Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?


  • Total voters
    710
Kwanini unaamini kwenye hii Dunia yetu Duara hicho kitu kishindikane?
Kwanza kumbuka wewe ndiyo ulisema haiwezekani,....Mimi nasema inawezekana kwenye flat surface kuunda railway line inayoweza kuunganisha mabara yote,.....

Lakini kwenye dunia yenye umbo hili➡️ 🌍,...it's impossible!
 
Kwanza kumbuka wewe ndiyo ulisema haiwezekani,....Mimi nasema inawezekana kwenye flat surface kuunda railway line inayoweza kuunganisha mabara yote,.....

Lakini kwenye dunia yenye umbo hili➡️ 🌍,...it's impossible!
Unanichanganya sana ww, nilikupa majibu mawili kama unamkumbuka.
 
Kwahy unakataa hukusema Dunia inazunguka Jua Kwa saa 24 ndo tunapata usiku na mchana😄???
Kwahy unakataa hukusema Dunia inazunguka Jua Kwa saa 24 ndo tunapata usiku na mchana 😄😁? Ok.

Kuhusu Alaska sijui ni uzembe wa kusoma au ni uwezo wa kusoma na kuelewa ndo shida maana nimekupa maelezo mara ya kwanza ukasema nimecopy, ok nilicopy maelezo Ili usomee Kila kitu uelewe zaidi, nikaona sio kesi nikakuelezea tena Kwa lugha nyepesi tena ya picha kabisa ni wapi hukuelewa? maana naona natwanga maji kwenye kinu.
 
Nimekuuliza maswali mengi hujayajibu kabisa, kiufupi huwezi kudefend hoja yako ya flat earth Bali umekomalia kuchallenge hoja ya globe earth.
Kama unaweza kudefend nakuuliza maswali kadhaa tu hapa unipe majibu yanayomake sense.

1. Nielezee jinsi sola na lunareclipses/ Lunar phases zinavyoweza kutokea kwenye flat earth(japo nilikuuliza mwanzo hukunipa majibu)

2. Nambie how usiku na mchana unatokea.

3. Kwanini Jua linaoneka kuchoza na kuzama,

4. Hiyo flat earth imeshikiliwa na kitu gani ikiwa unasema hakuna universal gravitational pull.

5. Kwanini midnight sun inatokea kama ulivyouliza ww.

Ukinipa majibu ya haya maswali ndo naweza kuendelea ku-argue naww, tofauti na hapo ntakuwa napoteza muda.
 
Hii picha hujaiona siyo?

 
Haya maswali na maelezo hujayaona siyo hateeb10
 
hateeb10 haya maelezo na maswali no kwamba huyaoni au unavunga😄😄😄??
 
hateeb10 Hadi nikakupa maelezo ya solar na lunar eclipse lakin wapi huelewi tu.
 
hateeb10
 
Yaani maelezo yangu ni mengi, seriously?
Kama huwezi kusoma maelezo kama hayo sa utaelewaje?
No,.Nimemaanisha kwamba nahitaji kutulia ili nijibu hoja zako Kwa kuwa umeeleza vitu vingi mixer michoro,...nimesoma maelezo yako nikitulia tutajadili Kwa kuwa hakifutiki kitu 🤝🏼
 
Yap,upo sahihi mtu akifikiria tofauti na wengine huonekana kichaa lakini huenda akawa sahihi kuliko mtazamo/maoni ya kundi kubwa la watu.

Ngoja nikupe observation moja huenda ikakufaa,....kama unaamini Dunia inazunguka, chukua muda wako kisha focus macho yako kutazama wingu Fulani liwe kama reference point yako( litazame hata kwa nusu saa au lisaa lizima ikiwezekana),.....kisha njoo hapa utupe majibu Je, kuna time yoyote hiyo reference yako(wingu )iliondoka ikawa out of sight?! Ili tuthibitishe kama kweli Dunia inazunguka.
 
Doooh!!
Kasome zaidi elimu ya anga na physics maana sijui ulisomaje?
 
Doooh!!
Kasome zaidi elimu ya anga na physics maana sijui ulisomaje?
Hahh sasa Kwanini uifunge akili yako na vitu vya kuambiwa Tu,..yani unaamini kila kitu ni mpaka uhadithiwe kwenye textbooks za physics?,... try to research yourself!

Mimi nimekusoma wewe ni mwerevu Sana,..ila tu umekua indoctrinated na uliyoyasoma.

Kumbuka hata masuala ya gravity bado NI theory Tu,...hivyo wewe kama Mr anthony_art umeachiwa room ya ku disprove theory kama hizo,,..usijinyime hiyo haki Kwa kushindwa kufanya tafiti zilizo ndani ya uwezo wako.
 
Okay tufanye kama sijui chochote kuhusu umbo la Dunia naww ndo unanielewesha na nakuuliza maswali.
Je, Dunia Inaumbo Gani?
 
Ukisema Kila kitu ambacho kimethibitishwa kisayansi na kimetolewa ufafanuzi kwetu tukifanyie research tutaweza kweli? Yaani Kila mtu afanye research? Aya we umefanya research? Umegundua dunia in umbo Gani? Research umefanya vipi? Method gan umetumia? Kwahy namm nikishafanya research nikija kusema Dunia ni tambarare na huyo ntaemwambia naye afanye research?

Sijaambiwa kama story Bali nimefundishwa nikaelewa bahat nzuri vitu ni physical na observable.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…