Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?

  • Total voters
    710
Wewe uliyefuatilia hebu nipe mwanga wa hili, jamaa amesema dunia ni tambarare na maji yamezuiliwa kwa mabonge makubwa ya barafu. Swali, mwisho wa hayo mabonge ya barafu ni wapi na baada ya hayo mabonge kuna nini!
haya sasa ndio maswali muhimu! Cuz ukisema mwisho wa dunia ni mabonge ya barafu, hayo mabarafu nyuma yake kuna nini??? Kama ni uwazi bado inarudi kuwa dunia ni Duara na pengine hio ndio mwanzo wa space. Somo gumu hili,
 
Kitu kinachonifanya niendelee kuamini kuwa dunia ni duara ni usiku na mchana,yaan huku kukiwa usiku nchi zingine kunakuwa mchana........kama dunia ingekuwa flat au nusu duara,jua lingekuwa linafika katikati basi dunia nzima yaan nchi zote ingekuwa mchana lakin hiki ktu hakiwezekan lazma kwingne kuwe usku kwingne mchana,afu UN bendera yao waliitoa hvo ili mabara yote yaonekane vizuri(yaan picha imechukuliwa juu ya dunia na sio pembeni kama picha zingine zinavyoonesha)

duara ni usiku na mchana-
Vipi kama Mwezi na jua ndio vinaizunguka dunia?? usiku na mchana hauwezi kutokea???

Prove kwamba UN walilenga hicho unachosema kwenye bold red.
 
dunia inazunguka jua na mwezi unazunguka dunia,kuprove kwamba UN wa walipiga kwa kutokea juu sina ila kwa tulio soma ramani za majengo,jengo moja linaweza kuwa na picha mbalimbali za top view,side view
 
Mbona kama unabishia vya wazi na huna grounds za ukwee? Mwanga mkubwa unazuia mdogo kuonekana. Hilo ni wazi. Sasa we unakataa kwa lipi?

Iwe dunia ni mviringo au tambarare, nyota huzioni mchana mainly kwa ajili ya uhafifu wa mwanga wake kwa huku tulipo compared na jua lilivyo kali kwa kuwa karibu nasi.

Mfano ukiwa unaendesha gari usiku, mbele yako unaongozana na gari imewasha taa za breki zile nyekundu, ikitokea unapishana na gari lenye mwanga mkali sana wa taa za mbele na kawasha full, hutoona zile brake lights za alie mbele yako. Nadhani inahusika pia kwa nyota vs jua.
Nimemjibu Mwenzako fuatilia kwa makin kwa hiyo kama mbele Kuna mwanga mkali wa gari, gari litakalo toka nyuma yako au pembeni hautalion. Utakuwa sahihi kama nyota zikiwa nyuma ya jua katika mstatili ulionyooka. Ngoja nikupa kazi jicho la Binadamu linatoa volt ngapi ya mwanga. Ukipata jibu linganisha na volt ya mwanga unaotorewa na bulb ya UMEME. Hapo ndo utaelewa kwa Nini usiku umeme ukikatika unakusanya madaftar ya kusoma unaenda kulala, kwa Nini usitumie macho yako kusoma wakati Kuna giza ujuwe volt ya mwanga unaotolewa kwenye jicho lako ni ndogo, uwezo wa macho ni madogo ni sawa sawa na wakati wa mchana. Fikiri ndugu alafu hiyo link umesoma vizuri ukaelewa toa udhaifu 1 tu wa hiyo link.
 
Mfano wako wa jicho na balbu hauendani na jua kuzuia nyota kuonekana. Unaendana na kama kuna umeme na umewasha balbu ya volt 100, mshumaa hauna haja. But umeme ukikatika hatubebi daftari bali tunaweka mwanga hafifu na tunaona.

Jua likiondoka giza likatamalaki mwanga hafifu ndo tunauna. Nyota.
 
I agree.....

Kimsingi tunaishi kwenye nyakati za uongo mkuu kuliko wakati mwingine wowote ule.Mimi ninaamini kabisa kuwa kuna mambo mengi sana ni ya uongo,angalau 90% ya mambo ambayo tunadhani tunayajua ni kwamba hatuyajui kabisa.....

Suala hili la umbo la dunia ni suala ambalo huwa naliangalia kwa wasiwasi tangu siku nyingi sana,kitu pekee ambacho ninataka kujua ni sababu ya kudanganya kuhusu uongo huu wa umbo la dunia.Nataka sababu itakayobiridhisha,sababu itakayoingia akilini mwangu.....

Kibaya kabisa,kama ulivyosema kwenye maandiko yako hapo juu ni kwamba,wale ambao tunadhani tunaujua ukweli ndiyo hatuujui kabisa.Kuna jambo moja la kutisha kabisa ambalo nimejifunza katika kipindi hiki hapa duniani,nimejifunza kuwa yale mambo ya kijinga kabisa ndiyo mambo ya kuzingatia kuliko mengine.....

