Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?

  • Total voters
    710
Hilo swali ni lipi ....
Soma hizo theories utapata maelezo na mahesabu ya curvature ya dunia, kama kuna sehemu ina utata, uje useme....

Nawe kama kuna scientific theories za kusema earth ni flat, ziseme mkuu, mi nitazipitia na mahesabu yake....
Nikiona Kuna vipengele havipo sawa, nakurejea.

Theory ya heliocentric inaelezea Solar system
Theory ya Relativity inaelezea gravitational force, space and time. Sijaona Curvature ya dunia
 
Pole sana, take your time research ndo utajua NASA ni Satan organization.
Sasa mkuu, kama NASA ni satanic organization haito sio ushahidi wa kwamba dunia ni flat.
Sasa Iran ni nchi ya muislam,wanatuma satellite nje,India na hata Korea.,ina maana na wao ni Satanic...
 
Bro,hiyo ni azimuthal equidistant projection ni mojawapo ya projection ya dunia(tufe) kwenye flat surface,
Kuna projections zaidi ya
ishirini za dunia kwenye flat surface...
Projection maarufu ni ya mercator....
Na ndiyo inayotumika na pilots and captains kusafiria...
Hakuna projection iliyokamili coz ni impossible ku-represent umbo tufe kwenye flat surface, ndiyo kuna ramani utaona Greenland kubwa inakaribia Afrika lakini haipo hivyo...
Check video about earth map projections mkuu,,,
Plz,check video zake kwanza.

Leta out of space flat earth pictures mkuu,

Hapo unakubali globe sio ramani halisi.
Ukweli ni kwamba ukilichana tufe ndo unapata ramani halisi ya Flat earth.
 
Sasa mkuu, kama NASA ni satanic organization haito sio ushahidi wa kwamba dunia ni flat.
Sasa Iran ni nchi ya muislam,wanatuma satellite nje,India na hata Korea.,ina maana na wao ni Satanic...

Satellite zipo sijakupinga ila zinashikiliwa na ballons huko juu hadi ushahidi upo ukitaka nitakuonesha, na nyingi zinaanguka zikiwa na maballons. Kama satellites zinatumika kuna haja gani ya mitandao ya simu kuendelea kujenga minara mirefu??

Satellite most zinatumika kwnye millitary purposes na chache zinatumika kwenye mawasiliano na masuala mengine. Ile kusema ipo kwa orbit ni uongo.
 
Hapo unakubali globe sio ramani halisi.
Ukweli ni kwamba ukilichana tufe ndo unapata ramani halisi ya Flat earth.
Nimekushauri angalia kwanza hizo video kuhusu Projections, halafu ndiyo uje tena
,,,Kubali kujifunza kwanza mkuu...

Kuna ramani zaidi ya ishirini za dunia,lakini katika zote hakuna hata moja iliyokamilika, mana ni mathematically, hauwezi represent surface ya tufe kwenye 2D flat surface lazima utaleta distortion...
 
Satellite zipo sijakupinga ila zinashikiliwa na ballons huko juu hadi ushahidi upo ukitaka nitakuonesha, na nyingi zinaanguka zikiwa na maballons. Kama satellites zinatumika kuna haja gani ya mitandao ya simu kuendelea kujenga minara mirefu??

Satellite most zinatumika kwnye millitary purposes na chache zinatumika kwenye mawasiliano na masuala mengine. Ile kusema ipo kwa orbit ni uongo.
Bro,katika umbali ambao satellites zinaruka balloons haziwezi fika.
Kuna umbali ambao balloons zikifika zinapasuka due to pressure, hii ipo hata kwa ndege aa kawaida, zina umbali wake...kumbuka Boyle's,Charles' na Gaseous law mkuu.

Now satelite sikuhizi zinazidi kuongezeka, Starlink ina mpango kufikisha Satelite 5,000 na hata Blue Origin ya Bezos.

Ku-relay mawimbi ya simu,mwanzoni ilikuwa direct conncetion ya nyaya mpaka majubani, maendeleo yakaleta minara miaka inavyoenda Satelite ndiyo itakuwa kila kitu.
 
