Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?

  • Total voters
    710
Okay tufanye kama sijui chochote kuhusu umbo la Dunia naww ndo unanielewesha na nakuuliza maswali.
Je, Dunia Inaumbo Gani?
Nilijibu kwamba Dunia probably inaweza kuwa na Umbo la:-
1. duara kama sahani,
2. Umbo la yai
3. Elipsoid, na kadhalika ambapo shape zote hizo zipo flat,.huku objects kama maji yakiwa yapo contained juu ya ardhi iliyo tambarare.

yaani kwamba Dunia inaweza kuwa na umbo lolote, isipokua umbo hili ➡️🌍....kwangu mimi sioni uwezekano wa Dunia kuwa na umbo hilo.

Nipo open kujifunza,...huenda nikaja kukubaliana na idea ya Dunia Tufe,.baadae huko nikipata facts zitakazoondoa mashaka kabisa kwenye akili yangu.
 
Yap,upo sahihi mtu akifikiria tofauti na wengine huonekana kichaa lakini huenda akawa sahihi kuliko mtazamo/maoni ya kundi kubwa la watu.

Ngoja nikupe observation moja huenda ikakufaa,....kama unaamini Dunia inazunguka, chukua muda wako kisha focus macho yako kutazama wingu Fulani liwe kama reference point yako( litazame hata kwa nusu saa au lisaa lizima ikiwezekana),.....kisha njoo hapa utupe majibu Je, kuna time yoyote hiyo reference yako(wingu )iliondoka ikawa out of sight?! Ili tuthibitishe kama kweli Dunia inazunguka.
Clouds zinamove pamoja na rotation ya dunia
 
Nilijibu kwamba Dunia probably inaweza kuwa na Umbo la:-
1. duara kama sahani,
2. Umbo la yai
3. Elipsoid, na kadhalika ambapo shape zote hizo zipo flat,.huku objects kama maji yakiwa yapo contained juu ya ardhi iliyo tambarare.

yaani kwamba Dunia inaweza kuwa na umbo lolote, isipokua umbo hili ➡️🌍....kwangu mimi sioni uwezekano wa Dunia kuwa na umbo hilo.

Nipo open kujifunza,...huenda nikaja kukubaliana na idea ya Dunia Tufe,.baadae huko nikipata facts zitakazoondoa mashaka kabisa kwenye akili yangu.
Hii 🌍 ndo umbo Gani? Na ellipsoidal ni umbo gani?
Au hujui maana ya ellipsoid. Namm tangu mwanzo nimekwambia kabisa natumia neno tufe lakini namaanisha Dunia ni ellipsoid au geoid.

An ellipsoid is a surface that can be obtained from a sphere by deforming it by means of directional scalings, or more generally, of an affine transformation.

Dunia inayoratate iko attached na air pia air ipo attached na clouds
Unaposema air ipo attached na Dunia,..Mimi naona hoja yako ipo debatable kwa kuwa ni theory tu.

Ila acha nikaushe maana mjadala hautoisha.
 
Nilijibu kwamba Dunia probably inaweza kuwa na Umbo la:-
1. duara kama sahani,
2. Umbo la yai
3. Elipsoid, na kadhalika ambapo shape zote hizo zipo flat,.huku objects kama maji yakiwa yapo contained juu ya ardhi iliyo tambarare.

yaani kwamba Dunia inaweza kuwa na umbo lolote, isipokua umbo hili ➡️🌍....kwangu mimi sioni uwezekano wa Dunia kuwa na umbo hilo.

Nipo open kujifunza,...huenda nikaja kukubaliana na idea ya Dunia Tufe,.baadae huko nikipata facts zitakazoondoa mashaka kabisa kwenye akili yangu.

Unaposema air ipo attached na Dunia,..Mimi naona hoja yako ipo debatable kwa kuwa ni theory tu.

