The celebrity
JF-Expert Member
- Jul 9, 2020
- 1,972
- 559
Sa ukiniuliza tena Mimi unanichanganya😄, maana mwanzo nilikuwa najua ni gravitation force-a mutual force btn objects with mass ukanambia hakuna gravity, sa ww ndo unijibu hayo maswali. Asante Kwa kujiongezea maswaliMkuu,..kwani Jua na Mwezi vimeshikiliwa na nini?
😄😄 Unacheka
Mbona nilishasema kwamba hata Dunia probably ikiwa na umbo la ellipsoid bado linakua lipo flat kama tunavyoona,...kiasi ambacho ile kanuni kwamba maji yanatakiwa kuwa contained inakua inafuatwa kwa kuwa maji yanakua juu ya ardhi...,so ardhi ndiyo inashikilia maji....Alafu sasa hiyo density ndo inazuia vipi maji yasidrop kwenye ellipsoid earth?
Sijui unawazaje 🙄,Mbona nilishasema kwamba hata Dunia probably ikiwa na umbo la ellipsoid bado linakua lipo flat kama tunavyoona,...kiasi ambacho ile kanuni kwamba maji yanatakiwa kuwa contained inakua inafuatwa kwa kuwa maji yanakua juu ya ardhi...,so ardhi ndiyo inashikilia maji....
Tena ngoja nikupe fact hii naamini itakufikirisha,..."Maji yapo contained kwenye ardhi kwa kuwa hata kwenye bahari ukienda deep zaidi utakutana na ardhi ndiyo ipo chini huko ina act kama chombo kilichobeba maji.
Yatamwagika vipi na yapo contained kwenye ardhi,....shida yako umesaliti hata macho yako.Sijui unawazaje 🙄,
Hiyo ellipsoid earth inamaana maji yapo juu tu yaan kwenye north pole pekee? Je maji yaliyo south pole kwann yasimwagike Kwa mfano huko south Africa.
Sijui unanielewa kweli?angalia illustration hapaYatamwagika vipi na yapo contained kwenye ardhi,....shida yako umesaliti hata macho yako.
Unaamini vya kuambiwa kuliko unavyoviona.... tafuta pesa ufanye utalii Dunia nzima, kisha naamini utarudi na majibu sahihi as to why maji hayamwagiki.
Eti nitafute pesa nifanye research, nimeshakuuliza awali we umefanya research?Yatamwagika vipi na yapo contained kwenye ardhi,....shida yako umesaliti hata macho yako.
Unaamini vya kuambiwa kuliko unavyoviona.... tafuta pesa ufanye utalii Dunia nzima, kisha naamini utarudi na majibu sahihi as to why maji hayamwagiki.
Sasa we usiemini vya kuambiwa, umesema density ndo inafanya vitu vifall, meli inapelea kwenye maji je nikiiweka kwenye space utaelea?Yatamwagika vipi na yapo contained kwenye ardhi,....shida yako umesaliti hata macho yako.
Unaamini vya kuambiwa kuliko unavyoviona.... tafuta pesa ufanye utalii Dunia nzima, kisha naamini utarudi na majibu sahihi as to why maji hayamwagiki.
Duh mbona unajipa ugumu kwenye wepesi,? Yaani unaniuliza kama bado nipo kwenye concept ya Dunia flat wakati hata mchoro wa ellipsoid ulioweka hapo upo kwenye umbo la flat,...Sijui unanielewa kweli?angalia illustration hapa
View attachment 2881034
Sa density inazuiaje maji yasimwagike? Au Bado upo kwenye concept ya Dunia ni flat? Maana me nakuuliza hapa nikiamini tumekubaliana Dunia ni ellipsoidal, au ellipsoidal yako ni 2D?
Hiyo ni illustration tu, lakin si tayar unajua ni ellipsoidal au? Aya hiyo ni ellipsoidal 3D kama hii👇👇 nijibu swali sasa,Duh mbona unajipa ugumu kwenye wepesi,? Yaani unaniuliza kama bado nipo kwenye concept ya Dunia flat wakati hata mchoro ulioweka hapo upo kwenye umbo la flat,...
