Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?

  • Total voters
    710
Hili halijajibiwa
 
Niambie ni ndege gani inapaa urefu huo ? Yani mabara yanaonekana ?
Hivi umeshindwa kujiongeza kwamba hiyo picha ya Dunia Tufe (inayoonyesha mabara 🌍) imekua edited ikawekwa hiyo Ndege ili kuonyesha jinsi Ndege zinapaswa kusafiri endapo Dunia ni Tufe?
 
Hivi umeshindwa kujiongeza kwamba hiyo picha ya Dunia Tufe (inayoonyesha mabara [emoji288]) imekua edited ikawekwa hiyo Ndege ili kuonyesha jinsi Ndege zinapaswa kusafiri endapo Dunia ni Tufe?
Ukiedit kwa namna hiyo unatoka kwenye uhalisia wa hata gravity inavyofanya kazi.

So mfano wako/wenu umekosa maana.
 
Kwenye huo mfano wako ( kwenye picha ), ndege haitakiwi kuonekana hata kidogo

Ungetafuta mfano mwingine.
Yes, in size ratio dunia ikionekana kwa ukubwa ule the ndege inatakiwa kuwa na size ndogo zaidi ya bacteria kabisa.

In that sense ndege itakuwa ndani ya Orbit ya dunia ambapo ni sehemu inayomilikiwa na Dunia in Gravitational Pulling...
 
Ukiedit kwa namna hiyo unatoka kwenye uhalisia wa hata gravity inavyofanya kazi.

So mfano wako/wenu umekosa maana.
Ngoja nikuulize swali,..let's say Dunia ni Tufe.

Sasa hivi ni Saa 12:47 Mchana Tanzania,.Jua lipo kwenye uso wa ardhi ya Tanzania & it's neighbouring countries.,..That means nchi ambazo zipo other side of dunia tufe ni usiku.. Si ndiyo?

So,.hiyo picha haiwezi kukosa maana kama unavyodai Kwasababu kama Ndege inatoka Tanzania sasa hivi ili iende Marekani inabidi isafiri to the other side of the earth., kama inavyoonyesha picha.

NB:- Ukishagundua kama hicho kitu(kama inavyoonyesha picha)hakipo,.. ndiyo utafahamu kwanini assumptions za :-
a. Non- rotating earth
b. flat earth
.....zinatumika kwenye elimu ya urubani.
 
.
Your browser is not able to display this video.
 
Yes, in size ratio dunia ikionekana kwa ukubwa ule the ndege inatakiwa kuwa na size ndogo zaidi ya bacteria kabisa.

In that sense ndege itakuwa ndani ya Orbit ya dunia ambapo ni sehemu inayomilikiwa na Dunia in Gravitational Pulling...
Tazama kuna video ameweka Chosen Rich hapo kisha uone kama ina tofauti gani na hiyo picha mnayobishia...both video &picha zinaonyesha description ya safari za Ndege kwenye dunia Tufe.
 
Utachoka Bure, huyu jamaa ni kilaza sana.
 
Tazama kuna video ameweka Chosen Rich hapo kisha uone kama ina tofauti gani na hiyo picha mnayobishia...both video &picha zinaonyesha description ya safari za Ndege kwenye dunia Tufe.
Tatizo siko free sana, OK nataka kujua ile picha ya ndege inamaanisha nini yaani inaleta hoja gani nijibu
 
Kwenye dunia maji yapo contained na Ocean Basin na yanakufanyiwa Holding na Gravitational force.

Una swali
Elezea how gravitational.Force iweze kuyazuia maji ya Bahari yasimwagike..
Ila ishindwe kuzuia Maji kwenye Basin yasiondoke au maji kwenye Ndoo ninapoigeuza yasimwagike..
 
Unaona akili zako sasa Mkuu,.. umepinga picha Ile kisha unakubali video hiyo? Wakati zote zinaonyesha kitu kimoja kinachoweza kutokea kama Dunia ingekua na umbo la Impossi-ball.
Yote hii inatumika kama mifano.

Swali ni je hii na ya kwako unaona vinafanana ?

Na umefahamu dhumuni la mimi kukutumia hii ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…