Chosen Rich
JF-Expert Member
- Jan 7, 2019
- 1,467
- 989
Hili neno "Ball" limenata sana kwenye ubongo wako.Yes,, hayawezi kukaa kwenye round-ball [emoji288]....
Kwasababu maji yanahitaji kuwa contained...sasa kwenye round-ball yanakua contained vipi?
Ooh vizuri,..so Dunia haipo hivi 👉🏼🌍?Hili neno "Ball" limenata sana kwenye ubongo wako.
Dunia sio ball
So ikiwa hivyo ni ball ?Ooh vizuri,..so Dunia haipo hivi [emoji1371][emoji288]?
Wana hoja za kubumba bumba sana [emoji16]Hahahaha [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yes swali lipo.,.. kama Dunia ni Tufe na maji yapo contained kwenye Ocean basin as you've said,....ni kitu gani kinafanya maji ya bahari yaonekane yapo level although Dunia ni Tufe?Kwenye dunia maji yapo contained na Ocean Basin na yanakufanyiwa Holding na Gravitational force.
Una swali
Ndiyo ni ball 100%So ikiwa hivyo ni ball ?
Na jambo linalonishangaza kuhusu ninyi,, Kuna mambo mnaona hayawezekani na mnayashangaa.Ooh vizuri,..so Dunia haipo hivi [emoji1371][emoji288]?
Dunia ni gimba sio mpira.Ndiyo ni ball 100%View attachment 2918124....
Sema hili swali umenichekesha Mzee 🤣🙌🏼..... kwamba unauliza kama hili NI ball au la 👉🏼🌍So ikiwa hivyo ni ball ?
Mdau hapo juu aliuliza level yako ya elimu kuhusu physics,Sema hili swali umenichekesha Mzee [emoji1787][emoji1373]..... kwamba unauliza kama hili NI ball au la [emoji1371][emoji288]
Hata hii nguvu inayofanya Dunia iwe stationary tunaishangaa pia,...kama tunavyoshangaa Kwa nguvu ambayo inalifanya Jua,Mwezi na kadhalika viwe kwenye motion.Na jambo linalonishangaza kuhusu ninyi,, Kuna mambo mnaona hayawezekani na mnayashangaa.
lakini kwenye nadharia yenu hiyo hiyo kwa ufikiri wenu huo mkiutumia kuna mambo ingepasa mseme hayawezekani pia ( Maana kwa upande wenu mambo ambayo yapo nje ya uwezo wenu wa kufikiri mnaita hayawezekani )
Mfano ni huu; Mnasema jua ndio inazunguka Dunia..Nguvu inayoendesha jua kuzunguka kwa uwezo wenu mdogo wa kufikiri huoni kama ilipasa mshangae na hilo pia ?
Level ukimaanisha yapo sawa bila kukosana kimo au level ukimaanisha yapo total flat kwamba hakuna circleYes swali lipo.,.. kama Dunia ni Tufe na maji yapo contained kwenye Ocean basin as you've said,....ni kitu gani kinafanya maji ya bahari yaonekane yapo level although Dunia ni Tufe?
Hahaha unajifunga sana.Hata hii nguvu inayofanya Dunia iwe stationary tunaishangaa pia,...kama tunavyoshangaa Kwa nguvu ambayo inalifanya Jua,Mwezi na kadhalika viwe kwenye motion.
The universe works in a mysterious way!
Sawa nakubali mimi ni Chekechea wa elimu zote naomba nikuulize wewe PhD Holder....... Is not this ball-shaped👉🏼🌍?Mdau hapo juu aliuliza level yako ya elimu kuhusu physics,
Mimi naongeza swali; level yako ya elimu kuhusu geography ni ipi mkuu ?
Tangu lini Dunia ni mpira ?
Answer: The Earth is RoundSawa nakubali mimi ni Chekechea wa elimu zote naomba nikuulize wewe PhD Holder....... Is not this ball-shaped[emoji1371][emoji288]?
Jibu Tu,..Kwa Yes or No,.. maelezo [emoji724]
Ni ball shapeSawa nakubali mimi ni Chekechea wa elimu zote naomba nikuulize wewe PhD Holder....... Is not this ball-shaped👉🏼🌍?
Jibu Tu,..Kwa Yes or No,.. maelezo 🚫
Yes,.. namaanisha kwanini hakuna point of sight ambayo maji yanaonyesha kwenda down through the curve of the earth,..ili kufuata umbo Tufe la Dunia?Level ukimaanisha yapo sawa bila kukosana kimo au level ukimaanisha yapo total flat kwamba hakuna circle
Umekaa wapi na ukayaangalia uelekeo gani kuthibitisha hiki??Yes,.. namaanisha kwanini hakuna point of sight ambayo maji yanaonyesha kwenda down through the curve of the earth,..ili kufuata umbo Tufe la Dunia?
Vizuri,..muelimishe na Chosen Rich aelewe maana anabisha hadi kitu anachokiona Kwa macho yake🙌🏼Ni ball shape
Absolutely true, The universe works in a mysterious way, Just see the Earth is round and gravitational works to hold everything into itHata hii nguvu inayofanya Dunia iwe stationary tunaishangaa pia,...kama tunavyoshangaa Kwa nguvu ambayo inalifanya Jua,Mwezi na kadhalika viwe kwenye motion.
The universe works in a mysterious way!