguments ambazo zishajibiwa again and again.upumbavu ulionekana kwenye evidence ipi hasa... naomba elimu tafadhari
mwingine haelewi kwa nini mto nile unatoka uganda kwenda misri wakati misri ina kimo cha juu kuliko uganda. hivi kweli unaanzaje kumwelekeza mtu wa namna hiyo kuwa dunia ni duara. nikianza kumwambia mambo kama mean gravity, sea level height from mean sea level na geoid si ndio ataona kuwa ni uongo wa wazungu. yaani wao huona somo la dunia kuwa mviringo linaishia tu kwenye jua kutoka east kwenda west wakati kuna material tele zinazosema kwa mifano na evidences kuwa dunia ni duara tena sio duara kama mpira, ni duara linaloitwa ellipsoid. kweli ni bora kuacha tu.Nimeshakata tamaa Na flat earth society hawajui kitu kazi yao ni kukariri vimaelezo vichache ambavyo woteee wanatumia same arguments ambazo zishajibiwa again and again.
Bado tunaambiwa wiki ina siku saba na wiki nne ni sawa na mwezi mmoja hakafua tunapewa tarehe za mwezi mmoja mpaka thelethini au thelathini na moja na tunakubali. so ukisemacho ni kweki wameshajua hatuwezi kuwabishia na tukitokea wakubisha tutabishiwa na wenzetu watuzungukao wala si wao tena.Kama tumewezwa kuaminishwa siku inaisha saa6.usiku..siku.INA masaa24.eti.19.ni saa1....kwamba.2 nisaa.8...inaweza kuwa kweli kama mida tumeaminishwa dunia watashindwaje....
Kata tamaa kwakeweli maana kuna watu hawataki kukubali kisa Ni mzungu alipima na kutoa evidence.Nimeshakata tamaa Na flat earth society hawajui kitu kazi yao ni kukariri vimaelezo vichache ambavyo woteee wanatumia same arguments ambazo zishajibiwa again and again.
mwingine haelewi kwa nini mto nile unatoka uganda kwenda misri wakati misri ina kimo cha juu kuliko uganda. hivi kweli unaanzaje kumwelekeza mtu wa namna hiyo kuwa dunia ni duara. nikianza kumwambia mambo kama mean gravity, sea level height from mean sea level na geoid si ndio ataona kuwa ni uongo wa wazungu. yaani wao huona somo la dunia kuwa mviringo linaishia tu kwenye jua kutoka east kwenda west wakati kuna material tele zinazosema kwa mifano na evidences kuwa dunia ni duara tena sio duara kama mpira, ni duara linaloitwa ellipsoid. kweli ni bora kuacha tu.
Hakuna huko kwa flat earthers material iliyo plausible kiasi cha kutosha kusema dunia ni tambarare zaidi ya kamera na nadharia nyingine zisizo na mashiko. Tunafanya kazi za kupima maumbo ya ardhi na kutumia mahesabu mengi yanayorudi mahali pamoja tu, kuwa dunia ni ellipsoid. Sasa sikia hii kuhusu the Nile.Mbona na kwenye flat earth kuna material tele tuu zinazothibitisha dunia sio mviringo.. umewahi kuyasoma na kujifunza kama ulivyofanya katika kujifunza dunia ni mviringo? Au umeamua kuamini upande mmoja wa elimu uliyonayo tuu?
Ndio tupo msibani hapa.Hakuna huko kwa flat earthers material iliyo plausible kiasi cha kutosha kusema dunia ni tambarare zaidi ya kamera na nadharia nyingine zisizo na mashiko. Tunafanya kazi za kupima maumbo ya ardhi na kutumia mahesabu mengi yanayorudi mahali pamoja tu, kuwa dunia ni ellipsoid. Sasa sikia hii kuhusu the Nile.
Urefu wa uganda kutoka usawa wa bahari ni mita 1100. Urefu wa misri kutoka usawa bahari ni mita 133. Kwaio uganda iko juu ya misri kwa karibu mita 900. Sasa unawezaje kufikiria kuwa maji ya Nile yanapanda mlima. Anayewadanganya kafa.
Wewe, gravity ninafanya kazi kwa ulinganifu kutoka chanzo kimoja ikivuta chini kila kitu yakiwemo maji. Hiyo mean sea level inafuata geoid ambayo ni kitu kama blanketi isiyooneka inayodumisha maji ya bahari katika kina hicho yaliyomo. Nenda UDSM au chuo kikuu cha ardhi wakakufafanulie hizi Habari na kanuni zinazohusika. Hii phenomenon ya uduara wa dunia sio ya kujifunzia kwenye kurasa hizi ndogo za jamii forum. Nenda pale kajifunze na wakuonyeshe jinsi hiyo theory ya utambarare inavofeliNdio tupo msibani hapa.
