jay john
JF-Expert Member
- Sep 23, 2016
- 429
- 251
Kwanini maswali mengine mnakwepa hamjibu?soma uziutaelewa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini maswali mengine mnakwepa hamjibu?soma uziutaelewa
Na ndo huyohuyo aliesema dunia no tambarare!!MZUNGU ALIYEKWAMBIA KUWA WEWE ASILI YAKO NI NYANI NDIO HUYO HUYO ALIYEKWAMBIA DUNIA DUARA, NDIYO HUYO HUYO ALIYEKWAMBIA KUWA WEWE MTU MWEUSI NI YULE MTOTO WA NUHU ALIYELAANIWA, NDIO HUYO HUYO ALIYEKUHUBIRIA KUWA SODOMA&GOMORA KUWA WALICHOMWA MOTO KWA USHOGA BUT HUYO HUYO ANAYEKWAMBIA SASA URUHUSU HAKI ZA MASHOGA.....SASA WEWE HUONI KUWA HUYU MTU NI MUONGO KUPITILIZA.
mkuu hapa duniani hakuna MTU aliyeweza kuchimba chini zaidi ya kilometa 15,kwanza sijui utatumia kifaa gani kuna joto kali sanaMnijibu hili swali langu
Watu mnaoamini dunia ni mviringo
Hawa wanaoamini dunia duara wamenijibu swali moja na nyie mnijibu
We jamaa bana....mkuu hapa duniani hakuna MTU aliyeweza kuchimba chini zaidi ya kilometa 15,kwanza sijui utatumia kifaa gani kuna joto kali sana
www.moonphases.info/why-stars-cant-be-seen-during-the-day.html
Soma hapo mkuu kama usipoelewa labda wewe ndo utoe ufananuzi kwanini nyota hazionekani mchana. Na kama ni object tu ndio inayoweza kuzuia tusione mbele je kuna object gani Kati ya dunia na nyota? Na object hio kwanini inaonekana mchana tu usiku inapotea?
Na mwanga wa blue sio mwisho wa macho yetu kuona labda mimi sijaelewa ulimaanisha nini. Ila ule ni mwanga tu wa jua ambao pia unatuzuia tusione nyota mchana, au wewe unajua mchana nyota huwa zinapotea ndo mana hatuzioni?..
Ndivyo ilivyo kwa hili swali lako,ila kipenyo chake ni kikubwa sana na kuna joto kali kiasi kwamba kuchimba sidhani kama inawezekanaSwali langu limeshindwa kujibiwa
Itabidi na mimi niwe mwana sayansi,
Now my law
Kama dunia ni ya mviringo kama tufe je tukichimba hapa tutatokea nchi nyingine?
Kama vile unapochukua chungwa ukalitoboa kutoka upande kwenda mwingine je tutaweza tokea upande mwingine
Mkuu kwa mfano kama kuna uwezekanoNdivyo ilivyo kwa hili swali lako,ila kipenyo chake ni kikubwa sana na kuna joto kali kiasi kwamba kuchimba sidhani kama inawezekana
Aha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha kaka shkamooo!!!Mie enz wananifundisha eti dunia ndo inazunguka nilgoma had leo nmegoma sema tu in case ya kufaulu nami naandka dunia inazunguka ila sihtaj kufanya utafiti kwa kitu nachokiona kila siku kuwa jua linazunguka.
Hata ktk Biblia kuna verse moja katka Kitabu cha Yoshua inasema Mungu alisimamisha jua had Israel ikashinda vita. sasa kama Mungu alismamisha jua maanake lilikua linazunguka otherwise angesimamisha dunia kama kweli dunia ndo inazunguka,Na mimi najua Mungu hasemi uongo.
Hvyo nimebaki kumtukuza Mungu kwa huu uumbaji wa ajabu.
Unaweza kutokea nchi nyingine au kwenye maji,bahari.Kuhusu dunia kuwa ni duara wala haina ubishi,technology yote hii bado huamini suala hilo,watu wameenda space wanakaa mwaka 1 wanapiga picha zinaonesha dunia ni duara ila hao wanaosema dunia ni kama meza hawana real photo bali wanatoa michoro tu,hushtki kwa hilo?Mkuu kwa mfano kama kuna uwezekano
Tukichimba hapa tutatokea nchi nyingine?
Hii ndio prove ya mwisho kuwa dunia ni ya mviringo
Endapo kama wanasayansi wataprove hii
Basi nitaamini dunia ni ya mviringo
Maana mpaka sasa siamini nadharia yoyote juu ya hili
Kaka Asante. Umenifungua akili yangu.Hatubishani ila tunaeleweshana, kati yetu hakuna anayeja sana.