Wewe zunguka ila Mimi jibu langu ni lile lile kwàmba maji hayamwagiki kwa kuwa yapo contained kwenye ardhi In all its sides!!!
Nitarudi,...🤝🏼
Unasema nizunguke lkn huwez kubadiri hoja yako Kwa sababu huwezi kujenga hoja. Hujibu maswali unaruka na kung'ang'ania. Kama kweli unauwezo wa kujenga hoja na unauhakika na unachosema na research zako jibu maswali.Duh mbona unajipa ugumu kwenye wepesi,? Yaani unaniuliza kama bado nipo kwenye concept ya Dunia flat wakati hata mchoro wa ellipsoid ulioweka hapo upo kwenye umbo la flat,...
Wewe zunguka ila Mimi jibu langu ni lile lile kwàmba maji hayamwagiki kwa kuwa yapo contained kwenye ardhi In all its sides!!!
Nitarudi,...🤝🏼
hiii mada hii, ni balaa😄😄 Unacheka
Unakurukupa sana bro, na Nna wasi wasi na upeo wako wa kufikiri bro,, Ndio maana mambo madogo yanakusumbua kichwa.Unajichanganya mkuu,...sasa mbona hapo kwenye video uliyoweka unaonyesha kwamba Dunia ipo fixed na Jua ndiyo linazunguka Dunia
Au hujaliona hilo? Experience now
Hapa nna swali, Unasema mambo ya gravity ni theory okay.Hahh sasa Kwanini uifunge akili yako na vitu vya kuambiwa Tu,..yani unaamini kila kitu ni mpaka uhadithiwe kwenye textbooks za physics?,... try to research yourself!
Mimi nimekusoma wewe ni mwerevu Sana,..ila tu umekua indoctrinated na uliyoyasoma.
Kumbuka hata masuala ya gravity bado NI theory Tu,...hivyo wewe kama Mr anthony_art umeachiwa room ya ku disprove theory kama hizo,,..usijinyime hiyo haki Kwa kushindwa kufanya tafiti zilizo ndani ya uwezo wako.
Hivi mpaka leo kuna watu wanaamini Dunia ni Tufe 🌍 kweli??!Hivi mpaka leo kuna watu wanaamini dunia ni tambarare kweli?
Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
Ooh kwamba una wasiwasi na upeo wangu wa kufikiri? Kwamba nikifikiria kama wewe ndiyo utasema nina uwezo mkubwa wa kufikiri?,....haiwezi kuwa hivyo.Unakurukupa sana bro, na Nna wasi wasi na upeo wako wa kufikiri bro,, Ndio maana mambo madogo yanakusumbua kichwa.
Rudia kuangalia vizuri hiyo clip, iangalie kwa makini zaidi.
Sio Mimi, Bali walio propose ndiyo wanasema ni Theory, Na worldwide inajulikana kwamba Gravity ni nadharia tu.,...Au unataka kubishana mpaka na wenye theory yao?Hapa nna swali, Unasema mambo ya gravity ni theory okay.
Jibu ninalo,..na jibu hilo ni "SINA JIBU NI NGUVU GANI INAYOENDESHA JUA NA KULISHIKILIA"Maswali yangu:
Kwa nadharia mliyonayo kuwa jua ndio inazunguka dunia....
Ni nguvu gani inayoendesha jua kuzunguka dunia ?
Na je angani inashishikiliwa na nguvu au kitu gani ili isipoteze muelekeo wake ?
Naomba unijibu haya maswali bila kuchanganya jambo lingine lolote, Na tafadhali usiniambie kuwa hauna jibu😅
Mbona nishakujibu hivi,➡️"Wewe zunguka ila Mimi jibu langu ni lile lile kwàmba maji hayamwagiki kwa kuwa yapo contained kwenye ardhi In all its sides!!!"Unasema nizunguke lkn huwez kubadiri hoja yako Kwa sababu huwezi kujenga hoja. Hujibu maswali unaruka na kung'ang'ania. Kama kweli unauwezo wa kujenga hoja na unauhakika na unachosema na research zako jibu maswali.