Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?

  • Total voters
    710
Yes,..unacheka lakini huo ndiyo uhalisia....au unataka ubishe na hilo?

Unahisi kwanini assumption ya Non-rotating earth inatumika kwenye Piloting? Kwasababu if the earth is rotating haina haja ya kutumia nguvu kwenda mji wa Seoul South Korea wakati unaweza ukachukua Helicopter [emoji576] ukafanya mark time kwenye anga na Location ikakujia hapo ulipo we unafanya kutua Tu...

Tumia akili vizuri,.vitu simple sana hivi.
Nmecheka kwasababu nadhani unaandika vitu ambavyo haujui umeandika nini,

Mkuu hapa Duniani kila kitu ni hesabu , Dunia inakamilisha mzunguko kila baada ya masaa 24

Vivid Eg: Safari ya kutoka hapa hadi U.S.A ni kama masaa14-16 non-stop.

Unataka uniambie njia hiyo ndio ingekua nafuu ? [emoji851] unadhani wao ni wajinga hawakuona hiyo njia ?

Angalia mzunguko dunia kukamilisha mzunguko wake, angalia umbali wa sehemu unayotaka kwenda ukipata jibu hata wewe utajicheka.

Hiyo njia inatumika kupeleka vyombo kwenye magimba mengine....Mfano Mars, mwezini and etc
 
Usiende mbali mkuu,..wewe fikiria mfano unataka uende Nairobi Tu hapo Kwa kutumia Helicopter ,... Na unajua kabisa Dunia inazunguka na Kwa teknolojia iliyopo unajua kabisa ukifanya mark time na Helicopter yako ndani ya saa kadhaa Nairobi itakua imefikia mahali ambapo ulikua unafanya mark time,...utakachotakiwa kufanya ni kutua tu as earth's rotation has freely brought the city of Nairobi to you, Hahh....🙌🏼
Mfano huo huo na mi nakupa alafu unijibu..
Kama ndege mnyama. Akifanya mark time akiwa ndani ya gari upande wa mbele jee baada ya mda atakuwa yupo nyuma kwa gari lipo kwa motion..?
 
Usiende mbali mkuu,..wewe fikiria mfano unataka uende Nairobi Tu hapo Kwa kutumia Helicopter ,... Na unajua kabisa Dunia inazunguka na Kwa teknolojia iliyopo unajua kabisa ukifanya mark time na Helicopter yako ndani ya saa kadhaa Nairobi itakua imefikia mahali ambapo ulikua unafanya mark time,...utakachotakiwa kufanya ni kutua tu as earth's rotation has freely brought the city of Nairobi to you, Hahh....[emoji1373]
Mimi naona unazidi kujiaibisha,
 
Nmecheka kwasababu nadhani unaandika vitu ambavyo haujui umeandika nini,

Mkuu hapa Duniani kila kitu ni hesabu, Dunia inakamilisha mzunguko kila baada ya masaa 24

Vivid Eg: Safari ya kutoka hapa hadi U.S.A ni kama masaa14-16 non-stop.

Unataka uniambie njia hiyo ndio ingekua nafuu ? [emoji851] unadhani wao ni wajinga hawakuona hiyo njia ?

Angalia mzunguko dunia kukamilisha mzunguko wake, angalia umbali wa sehemu unayotaka kwenda ukipata jibu hata wewe utajicheka.

Hiyo njia inatumika kupeleka vyombo kwenye magimba mengine....Mfano Mars, mwezini and etc
Mjibu kwa mifano zaidi kama yeye anavotoa mifano 😂😂😂😂😂
 
Nmecheka kwasababu nadhani unaandika vitu ambavyo haujui umeandika nini,

Mkuu hapa Duniani kila kitu ni hesabu , Dunia inakamilisha mzunguko kila baada ya masaa 24

Vivid Eg: Safari ya kutoka hapa hadi U.S.A ni kama masaa14-16 non-stop.

Unataka uniambie njia hiyo ndio ingekua nafuu ? [emoji851] unadhani wao ni wajinga hawakuona hiyo njia ?

Angalia mzunguko dunia kukamilisha mzunguko wake, angalia umbali wa sehemu unayotaka kwenda ukipata jibu hata wewe utajicheka.

Hiyo njia inatumika kupeleka vyombo kwenye magimba mengine....Mfano Mars, mwezini and etc
Hivi unafikiria kweli mkuu?,..basi ngoja niku challenge,...

Kama Dunia inakamilisha mzunguko wake Kwa saa24 kama ulivyosema ,..that means ndani ya saa atleast 12 dunia Inakua imefanya half of its rotation, si ndiyo?

