Ngoja nikuulize swali,..let's say Dunia ni Tufe.
Sasa hivi ni Saa 12:47 Mchana Tanzania,.Jua lipo kwenye uso wa ardhi ya Tanzania & it's neighbouring countries.,..That means nchi ambazo zipo other side of dunia tufe ni usiku.. Si ndiyo?
So,.hiyo picha haiwezi kukosa maana kama unavyodai Kwasababu kama Ndege inatoka Tanzania sasa hivi ili iende Marekani inabidi isafiri to the other side of the earth., kama inavyoonyesha picha.
NB:- Ukishagundua kama hicho kitu(kama inavyoonyesha picha)hakipo,.. ndiyo utafahamu kwanini assumptions za :-
a. Non- rotating earth
b. flat earth
.....zinatumika kwenye elimu ya urubani.