Binafsi sitampinga yeyote zaidi ya kuidadis hoja yake. Sawa kwa wanaposema duni ni tambarare unaelewa utambarare wenyewe ni upi na upo wapi? Hata hao wenye hoja ya dunia tambarare picha za hyo dunia bado huwa na hali ya utufe isipokuwa wanaponga kwa hoja zao kuwa sisi hatupo juu ya dunia mviringo kusema kuna muda nchi nyngne watu wake huwa kichwa chn miguu juu yani tupo juu ya li mpira kuuuubwa.
Wanadai maisha yetu sisi ardhini wote tupo ktk utambarare na htupo juu ya mduara ila ndani ya mduara katika hali ya utambarare mfano unapolikata chungw ktkt sisi tuwe juu ya utambarare unaoonekana chungwani, tukiwa tumezungukwa n nguvu mbalimbali zilizomo ndani yake yani tupo katik syari yenye doom, kama hema la duara hv.
Mwisho wa sik iwe tmbarre iwe duara hakuna tutakachozawadiwa zaidi ya kurutubisha bongo zetu.
Kiranga kala ban isiyo na mashiko keshatangaza kujitoa mjengoni.
Mkuu hii idea niliyotoa haijawahi kuthibitishwaUnaweza kutokea nchi nyingine au kwenye maji,bahari.Kuhusu dunia kuwa ni duara wala haina ubishi,technology yote hii bado huamini suala hilo,watu wameenda space wanakaa mwaka 1 wanapiga picha zinaonesha dunia ni duara ila hao wanaosema dunia ni kama meza hawana real photo bali wanatoa michoro tu,hushtki kwa hilo?
Mkuu ndiyo maana mie nasema kama kweli mzungu ndiyo katuletea dini ili atupumbaze na akafanikiwa,je tutamuamini vp na mambo mengine hali ya kuwa tayari ana sifa ya uongo.MZUNGU ALIYEKWAMBIA KUWA WEWE ASILI YAKO NI NYANI NDIO HUYO HUYO ALIYEKWAMBIA DUNIA DUARA, NDIYO HUYO HUYO ALIYEKWAMBIA KUWA WEWE MTU MWEUSI NI YULE MTOTO WA NUHU ALIYELAANIWA, NDIO HUYO HUYO ALIYEKUHUBIRIA KUWA SODOMA&GOMORA KUWA WALICHOMWA MOTO KWA USHOGA BUT HUYO HUYO ANAYEKWAMBIA SASA URUHUSU HAKI ZA MASHOGA.....SASA WEWE HUONI KUWA HUYU MTU NI MUONGO KUPITILIZA.
Anaitwa Galileo GalileiGalileo Galilaya aliuwawa na RC kwa kusema dunia ni duara.Halafu then Roman Catholic church walikubali kwamba dunia ni Duara na Galileo Galilei alizikwa tena upya kwa eshima yao ya RC.
Tuta mkosa kwenye nyanja kama hizi
Huna jichanganya mwenyewe tu
Hii ni post nilikutumia lakin wewe ujasoma "" """Yaan wewe ndo umenithibitishia kuwa
wazungu wametudanganya, mwanga wa jua
kuzuia nyota mchana zisionekane? , kwa
akili yangu ya kuzaliwa ukuta unaweza
kunizuia nisione kitu, mlima, majengo,
nyumba Kuna vitu vingi sana, nimekuuliza swali ili ujanijibu upo kimya ...... Mwanga wa
jua ni object? Jibu kama NDIYO AU
HAPANA , mwanga wa jua kama siyo object haiwezi kuzuia nyota mchana tusizione, umesoma physics
ipi iliyokuambia mwanga wa jua mchana
inazuia nyota tusizione, alafu mwanga wa
jua umetuzunguka katika mazingira yetu
Kuna vitu vingi tunaona.
Soma comment zako hapo juu zote mbele, alafu soma jibu langu nlilokupa kwa mara nyingine.
Nimekupa jibu kwa Nini mchana nyota hatuzioni bado unaendelea kuniuliza swali hilo, hauko makini kusoma post neno kwa neno usingeniuliza hiyo post yako juu.
Alafu unanipa link ni Google nisome sababu za nyota mchana kuto kuonekana, umeshindwa kutetea hoja yako kwa kutumia milango ya faham yako, pamoja na kufikiri, kwa hiyo wewe sasa hivi mtu akikuambia Binadamu katokana na nyani kakupa link ugoogle ujilizishe na usome inaonyesha utakubali hiyo dhana kisa umepewa link,,kisa taarifa imepatikan kwenye Google . Wakati kiuhalisia ni uongo. Google wanaandika watu wa kawaida sana.