Sambinyakwe kitololo
JF-Expert Member
- Nov 15, 2022
- 2,419
- 2,940
Niwaulize nyie wanaowaambia dunia Ni flat Wana maana ganiUkiweza nijibu vzr kuanzia namba 1-5 nitakuwa glober tena. Bado una muda wa kujua ukweli wa hii dunia. Inatakiwa pia ujue sababu ya kudanganywa ni nini? Kwanini wanadanganya kuhusu hii dunia? wanapata faida gani?
Unaliona la kitoto ila wewe na mama yako hamuwezi lijibuMkuu, mbona Una maswali ya kitoto Sana?
Eti kwanini Nzi haachwi na Gari...🙌🏼
Kwa maswali hayo sikushangai ukishikiwa akili na wenzako wa Dunia Tufe 🌍.
Wewe nani aliyekuambia Nzi haachwi na Gari?Unaliona la kitoto ila wewe na mama yako hamuwezi lijibu
Huu sio ushahidiDome ipo proved mkuu wao wanakwambia kuna “Van allen belt” kwamba huwezi kuvuka hio layer. Uhalisia ndo Dome hio ila hawataki kuwambia ukweli. View attachment 2915560
View attachment 2915561
View attachment 2915562
Nlisema ushahidi usio na shaka yoyote,Dome ipo proved mkuu wao wanakwambia kuna “Van allen belt” kwamba huwezi kuvuka hio layer. Uhalisia ndo Dome hio ila hawataki kuwambia ukweli. View attachment 2915560
View attachment 2915561
View attachment 2915562
Narudia, Usilete hadithi za kwenye vijiwe vya kahawa mkuu,Ooh good, wenzako wanaishia tu mwanzoni hawaendi mbele zaidi, wanaoneshwa penguine wanarudi[emoji23]. Fanya research why antartica treaty? kitu kingine Antartica so bara kama tunavyodanganywa ni ICE WALLS surrounding our earth, na angle zote za kuingilia zinalindwa kwa ulinzi mkali wa NASA.
.Ukiweza nijibu vzr kuanzia namba 1-5 nitakuwa glober tena. Bado una muda wa kujua ukweli wa hii dunia. Inatakiwa pia ujue sababu ya kudanganywa ni nini? Kwanini wanadanganya kuhusu hii dunia? wanapata faida gani?
Huu sio ushahidi
Nlisema ushahidi usio na shaka yoyote,
Na swali la pili lijibu tafadhali
Unaniuliza swali ambalo nmeshakwambia toka mwanzo, Antarctica ipo huru na yoyote anaweza kutembelea,Mpaka sasa hujajibu swali langu, “why antartica treaty? Ukijibu, nitakujibu.
Mimi na wewe nani yupo brainwashed ambae unakuja na maneno kama mwanasiasa unaforce uaminiwe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Uko brainwashed sana, sitaki kwenda deep mpaka pale utakavyojibu swali langu kwanza,
1. Why was a peace treaty passed for Antarctica?
2. Why is antartica guarded?
U.S.A wana military base yao kule, Na sio kule tu ni maeneo mengi kwenye nchi mbali mbali Duniani.
Unaniuliza swali ambalo nmeshakwambia toka mwanzo, Antarctica ipo huru na yoyote anaweza kutembelea,
Na picha nmekutumia, Sasa unataka nikujibu swali la kitu ambacho nmeshakwambia mambo hayapo hivyo ?
Antartica ni bara kubwa, lina maeneo mengi
U.S.A wana military base yao kule, Na sio kule tu ni maeneo mengi kwenye nchi mbali mbali Duniani.
Sehemu ambazo zinakatazwa ni maeneo ya kijeshi tu na ni maeneo ambayo hata ukubwa wake inazidiwa na Dar es salaam.
Sasa hiyo akili ya kuuliza "why Antarctica treaty" unaona lina maana gani kama sio kuonyesha uwezo mdogo wa kifikra.
Uhalisia upi mmetupa ? Hadi muda huu sijaambiwa kingo za Dunia zilipo ili nijipange taratibu niende.Huu ni uongo mkuu,.. U.S hawana military base yoyote huko Antarctica unless uwe na ushahidi usio na shaka.
NB:- Yaani pamoja na hoja za kimantiki na mifano ya uhalisia tuliyojadili Kwa pamoja hapa...bado tu unaamini Dunia ni Tufe linalozunguka?! hii ni hatari[emoji1373]
Sema hivi, uliamua kuweka elimu ya darasani na kufuata elimu za watu wengine walioibua mijadala ya Dunia ni flat na kukubaliana nazo.Kama unashindwa kujua kuna Antartica treaty ambayo imesainiwa na Mataifa Duniani icluding Tanzania kuna haja gani ya kuendelea ku-argue na wewe?.
Baki na unacho amini hata mimi nilikuwa kama wewe ila baada ya kuamua kuweka elimu ya Darasani pembeni nikajua ukweli kuhusu hii dunia.
The truth will set you free -This World Is NOT What You Think It Is.
Unasema US hawana military base yoyote ? Are you sure ?Huu ni uongo mkuu,.. U.S hawana military base yoyote huko Antarctica unless uwe na ushahidi usio na shaka.
NB:- Yaani pamoja na hoja za kimantiki na mifano ya uhalisia tuliyojadili Kwa pamoja hapa...bado tu unaamini Dunia ni Tufe linalozunguka?! hii ni hatari[emoji1373]
.Huu ni uongo mkuu,.. U.S hawana military base yoyote huko Antarctica unless uwe na ushahidi usio na shaka.
NB:- Yaani pamoja na hoja za kimantiki na mifano ya uhalisia tuliyojadili Kwa pamoja hapa...bado tu unaamini Dunia ni Tufe linalozunguka?! hii ni hatari[emoji1373]
Hii ni military base ya Chile iliyopo AntarcticaHuu ni uongo mkuu,.. U.S hawana military base yoyote huko Antarctica unless uwe na ushahidi usio na shaka.
NB:- Yaani pamoja na hoja za kimantiki na mifano ya uhalisia tuliyojadili Kwa pamoja hapa...bado tu unaamini Dunia ni Tufe linalozunguka?! hii ni hatari[emoji1373]