Chosen Rich
JF-Expert Member
- Jan 7, 2019
- 1,467
- 989
Post number 1554, nlishakutumia majibu japo ni ya kutoka Quora,I think it'll be fair If I could say,..."Dunia ni kubwa sana that's why huwezi kuona kingo,...."
Kama nyie nnavyosema kwamba "Dunia ni kubwa sana that's why huwezi kuona curvature "......so it's both teams to score.
NB:- Usisahau kurudi kwenye post #1,554,..Globers wanakutegemea sana uwaokoe pale Mkuu.
Soma vizuri yale maelezo sehemu ambayo hujaelewa utaniuliza.