Kama ni hivyo basi,.... Aircraft ikifanya mark time kwenye anga ndani ya saa 12 Aircraft hiyo haitokua in exact location, due to earth's rotation....

UNAKUBALI?????!
 
Labda nikujibu kwa ufupi tu,

Dunia inazunguka pamoja na vyote vilivyomo.
 
Mkuu huyo atakujibu kivyake.
Ila me naomba hapo nichangie kidogo kuhusu rotation na evolution.
Hii rotation inapokua inatokea jua hapo hapo dunia ina kua ina revolve sasa hapo kwa ishu ya mark time inaweza kuwa possible..?
 
Mfano huo huo na mi nakupa alafu unijibu..
Kama ndege mnyama. Akifanya mark time akiwa ndani ya gari upande wa mbele jee baada ya mda atakuwa yupo nyuma kwa gari lipo kwa motion..?
Mfano wako una makosa kidogo,..unatakiwa usiseme Ndege yupo ndani ya gari kwa kuwa hata Helicopter ikiwa kwenye anga huwezi ukafananisha na Ndege kuwa ndani ya Gari.
....sema hivi " Ndege yupo juu ya Anga then gari ni zile ambazo hazina roof juu "Cabriolet" sasa hapo...ikiwa Ndege atafanya mark time akiwa mbele ya gari baada ya muda atajikuta yupo nyuma ya gari kwa kuwa gari ipo kwenye motion....

Hopefully umenipata.
 
Oky kwani helicopter inapokua angani tunasema ipo katika part ipi ya dunia mkuu ?
 
Labda nikujibu kwa ufupi tu,

Dunia inazunguka pamoja na vyote vilivyomo.
Hahhh uongo sasa huu,... Does it make sense to you?!

Hujawahi kuona hata zile Helicopter zikiwa zinakagua sehemu zilizotokea majanga kama Mafuriko na kadhalika? Huoni kama kuna time zina fanya mark time kabisa kutazama athari ya tukio husika?

Au hata ukiona inafanya mark time that means bado inazunguka Tu?! Daah this is very poor thinking
 
Anaogopa atajichanganya...maana concepts anazoamini zipo kwenye makaratasi tu na sio uhalisia.
Wewe uhalisia wako ni upi chief ?

Mpaka sasa hivi hujatuambia zilipo kingo za Dunia.

Mpaka sasa hamna majibu ya kwanini jua linachomoza Magharibi na kuzama Mashariki.
 
Hahhh uongo sasa huu,... Does it make sense to you?!

Hujawahi kuona hata zile Helicopter zikiwa zinakagua sehemu zilizotokea majanga kama Mafuriko na kadhalika? Huoni kama kuna time zina fanya mark time kabisa kutazama athari ya tukio husika?

Au hata ukiona inafanya mark time that means bado inazunguka Tu?! Daah this is very poor thinking
Hapo na hiyo helicopter inakua ipo kati ya vitu ambavyo vina move na dunia...
Ndo mana inafanya hiyo mark time
 
Ona sasa, Umeshaanza kuchanganya na vitu vingine ( Hali ya hewa )

Hii ni topic nyingine.
 
Yes,..unacheka lakini huo ndiyo uhalisia....au unataka ubishe na hilo?

Unahisi kwanini assumption ya Non-rotating earth inatumika kwenye Piloting? Kwasababu if the earth is rotating haina haja ya kutumia nguvu kwenda mji wa Seoul South Korea wakati unaweza ukachukua Helicopter [emoji576] ukafanya mark time kwenye anga na Location ikakujia hapo ulipo we unafanya kutua Tu...

Tumia akili vizuri,.vitu simple sana hivi.
Mkuu hapo umewamaliza wanakaza tu fuvu
 
Hapo na hiyo helicopter inakua ipo kati ya vitu ambavyo vina move na dunia...
Ndo mana inafanya hiyo mark time
Aaah kuwa serious Mkuu,... Helicopter ikiwa inafanya mark time maana yake ipo kwenye location hiyo hiyo,..sasa hiyo movement unayozungumzia ni kwenda wapi? Na wakati Helicopter unaiona ipo tu haiendi popote?

Yaani Dunia ingekua ina move wewe ndiyo ilibidi uhame location ambayo Helicopter inafanya mark time Kwa kuwa wewe upo attached na Dunia,..lakini Helicopter itabaki palepale Kwa kuwa yenyewe haifanyi movement yoyote.,...

Tatizo Mtu ukiamini kitu basi hata ukweli huutaki tena,.upo tayari kukumbatia uongo no matter what,...mazoea yana tabu Sana.
 
Back
Top Bottom