Ila acha nikaushe maana mjadala hautoisha.
Okay labda nami nikuulize kwann huamini picha zinazotolewa na NASA zikionesha umbo la Dunia? Maana tusijadiri sana hapa wakat umesema huna muda wa kujibu hoja zangu za awali, ukishajibu tunaweza kuendelea.
 
Hii 🌍 ndo umbo Gani? Na ellipsoidal ni umbo gani?
Au hujui maana ya ellipsoid. Namm tangu mwanzo nimekwambia kabisa natumia neno tufe lakini namaanisha Dunia ni ellipsoid au geoid.

An ellipsoid is a surface that can be obtained from a sphere by deforming it by means of directional scalings, or more generally, of an affine transformation.

An ellipsoid is a surface that can be obtained from a sphere by deforming it by means of directional scalings, or more generally, of an affine transformation.

Mimi hoja yangu kwamba Dunia inaweza ikawa na umbo la elipsoid ni kutokana na ukweli kwamba umbo la elipsoid linaweza kuonyesha Flatness hii tunayoiona, tofauti na kusema dunia ni completely TUFE,...idea hii nimeichukua toka Kwa wale wanaosema "The Earth is not a perfect sphere, but is instead more like a slightly squashed sphere called an ellipsoid. An ellipsoid looks like a basketball when someone is sitting on it. Instead of being perfectly round, it is squashed down from top to bottom, and bulged out from side to side"…......huoni kwamba elipsoid inakaribia umbo la yai au hata sahani chukulia hapo aliposema "An ellipsoid looks like a basketball when someone is sitting on it" sasa jiulize Basketball ikiwa imekaliwa inakuaje umbo lake?? Si kama yai Tu hili 🥚 tukililaza horizontally?
 
Okay labda nami nikuulize kwann huamini picha zinazotolewa na NASA zikionesha umbo la Dunia? Maana tusijadiri sana hapa wakat umesema huna muda wa kujibu hoja zangu za awali, ukishajibu tunaweza kuendelea.
Sawa,.ipo hivi nilichogundua ni kwamba Mimi na wewe wote hatuamini picha zinazotolewa na NASA.

Kwasababu,. wewe unasema Dunia Ina umbo la Ellipsoid,...lakini picha za NASA hazionyeshi hivyo, zinaonyesha complete TUFE.

Huoni kama hata wewe hukubaliani na picha za NASA Kwa namna moja au nyingine?
 
Unaposema air ipo attached na Dunia,..Mimi naona hoja yako ipo debatable kwa kuwa ni theory tu.

Ila acha nikaushe maana mjadala hautoisha.
Kusoma ni kuongeza uelewa, naimani unaimani ya Mungu na huwa unasoma either biblia au Quran, sa unawezaje kusoma na kuamini maneno ambayo hukuwepo?
Kuna vitu vingi vimeelezewa na sayansi ambavyo ukikaa ukatafakari na ukaobserve utakubaliana navyo.

Soma zaidi kuhusu gravity, jinsi moon pull inasababisha kuwa Kwa maji ya bahari, solar na lunar eclipses au lunar phases, midnight sun, soma Kwa umakini naimani utaelewa zaidi then hata kama Bado utakuwa na Imani ya flat earth atleast utaweza ku-argue
 
Mimi hoja yangu kwamba Dunia inaweza ikawa na umbo la elipsoid ni kutokana na ukweli kwamba umbo la elipsoid linaweza kuonyesha Flatness hii tunayoiona, tofauti na kusema dunia ni completely TUFE,...idea hii nimeichukua toka Kwa wale wanaosema "The Earth is not a perfect sphere, but is instead more like a slightly squashed sphere called an ellipsoid. An ellipsoid looks like a basketball when someone is sitting on it. Instead of being perfectly round, it is squashed down from top to bottom, and bulged out from side to side"…......huoni kwamba elipsoid inakaribia umbo la yai au hata sahani chukulia hapo aliposema "An ellipsoid looks like a basketball when someone is sitting on it" sasa jiulize Basketball ikiwa imekaliwa inakuaje umbo lake?? Si kama yai Tu hili 🥚 tukililaza horizontally?
Kwa haya maelezo upo sahihi 100%
Na ndicho nilikuwa namaanisha. Nachopinga ni kuwa Dunia haiwezi kuwa flat, usichanganye pls, Dunia ni ellipsoidal with flatness at its poles lakin sio flat.

