Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?


  • Total voters
    710
Yes inahitaji akili kubwa kujua space haina juu wala chini
Akili kubwa ya kukariri?

What if space ina juu na chini,..ila teknolojia iliyopo haikuwezeshi kufika juu wala chini? End - to- End?
 
Description iendane na uhalisia ili kuleta maana bila kupotosha.

Yani huo mchoro ndege inaonekana ipo kwenye space, Imetoka kabisa kwenye anga letu ( atmosphere )



Alafu nkuulize unafahamu kama kwenye space hakuna juu wala chini ?
1. Hujajibu, ulikusudia nini kutuma Ile picha?

2. Ndege imetoka kwenye anga letu?! Sio kweli,. Tazama tena kisha sema imetokaje kwenye anga letu 👇🏼.... unabisha lakini hivi ndiyo Ndege zingesafiri kama Dunia ingekua Tufe!!!

 
Kama ina juu na chini haitokua tena ni space.
Wewe kuiita space hakuifanyi iwe haina juu na chini,..ni Kwasababu hata usafiri vipi huwezi kufika mwisho wake ndiyo maana unahitimisha kwamba haina juu na chini.
Inaweza ikawa na juu na chini vizuri tu,..ila Kwa uchache wa elimu tulionao hatuwezi kugundua hilo.

Think critically.
 
1. Sijakujibu makusudi kwasababu nmeona uwezo wako ni mdogo sana kiasi cha kuhitaji ufafanuzi wa picha kama ile na namna ambavyo wewe ulielewa.

2. Ndege imetoka kwenye anga letu kwa kiasi kikubwa, Mbawa yake imepita hata orbit ilipo.

Ina maana upo serious unataka uanze hata kuibishia picha yako mwenyewe ?

Oh nmekumbuka haujui kwa uzuri Dunia tufe.
 
Ndio maana Sea Beast alisema inahitaji akili kubwa.

Wewe ya kwako bado haitoshi, endelea kuongeza maarifa.
 
Hahh,... sihitaji ufafanuzi wa Ile picha nimekuuliza tu... ulikusudia nini kutuma Ile picha?
_Ila achana na hilo swali nishajua kwanini hutaki kulijibu.

2. Duh, kwahiyo unajua mpaka Orbit ilipo? Okay,.tuonyeshe orbit ilipo


Jana ulionyesha kwamba wewe ni PhD Holder mkuu na Mimi ni Nursery,..lakini Leo unanifanya ni doubt.
 
Kwa mara mwisho nakuelekeza curvature ni popote ulipo.
Kwamba ni popote ulipo ila haionekani?! Sawa nimekubali..

Vipi na Orbit ipo wapi?

Pumzika Mkuu,.. maana nitakuuliza maswali magumu mwisho wa siku utasikia njaa sasa.
 
Kwenye huo mfano wako ( kwenye picha ), ndege haitakiwi kuonekana hata kidogo


Ungetafuta mfano mwingine.
Kwanini haitakiwi kuonekana?... wakati unaona kabisa Ndege ipo kwenye anga ya karibu na Dunia..
 
Kwamba ni popote ulipo ila haionekani?! Sawa nimekubali..

Vipi na Orbit ipo wapi?

Pumzika Mkuu,.. maana nitakuuliza maswali magumu mwisho wa siku utasikia njaa sasa.
Orbit haionekani kwa macho, ila ni feet 380,000 kutoka usawa wa bahari.
 
Easy sana kwa mtu kama mimi kujua hiyo picha ilivyokaa ndege ipo usawa gani.
Umechanganyikiwa kuona Ndege inaenda upside down in alignment with Dunia Tufe,... Kitu ambacho kwenye uhalisia hujawahi kushuhudia tokea uzaliwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…