Sea Beast
JF-Expert Member
- Aug 5, 2022
- 2,212
- 4,808
Yes inahitaji akili kubwa kujua space haina juu wala chiniDescription iendane na uhalisia ili kuleta maana bila kupotosha.
Yani huo mchoro ndege inaonekana ipo kwenye space, Imetoka kabisa kwenye anga letu ( atmosphere )
Alafu nkuulize unafahamu kama kwenye space hakuna juu wala chini ?