Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?

  • Total voters
    710
Nimetengeneza animation kutokana na maelezo ya jamaa hateeb10

Umefanya jambo la maana sana, Acha tuwasubiri
Subiri aje kujibu hapa😀
 
Wewe ushakimbia maswali mengi hujajibu mpaka muda huu...

Nliomba picha za kingo za Dunia ili kumaliza utata kimya!
Nilikwambia fanya research kuhusu Antarctica na nilikuuliza why kuna treaty? Ulisema hakuna treaty, na mimi niliishia hapo kuonesha hujui lolote nikakuacha.
 
Nilikwambia fanya research kuhusu Antarctica na nilikuuliza why kuna treaty? Ulisema hakuna treaty, na mimi niliishia hapo kuonesha hujui lolote nikakuacha.
Hapa tupo kujadili wote tunahitaji majibu ya hapa hapa,
Hata mimi ningeweza kukwambia ufanye research kwenye maswali mnayoyauliza
 
Hata meli inavyotokea unaona moshi kadri inavyokuja unaanza iona yote, wao wanakwambia sababu ya curve but ukichukua telescope ukazoom unaiona meli yote. No curve
 
Nilikwambia fanya research kuhusu Antarctica na nilikuuliza why kuna treaty? Ulisema hakuna treaty, na mimi niliishia hapo kuonesha hujui lolote nikakuacha.
Mwenzako pamoja na ubishi alionao alikubali kwamba ni kweli kuna kambi kule japo mwanzo alitaka kubisha.

Na hata wewe ulisema hakuna mtu anasogea kule, nkakuletea picha za watu wakitalii kule, ukaja na majibu kwamba wanaishia mwanzoni tuu ( Kwa maana hiyo ulibatilisha neno lako la mwanzo kuwa hakuna anayeenda )

Kwa haya tu ilitakiwa iwe alert kwako kuwa umemezeshwa ujinga mwingi sana.
 
Hata meli inavyotokea unaona moshi kadri inavyokuja unaanza iona yote, wao wanakwambia sababu ya curve but ukichukua telescope ukazoom unaiona meli yote. No curve
HUU NI UONGO.

Na nakuhakikishia ni uongo kwa 100%

Kupinga madai yangu leta ushahidi juu ya hilo kuwa ukizoom kwa telescope unaweza kuiona yote.

Kaka watu tumeshafanya tafiti ya yote hayo, hatuandiki kwa kukurupuka.
 
Hapa tupo kujadili wote tunahitaji majibu ya hapa hapa,
Hata mimi ningeweza kukwambia ufanye research kwenye maswali mnayoyauliza
Mbona uligoma kuelezea theory ya heloieceintric au so wewe?. Badae nitakuja na huu uzi, nikwambie dunia ina mwisho na edges zake zipo. Nipe muda wa kuandika badae nitatuma maelezo yote kuhusu antartica.
 
Okay, soma maelezo ya Bumpy Johnson alafu utupe majibu tulikua tunawasubiri
 
Mbona uligoma kuelezea theory ya heloieceintric au so wewe?. Badae nitakuja na huu uzi, nikwambie dunia ina mwisho na edges zake zipo. Nipe muda wa kuandika badae nitatuma maelezo yote kuhusu antartica.
Nligoma kuelezea "theory" ? Japo sikugoma,

Nakunukuu "Only idiots think theory is fact"
 
HUU NI UONGO.

Na nakuhakikishia ni uongo kwa 100%

Kupinga madai yangu leta ushahidi juu ya hilo kuwa ukizoom kwa telescope unaweza kuiona yote.

Kaka watu tumeshafanya tafiti ya yote hayo, hatuandiki kwa kukurupuka.
Labda nikuulize swali kwanini meli ikidisapia kwenye macho yako ambao ndo mwisho wa uoni wako (mna sema sababu ya curve) lakini nikiichukua darubini naiona tena??
 
Labda nikuulize swali kwanini meli ikidisapia kwenye macho yako ambao ndo mwisho wa uoni wako (mna sema sababu ya curve) lakini nikiichukua darubini naiona tena??
Soma vizuri maelezo yangu, Mbona nmekwambia huo ni uongo.
 
Mkuu jibu swali kwanini meli ikidisapia kwenye macho yako mnasema sababu ya curve, lakini nikitumia darubini inaonekana tena, kama hujibu sema sijibu fullstop.
Huna uwezo wa kujibu hoja, acha wenzako watakuja kukujibia.
 
BROKE BOYS jibu kwanza hapa then tuendelee
Hizo picha zote kama alivyosema ni animation hata yeye hana uhakika, ila Jua linazunguka Dunia toka kuumbwa kwa hii Dunia na haliko 93m km kama tunavyodanganywa. Nina amini katika bible sababu ndo kitabu cha kale na ndo kimeelezea ukweli juu ya uumbaji wa hii Dunia.

Zaburi 19:1​

Mbingu zatangaza utukufu wa Mungu; anga ladhihirisha kazi ya mikono yake. Mchana waupasha habari mchana ufuatao, usiku waufahamisha usiku ufuatao. Hamna msemo au maneno yanayotumika; wala hakuna sauti inayosikika; hata hivyo, sauti yao yaenea duniani kote, na maneno yao yafika kingo za ulimwengu. Mungu ameliwekea jua makao yake angani; nalo hutoka kama bwana arusi chumbani mwake, lafurahi kama shujaa aliye tayari kushindana. Lachomoza toka upande mmoja, na kuzunguka hadi upande mwingine; hakuna kiwezacho kuliepa joto lake.

Bible inaprove Jua linazunguka Dunia na lina orbit yake, hata ukisoma kitabu cha Joshua unaona Mungu alisimamisha Jua na sio Dunia, sababu jua ndo linazunguka Dunia.

Director wa NASA wernher van braun baada ya kufa kwenye kaburi yake ameandika PSLAM 19:1 amefikisha ujumbe hapo ila ndo hivyo hatuelewi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…