Sasa fikiria wewe mwenyewe kwa mpishano wa mita hizo kipi kinakua rahisi kwa maji kutiririka kati ya utambarare na mviringo,
Usisahau kutujulisha na kila baada ya umbali gani mviringo wa dunia unaanzia ili tuone kati ya hiyo uganda mpaka misri je kuna mkunjo au hakuna... namaanisha kama ule unaopatikana baharini hadi meli ikiwa mbali tuanze kuona kibendera tuu.
Theory? Basi sawa... endelea kuamini bila kutaka kuhoji.Wewe, gravity ninafanya kazi kwa ulinganifu kutoka chanzo kimoja ikivuta chini kila kitu yakiwemo maji. Hiyo mean sea level inafuata geoid ambayo ni kitu kama blanketi isiyooneka inayodumisha maji ya bahari katika kina hicho yaliyomo. Nenda UDSM au chuo kikuu cha ardhi wakakufafanulie hizi Habari na kanuni zinazohusika. Hii phenomenon ya uduara wa dunia sio ya kujifunzia kwenye kurasa hizi ndogo za jamii forum. Nenda pale kajifunze na wakuonyeshe jinsi hiyo theory ya utambarare inavofeli
Wewe unachosha tu. Hakuna utakachoelewa. Mambo haya yanakupita kimo kwa bali sana.Theory? Basi sawa... endelea kuamini bila kutaka kuhoji.
siwezi kukukatalia, Pumzika tuu. Ila mimi nami nimesoma habari za dunia mviringo nimeuliza kutoka Uganda hadi Misri kuna Umbali Gani? Na kila baada ya umbali gani Dunia mbinuko wa dunia hutokea? Badala yakunisaidia majibu unaleta habari za gravity..Wewe unachosha tu. Hakuna utakachoelewa. Mambo haya yanakupita kimo kwa bali sana.
Sina huo muda na hilo ni somo refu Sana na huna hata basics za kuelewa mambo marahisi tu. Endelea kuibeba hiyo theory ya mabonge ya barafu halafu wakikuuliza waambie tumeshindwa kukupa proof ya uduara wa dunia. Kwa heri.siwezi kukukatalia, Pumzika tuu. Ila mimi nami nimesoma habari za dunia mviringo nimeuliza kutoka Uganda hadi Misri kuna Umbali Gani? Na kila baada ya umbali gani Dunia mbinuko wa dunia hutokea? Badala yakunisaidia majibu unaleta habari za gravity..
Kuhusu maji kikawaida yenyewe hutafuta level yake kwa juu hata kama chini kuna milima mawe au mabonde... chukua pipa liwekee ndoo ndani oamoja na mwe hadi nusu yake lijaze maji, lazima juu litakua na usawa sawa wa maji hauwezi kuona mlima wala muinuko.
Unaponielekeza nikaupate ukweli sijui chuoni jua hao nao wameaminishwa dunia ni mviringo bila hata kuzisoma nadharia za dunia ni tambarare. Sasa mtu mwenye upande mmoja wa elimu anawezaje kumuelewesha mtu mwenye pande mbili za elimu.
Mwisho kabla haujapumzika, niambie kupinda kwa dunia katika kutengeneza shape ya mviringo hutokea kila baada ya umbali gani? Na kutoka Uganda mpaka Misri kuna Umbali gani?
Hata huu nao ni muda. Kama una amini hilo ni somo refu kwanini hauamini hata somo la dunia ni tambarare si fupi... kujifunza na kudadisi kunapanua ubongo. Kwanini unanilisha maneno .... mimi nakomaa zaidi na kila nikionacho, na ninachoweza kukifanyia majaribio mimi mwenyewe... ambapo uwezo wakuyapandisha maji mlima mimi sina wala uwezo wakutengeneza maji yawe na mwinuko sina na mpaka sasa mi naona nipo katika eneo tambarare lenye mito milima na mabonde ndani yake..Sina huo muda na hilo ni somo refu Sana na huna hata basics za kuelewa mambo marahisi tu. Endelea kuibeba hiyo theory ya mabonge ya barafu halafu wakikuuliza waambie tumeshindwa kukupa proof ya uduara wa dunia. Kwa heri.