Embu ielezee Curvature hapa na ambao sio wana physics wajifunze, hii ndo maana ya JF.
Bro,mimi sichukulii haya kama mashindano ila kwangu ni sehemu ya kujifunza...
Ndiyo mana nikatoa reference hizo mbili tu mwanzo mkasome, nia mjifunze kitu kwanza...

Halafu nimewaomba na nyie Theories zenu hata mbili ambazo zina supportive facts na formula ili nizipitie....

Halafu baadaye kila mtu aje aseme kipengele gani batili na kwanini...unaweka ushahidi wako ulioshiba.
 
Na sisi tuko ndani ya Dunia au nje ya Dunia? Ndege inakimbia speed ipi?, ukiwa ndani ya ndege ile movement unaifeel vzr kabisa na ukiangalia kwa kioo unaona mvt ya ndge mbona tofauti kwa Dunia inayozunguka kwa speed ya 66,700mph?
ACHA UONGO WEWE.
 
Satellite zipo but sio kama mnavyoambiwa ziko wa orbit na internet zaidi ya 90% inatumia undersea cable. Ukishajua ukweli wa hii Dunia mambo mengine hata hayawezi kukupa shida,
Nmeuliza mna project gani kuhusu mambo yanayohusu anga ?
 
7C826789-1D76-4574-BD5F-5448325CF35F.jpeg

Sasa hapa mkuu Machakosi jua na mwezi si vinakua visible(vinaonekana) muda wote. Kwa sababu Kwenye flat surface ukiweka taa ya duara mfano wa jua kwa distance ya juu, hiyo taa hata ikae angle gani ni lazima ionekane hata ikiwa mbali. Na tukilinganisha na really jua halionekani muda wa usiku

Pia hata ukisema jua halionekani kwa sababu lipo mbali na upeo wa macho yetu, bado unarudi pale pale, inapofika usiku kwa concept ya flat earth ilibidi jua lionekane kwa kutumia device yenye uwezo wa kuzoom mbali.
Lakini haipo hivyo ndugu
 
Satellite zipo sijakupinga ila zinashikiliwa na ballons huko juu hadi ushahidi upo ukitaka nitakuonesha, na nyingi zinaanguka zikiwa na maballons. Kama satellites zinatumika kuna haja gani ya mitandao ya simu kuendelea kujenga minara mirefu??

Satellite most zinatumika kwnye millitary purposes na chache zinatumika kwenye mawasiliano na masuala mengine. Ile kusema ipo kwa orbit ni uongo.
Ina maana zile Starlink za jana kama umeziona angani zilishikiliwa na ballons ??? [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wote karibun kwenye Ukurasa wa Ujenzi, msome juu ya Makala yangu ya ujenzi,inaitwa
POINTS 10 ZA UJENZI.
Kuna mambo mazuri ya kujifunza.
 
Tatizo imani ikizidi kichwani,.hata macho yanaingiwa na upofu,. Watu wapo tayari kuitupa mbali logic ili tu wabaki na walichoaminishwa tokea wanapata akili.

Ukiwauliza sea ball inapatikanaje kwenye round-ball watasema Dunia sio complete TUFE,..ila picha wanatuletea hizi 👉🏼🌍 complete round-ball,.. Inashangaza 🙌🏼
Hizi hoja sizirlewi kwamba maji hayawezi kukaa kwenye round earth??

Kwanini unaona kitu hakiwekani??
 
Hizi hoja sizirlewi kwamba maji hayawezi kukaa kwenye round earth??

Kwanini unaona kitu hakiwekani??
Yes,, hayawezi kukaa kwenye round-ball 🌍....

Kwasababu maji yanahitaji kuwa contained...sasa kwenye round-ball yanakua contained vipi?
 
Yes,, hayawezi kukaa kwenye round-ball 🌍....

Kwasababu maji yanahitaji kuwa contained...sasa kwenye round-ball yanakua contained vipi?
Kwenye dunia maji yapo contained na Ocean Basin na yanakufanyiwa Holding na Gravitational force.

Una swali
 
Back
Top Bottom