hateeb10
JF-Expert Member
- Dec 8, 2022
- 2,920
- 1,223
Nilijibu kwamba Dunia probably inaweza kuwa na Umbo la:-Okay tufanye kama sijui chochote kuhusu umbo la Dunia naww ndo unanielewesha na nakuuliza maswali.
Je, Dunia Inaumbo Gani?
1. duara kama sahani,
2. Umbo la yai
3. Elipsoid, na kadhalika ambapo shape zote hizo zipo flat,.huku objects kama maji yakiwa yapo contained juu ya ardhi iliyo tambarare.
yaani kwamba Dunia inaweza kuwa na umbo lolote, isipokua umbo hili β‘οΈπ....kwangu mimi sioni uwezekano wa Dunia kuwa na umbo hilo.
Nipo open kujifunza,...huenda nikaja kukubaliana na idea ya Dunia Tufe,.baadae huko nikipata facts zitakazoondoa mashaka kabisa kwenye akili yangu.