Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?

  • Total voters
    710
Mkuu,..kwani Jua na Mwezi vimeshikiliwa na nini?
Sa ukiniuliza tena Mimi unanichanganya😄, maana mwanzo nilikuwa najua ni gravitation force-a mutual force btn objects with mass ukanambia hakuna gravity, sa ww ndo unijibu hayo maswali. Asante Kwa kujiongezea maswali
 
Alafu sasa hiyo density ndo inazuia vipi maji yasidrop kwenye ellipsoid earth?
Mbona nilishasema kwamba hata Dunia probably ikiwa na umbo la ellipsoid bado linakua lipo flat kama tunavyoona,...kiasi ambacho ile kanuni kwamba maji yanatakiwa kuwa contained inakua inafuatwa kwa kuwa maji yanakua juu ya ardhi...,so ardhi ndiyo inashikilia maji....

Tena ngoja nikupe fact hii naamini itakufikirisha,..."Maji yapo contained kwenye ardhi kwa kuwa hata kwenye bahari ukienda deep zaidi utakutana na ardhi ndiyo ipo chini huko ina act kama chombo kilichobeba maji.
 
Sijui unawazaje 🙄,
Hiyo ellipsoid earth inamaana maji yapo juu tu yaan kwenye north pole pekee? Je maji yaliyo south pole kwann yasimwagike Kwa mfano huko south Africa.
 
Mkuu maelezo mengi mpaka umenichanganya aisee , mimi natumia sana google earth na nafika vizur kwaiyo naamini dunia ina umbo la tufe
 
Sijui unawazaje 🙄,
Hiyo ellipsoid earth inamaana maji yapo juu tu yaan kwenye north pole pekee? Je maji yaliyo south pole kwann yasimwagike Kwa mfano huko south Africa.
Yatamwagika vipi na yapo contained kwenye ardhi,....shida yako umesaliti hata macho yako.

Unaamini vya kuambiwa kuliko unavyoviona.... tafuta pesa ufanye utalii Dunia nzima, kisha naamini utarudi na majibu sahihi as to why maji hayamwagiki.
 
Sijui unanielewa kweli?angalia illustration hapa
PXL_20240124_001410285.MP.jpg

Sa density inazuiaje maji yasimwagike? Au Bado upo kwenye concept ya Dunia ni flat? Maana me nakuuliza hapa nikiamini tumekubaliana Dunia ni ellipsoidal, au ellipsoidal yako ni 2D?
 
Yatamwagika vipi na yapo contained kwenye ardhi,....shida yako umesaliti hata macho yako.

Unaamini vya kuambiwa kuliko unavyoviona.... tafuta pesa ufanye utalii Dunia nzima, kisha naamini utarudi na majibu sahihi as to why maji hayamwagiki.
Eti nitafute pesa nifanye research, nimeshakuuliza awali we umefanya research?
Alafu usijisahaulishe, nijibu dunia yako imeshikiliwa na nn, pamoja na Jua na mwezi vimeshikiliwa na nn na nn kinafanya vi move kama usemavyo?
 
Yatamwagika vipi na yapo contained kwenye ardhi,....shida yako umesaliti hata macho yako.

Unaamini vya kuambiwa kuliko unavyoviona.... tafuta pesa ufanye utalii Dunia nzima, kisha naamini utarudi na majibu sahihi as to why maji hayamwagiki.
Sasa we usiemini vya kuambiwa, umesema density ndo inafanya vitu vifall, meli inapelea kwenye maji je nikiiweka kwenye space utaelea?
 
Sijui unanielewa kweli?angalia illustration hapa
View attachment 2881034
Sa density inazuiaje maji yasimwagike? Au Bado upo kwenye concept ya Dunia ni flat? Maana me nakuuliza hapa nikiamini tumekubaliana Dunia ni ellipsoidal, au ellipsoidal yako ni 2D?
Duh mbona unajipa ugumu kwenye wepesi,? Yaani unaniuliza kama bado nipo kwenye concept ya Dunia flat wakati hata mchoro wa ellipsoid ulioweka hapo upo kwenye umbo la flat,...

Wewe zunguka ila Mimi jibu langu ni lile lile kwàmba maji hayamwagiki kwa kuwa yapo contained kwenye ardhi In all its sides!!!

Nitarudi,...🤝🏼
 
Duh mbona unajipa ugumu kwenye wepesi,? Yaani unaniuliza kama bado nipo kwenye concept ya Dunia flat wakati hata mchoro ulioweka hapo upo kwenye umbo la flat,...

Wewe zunguka ila Mimi jibu langu ni lile lile kwàmba maji hayamwagiki kwa kuwa yapo contained kwenye ardhi In all its sides!!!

Nitarudi,...🤝🏼
Hiyo ni illustration tu, lakin si tayar unajua ni ellipsoidal au? Aya hiyo ni ellipsoidal 3D kama hii👇👇 nijibu swali sasa,

download.jpg
 
Duh mbona unajipa ugumu kwenye wepesi,? Yaani unaniuliza kama bado nipo kwenye concept ya Dunia flat wakati hata mchoro wa ellipsoid ulioweka hapo upo kwenye umbo la flat,...