Okay hapo tumekubaliana, Sasa ndugu, vipi kuhusu gravity?
 
Sawa,.ipo hivi nilichogundua ni kwamba Mimi na wewe wote hatuamini picha zinazotolewa na NASA.

Kwasababu,. wewe unasema Dunia Ina umbo la Ellipsoid,...lakini picha za NASA hazionyeshi hivyo, zinaonyesha complete TUFE.

Huoni kama hata wewe hukubaliani na picha za NASA Kwa namna moja au nyingine?
Umbo la Dunia ni approximately ellipsoid, siyo completely ellipsoid, it looks like a sphere, na ndio maana sometimes hata kwenye hesabu wana-assume ni sphere. Ni ngumu kuona clear ellipsoid.
 
Kwa haya maelezo upo sahihi 100%
Na ndicho nilikuwa namaanisha. Nachopinga ni kuwa Dunia haiwezi kuwa flat, usichanganye pls, Dunia ni ellipsoidal with flatness at its poles lakin sio flat.

Okay hapo tumekubaliana, Sasa ndugu, vipi kuhusu gravity?
Sawa,. Kwanza tukubaliane kwamba gravity still mpaka Leo hii ni theory.... naamini tunakubaliana hapa.

Kwa upande wangu gravity ipo overrated hasa pale tunapoambiwa kwamba ina uwezo mpaka wa kuzuia maji yasidrop away from the Dunia Tufe 🌍.......

Tena kuliko kutumia gravity Kwanini tusiseme ni Density ndiyo inapelekea hizi scenarios za vitu kuruka na kuanguka..,..Density is the reason for things to drop on the ground. Chukulia mfano.."when you put a sealed object in the water it floats but once u add density by letting water in to the object it sinks.
 
Umbo la Dunia ni approximately ellipsoid, siyo completely ellipsoid, it looks like a sphere, na ndio maana sometimes hata kwenye hesabu wana-assume ni sphere. Ni ngumu kuona clear ellipsoid.
Lakini picha za NASA si zinatuonyesha ni kwamba Dunia ni completely sphere?
 
Sawa,. Kwanza tukubaliane kwamba gravity still mpaka Leo hii ni theory.... naamini tunakubaliana hapa.

Kwa upande wangu gravity ipo overrated hasa pale tunapoambiwa kwamba ina uwezo mpaka wa kuzuia maji yasidrop away from the Dunia Tufe 🌍.......

Tena kuliko kutumia gravity Kwanini tusiseme ni Density ndiyo inapelekea hizi scenarios za vitu kuruka na kuanguka..,..Density is the reason for things to drop on the ground. Chukulia mfano.."when you put a sealed object in the water it floats but once u add density by letting water in to the object it sinks.
Okay, basi nakubali hakuna gravity, sa hii Dunia yetu ellipsoid imeshikiliwa na nn?
 
Sawa,. Kwanza tukubaliane kwamba gravity still mpaka Leo hii ni theory.... naamini tunakubaliana hapa.

Kwa upande wangu gravity ipo overrated hasa pale tunapoambiwa kwamba ina uwezo mpaka wa kuzuia maji yasidrop away from the Dunia Tufe 🌍.......

Tena kuliko kutumia gravity Kwanini tusiseme ni Density ndiyo inapelekea hizi scenarios za vitu kuruka na kuanguka..,..Density is the reason for things to drop on the ground. Chukulia mfano.."when you put a sealed object in the water it floats but once u add density by letting water in to the object it sinks.
Alafu sasa hiyo density ndo inazuia vipi maji yasidrop kwenye ellipsoid earth?
 
Back
Top Bottom