Chosen Rich
JF-Expert Member
- Jan 7, 2019
- 1,467
- 989
Nmecheka kwasababu nadhani unaandika vitu ambavyo haujui umeandika nini,Yes,..unacheka lakini huo ndiyo uhalisia....au unataka ubishe na hilo?
Unahisi kwanini assumption ya Non-rotating earth inatumika kwenye Piloting? Kwasababu if the earth is rotating haina haja ya kutumia nguvu kwenda mji wa Seoul South Korea wakati unaweza ukachukua Helicopter [emoji576] ukafanya mark time kwenye anga na Location ikakujia hapo ulipo we unafanya kutua Tu...
Tumia akili vizuri,.vitu simple sana hivi.
Mkuu hapa Duniani kila kitu ni hesabu , Dunia inakamilisha mzunguko kila baada ya masaa 24
Vivid Eg: Safari ya kutoka hapa hadi U.S.A ni kama masaa14-16 non-stop.
Unataka uniambie njia hiyo ndio ingekua nafuu ? [emoji851] unadhani wao ni wajinga hawakuona hiyo njia ?
Angalia mzunguko dunia kukamilisha mzunguko wake, angalia umbali wa sehemu unayotaka kwenda ukipata jibu hata wewe utajicheka.
Hiyo njia inatumika kupeleka vyombo kwenye magimba mengine....Mfano Mars, mwezini and etc