Wewe zunguka ila Mimi jibu langu ni lile lile kwàmba maji hayamwagiki kwa kuwa yapo contained kwenye ardhi In all its sides!!!

Nitarudi,...🤝🏼
Unasema nizunguke lkn huwez kubadiri hoja yako Kwa sababu huwezi kujenga hoja. Hujibu maswali unaruka na kung'ang'ania. Kama kweli unauwezo wa kujenga hoja na unauhakika na unachosema na research zako jibu maswali.
 
Unajichanganya mkuu,...sasa mbona hapo kwenye video uliyoweka unaonyesha kwamba Dunia ipo fixed na Jua ndiyo linazunguka Dunia

Au hujaliona hilo? Experience now
Unakurukupa sana bro, na Nna wasi wasi na upeo wako wa kufikiri bro,, Ndio maana mambo madogo yanakusumbua kichwa.

Rudia kuangalia vizuri hiyo clip, iangalie kwa makini zaidi.
 
Hahh sasa Kwanini uifunge akili yako na vitu vya kuambiwa Tu,..yani unaamini kila kitu ni mpaka uhadithiwe kwenye textbooks za physics?,... try to research yourself!

Mimi nimekusoma wewe ni mwerevu Sana,..ila tu umekua indoctrinated na uliyoyasoma.

Kumbuka hata masuala ya gravity bado NI theory Tu,...hivyo wewe kama Mr anthony_art umeachiwa room ya ku disprove theory kama hizo,,..usijinyime hiyo haki Kwa kushindwa kufanya tafiti zilizo ndani ya uwezo wako.
Hapa nna swali, Unasema mambo ya gravity ni theory okay.

Maswali yangu:
Kwa nadharia mliyonayo kuwa jua ndio inazunguka dunia....
Ni nguvu gani inayoendesha jua kuzunguka dunia ?

Na je angani inashishikiliwa na nguvu au kitu gani ili isipoteze muelekeo wake ?

Naomba unijibu haya maswali bila kuchanganya jambo lingine lolote, Na tafadhali usiniambie kuwa hauna jibu😅
 
Unakurukupa sana bro, na Nna wasi wasi na upeo wako wa kufikiri bro,, Ndio maana mambo madogo yanakusumbua kichwa.

Rudia kuangalia vizuri hiyo clip, iangalie kwa makini zaidi.
Ooh kwamba una wasiwasi na upeo wangu wa kufikiri? Kwamba nikifikiria kama wewe ndiyo utasema nina uwezo mkubwa wa kufikiri?,....haiwezi kuwa hivyo.

okay, Nishaangalia kwa umakini na still video yako inaonyesha Dunia ipo stationary.,.

Nadhani wewe ndiyo uangalie Kwa umakini zaidi.,
 
Hapa nna swali, Unasema mambo ya gravity ni theory okay.
Sio Mimi, Bali walio propose ndiyo wanasema ni Theory, Na worldwide inajulikana kwamba Gravity ni nadharia tu.,...Au unataka kubishana mpaka na wenye theory yao?
Maswali yangu:
Kwa nadharia mliyonayo kuwa jua ndio inazunguka dunia....
Ni nguvu gani inayoendesha jua kuzunguka dunia ?

Na je angani inashishikiliwa na nguvu au kitu gani ili isipoteze muelekeo wake ?

Naomba unijibu haya maswali bila kuchanganya jambo lingine lolote, Na tafadhali usiniambie kuwa hauna jibu😅
Jibu ninalo,..na jibu hilo ni "SINA JIBU NI NGUVU GANI INAYOENDESHA JUA NA KULISHIKILIA"

Wewe unaesema gravity ndiyo inaendesha Jua na kulishikilia pamoja na celestial bodies nyingine,.. Unaweza kuthibitisha on your own jinsi gravity inavyoshikilia Jua?

Au umeamini tu?
 
Unasema nizunguke lkn huwez kubadiri hoja yako Kwa sababu huwezi kujenga hoja. Hujibu maswali unaruka na kung'ang'ania. Kama kweli unauwezo wa kujenga hoja na unauhakika na unachosema na research zako jibu maswali.
Mbona nishakujibu hivi,➡️"Wewe zunguka ila Mimi jibu langu ni lile lile kwàmba maji hayamwagiki kwa kuwa yapo contained kwenye ardhi In all its sides!!!"

Kama unabisha let's find a time tufanye survey tuone kwanini maji hayamwagiki....Mimi nitakachofanya ni kukuonyesha tu kwamba "tazama maji haya hapa yapo contained kwenye ardhi" Hahh..

Kisha na wewe baada ya hapo itabidi unionyeshe ni jinsi gani gravity inashikilia maji yasimwagike,.. Tuingie field tufanye research.
a. Nikuonyeshe flattened earth
b. Unionyeshe Curve of the globe 🌎
C. Unionyeshe how gravity inashikilia maji yasimwagike.
d. Nikuonyeshe jinsi Maji yapo contained kwenye ardhi na always maji yanatafuta level(flat) yake.water always finds its level"

Tuanze na tafiti hizo naamini zipo ndani ya uwezo,...kisha tutarudisha majibu Kwa wadau humu JF, ikiwezekana na video tutazituma humu kuonyesha matokeo ya tafiti yetu.
Screenshot_20240124-153655~2.png
 
Back
Top Bottom