Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,286
- 39,418
Hilo swali ni lipi ....
Soma hizo theories utapata maelezo na mahesabu ya curvature ya dunia, kama kuna sehemu ina utata, uje useme....
Nawe kama kuna scientific theories za kusema earth ni flat, ziseme mkuu, mi nitazipitia na mahesabu yake....
Nikiona Kuna vipengele havipo sawa, nakurejea.
Sasa mkuu, kama NASA ni satanic organization haito sio ushahidi wa kwamba dunia ni flat.Pole sana, take your time research ndo utajua NASA ni Satan organization.
Bro,hiyo ni azimuthal equidistant projection ni mojawapo ya projection ya dunia(tufe) kwenye flat surface,
Kuna projections zaidi ya
ishirini za dunia kwenye flat surface...
Projection maarufu ni ya mercator....
Na ndiyo inayotumika na pilots and captains kusafiria...
Hakuna projection iliyokamili coz ni impossible ku-represent umbo tufe kwenye flat surface, ndiyo kuna ramani utaona Greenland kubwa inakaribia Afrika lakini haipo hivyo...
Check video about earth map projections mkuu,,,
Plz,check video zake kwanza.
Leta out of space flat earth pictures mkuu,
Aya ,umezisoma theories hizo kwa undani, siyo definition tu.Theory ya heliocentric inaelezea Solar system
Theory ya Relativity inaelezea gravitational force, space and time. Sijaona Curvature ya dunia
Sasa mkuu, kama NASA ni satanic organization haito sio ushahidi wa kwamba dunia ni flat.
Sasa Iran ni nchi ya muislam,wanatuma satellite nje,India na hata Korea.,ina maana na wao ni Satanic...
Haya
Aya ,umezisoma theories hizo kwa undani, siyo definition tu.
Nimekushauri angalia kwanza hizo video kuhusu Projections, halafu ndiyo uje tenaHapo unakubali globe sio ramani halisi.
Ukweli ni kwamba ukilichana tufe ndo unapata ramani halisi ya Flat earth.
Bro,katika umbali ambao satellites zinaruka balloons haziwezi fika.Satellite zipo sijakupinga ila zinashikiliwa na ballons huko juu hadi ushahidi upo ukitaka nitakuonesha, na nyingi zinaanguka zikiwa na maballons. Kama satellites zinatumika kuna haja gani ya mitandao ya simu kuendelea kujenga minara mirefu??
Satellite most zinatumika kwnye millitary purposes na chache zinatumika kwenye mawasiliano na masuala mengine. Ile kusema ipo kwa orbit ni uongo.
Bro,mimi sichukulii haya kama mashindano ila kwangu ni sehemu ya kujifunza...Embu ielezee Curvature hapa na ambao sio wana physics wajifunze, hii ndo maana ya JF.
ACHA UONGO WEWE.Na sisi tuko ndani ya Dunia au nje ya Dunia? Ndege inakimbia speed ipi?, ukiwa ndani ya ndege ile movement unaifeel vzr kabisa na ukiangalia kwa kioo unaona mvt ya ndge mbona tofauti kwa Dunia inayozunguka kwa speed ya 66,700mph?
Nmeuliza mna project gani kuhusu mambo yanayohusu anga ?Satellite zipo but sio kama mnavyoambiwa ziko wa orbit na internet zaidi ya 90% inatumia undersea cable. Ukishajua ukweli wa hii Dunia mambo mengine hata hayawezi kukupa shida,
[emoji288]Hakuna video kutoka angani inayoonesha Dunia ina spin. Wanatuonesha picha ambazo ni CGI photoshop. Kama unayo naomba nitumie na mimi niione.
Ina maana zile Starlink za jana kama umeziona angani zilishikiliwa na ballons ??? [emoji23][emoji23][emoji23]Satellite zipo sijakupinga ila zinashikiliwa na ballons huko juu hadi ushahidi upo ukitaka nitakuonesha, na nyingi zinaanguka zikiwa na maballons. Kama satellites zinatumika kuna haja gani ya mitandao ya simu kuendelea kujenga minara mirefu??
Satellite most zinatumika kwnye millitary purposes na chache zinatumika kwenye mawasiliano na masuala mengine. Ile kusema ipo kwa orbit ni uongo.
Hahahaha π€£π€£π€£π€£Ina maana zile Starlink za jana kama umeziona angani zilishikiliwa na ballons ??? [emoji23][emoji23][emoji23]
Hizi hoja sizirlewi kwamba maji hayawezi kukaa kwenye round earth??Tatizo imani ikizidi kichwani,.hata macho yanaingiwa na upofu,. Watu wapo tayari kuitupa mbali logic ili tu wabaki na walichoaminishwa tokea wanapata akili.
Ukiwauliza sea ball inapatikanaje kwenye round-ball watasema Dunia sio complete TUFE,..ila picha wanatuletea hizi ππΌπ complete round-ball,.. Inashangaza ππΌ
Yes,, hayawezi kukaa kwenye round-ball π....Hizi hoja sizirlewi kwamba maji hayawezi kukaa kwenye round earth??
Kwanini unaona kitu hakiwekani??
Kwanini isiwezekane??Kama wewe unajua physics unaona suala la maji kujikunja kwenye mpira inawezekana,?
Kwenye dunia maji yapo contained na Ocean Basin na yanakufanyiwa Holding na Gravitational force.Yes,, hayawezi kukaa kwenye round-ball π....
Kwasababu maji yanahitaji kuwa contained...sasa kwenye round-ball yanakua contained vipi?