Yap.,umbali kutoka Duniani mpaka mwezini &Nyota ni mbali zaidi compared na umbali between Atlantic ➡️USA➡️ Africa
Zipo sababu mbalimbali zinazofanya tuone objects zilizo mbali kwenye anga na tushindwe kuona objects zilizo karibu kwenye land surface,. Nitajaribu kuweka chache hapa:-
(a) Obstacles/Vizuizi.
When looking across large bodies of water like the Atlantic Ocean, The presence of obstacles like waves, ships, and land masses,..Milima,.mabonde na kadhalika can obstruct our view. These obstacles scatter and absorb light, making it difficult for us to see objects at great distances....... Kwenye anga hakuna obstacles kama hizo that's why tunaona mbali zaidi.
(b)Mwanga/Lights,..
Objects kama Mwezi na Nyota tunaweza kuziona licha ya umbali mrefu,..kutokana na mwanga mkali ambao zina emit lakini pia kutokana na absence of obstacles kama nilivyotaja hapo juu.
Kwenye hili la macho yako kuona bahari imepinda ukiwa kwenye distance fulani,..nitakuwekea Tu mfano mwepesi 👇🏼
Chukua fimbo kisha weka kwenye ndoo yenye maji..utaona kitu gani?
Ukishaona nenda kajifunze kitu kinaitwa "Refraction" ....then utaelewa kwanini unaona bahari ina bend wakati kiuhalisia haipo hivyo it's just refraction deceiving your eyes.
Hopefully you are satisfied...