Unaniuliza swali ambalo nmeshakwambia toka mwanzo, Antarctica ipo huru na yoyote anaweza kutembelea,
Na picha nmekutumia, Sasa unataka nikujibu swali la kitu ambacho nmeshakwambia mambo hayapo hivyo ?
Antartica ni bara kubwa, lina maeneo mengi
U.S.A wana military base yao kule, Na sio kule tu ni maeneo mengi kwenye nchi mbali mbali Duniani.
Sehemu ambazo zinakatazwa ni maeneo ya kijeshi tu na ni maeneo ambayo hata ukubwa wake inazidiwa na Dar es salaam.
Sasa hiyo akili ya kuuliza "why Antarctica treaty" unaona lina maana gani kama sio kuonyesha uwezo mdogo wa kifikra.