Labda niseme hivi,yale mambo ambayo yanaonekana kuwa ya kipuuzi kwa watu "walioelimika" ndiyo mambo ambayo ni ya msingi zaidi kuliko yale yanayoonekana ni ya "akili". Kuna "watu" wamewafanya binadamu kwua kama mbuzi kabisa na hii ni mbaya zaidi.....

Acha tuendelee kujifunza.....

Hongera sana mkuu kwa mada nzuri sana japokuwa utatukanwa na kuonekana unaishi kwenye zama za giza,usijali iko siku watakuja kukukumbuka.....

Hata mimi siku nilipoambiwa naweza kuongea na ndugu yangu anayeishi Marekani kwa kutumia kifaa kidogo kinachoitwa simu ya mkononi sikuamini lkn nilijifunza kuwa ule ndio ulikuwa mwisho wa upeo wangu kwa kipindi kile na baadae niliamini kuna simu ya mkoni na upeo wangu umeongezeka sasa. Hata nyie mnaowaponda NASA na wengine ambao hufanya safar anga za mbali sio wa kulaumiwa sbb hapo ndio mwisho wa upeo wenu, siku mkienda huko mtaamini tuuu. Fikiria siku ulipopanda ndege uliamini kama hicho chombo kinauwezo wa kuruka?? Tusipende kugandisha mawazo kwa kurudi karne 14 bali tufikiri kwa kuangalia karne ya 23.
 
Mfano wako wa jicho na balbu hauendani na jua kuzuia nyota kuonekana. Unaendana na kama kuna umeme na umewasha balbu ya volt 100, mshumaa hauna haja. But umeme ukikatika hatubebi daftari bali tunaweka mwanga hafifu na tunaona.

Jua likiondoka giza likatamalaki mwanga hafifu ndo tunauna. Nyota.

Yule jamaa kadanganya na wewe vile vile kuwa hatuoni nyota mchana kwa sababu ya mwanga wa jua, kasema blue tunayoiona angani kwa sababu ya mwanga wa jua. Mwanga wa jua umetuzunguka katika mazingira yetu kwa Nini bluu tusione . Soma vizuri hapo chin majibu umepewa
Alafu mfano wangu wa bulb na jicho sikufanani na nyota, nikitakq uniambia bulb inatoa volt ngapi ya mwanga ili ulinganishe na volt ya mwanga unaotolewa na jicho ndo ujuwe kwa Nini umeme ukikatika unakusanya madaftar ya kusoma unaenda kulala. Alafu mnyama kama simba usiku na giza anawinda uwezo wa macho yake kuona ni mkubwa volt ya mwanga unaotolewa ni mkubwa.
Nikiwaulizeni jicho la Binadamu linatoa mwanga kiasi gani cha volt amjibu mnabaki kimya. Mnatoaje majibu ambayo siyo ya physics?
Soma haya maelezo hapa chini neno kwa neno wameeleza vizuri kabisa Bluu unayoiona kwenye Anga sababu Nini, kama ni mvivu wa kusoma nimeweka alama za bracket (( )) soma hizo lakin ni vizuri kusoma kila kitu understand capacity inaongezeka

hyperphysics.phy-astr.gsu.edu/hbase/electric/lighting.html

Fluorescent Lighting
Image
Although there are a large number of lighting
options, the majority of lighting in homes is done
by either incandescent or fluorescent lights.((Fluorescent lighting has a considerable
advantage in energy efficiency over incandescent
lighting. Fluorescent lights can produce 50-100
lumens /watt compared to about 15 lumens/watt
for incandescent bulbs)) .
The familiar geometry of fluorescent lights
involve a long narrow glass tube with two
electrical connections on each of the metal caps
which seal the ends of the tube. The tube is
filled with noble gases such as argon, neon or
krypton to suppress chemical reactions resulting
from the electrical discharges in the tube.
According to Bloomfield, these gases are at a
pressure of about 0.3% of atmospheric pressure.
A few drops of mercury is placed in the tube,
and the vapor pressure is sufficient so that
something like one in a thousand of the atoms
inside the tube is a mercury atom in the gas
phase. The properties of these mercury atoms
make them very efficient light emitters by
fluorescence when they are struck by energetic
electrons inside the tube.
If electrons are removed from the mercury
atoms by collisions with high speed electrons,
they can produce light by emission (see mercury
spectrum ) when electrons make transitions
downward to fill the electron gaps produced. One
key to getting light out of the fluorescent tube is
then to produce the high speed electrons which
can "excite" the mercury atoms so that they will
produce light. This is done in most fluorescent
tubes by heating a filament in the end of the
tube, which frees some electrons . Other types
use high voltages to eject electrons from
electrodes at the ends. Once freed, the electrons
can be accelerated in the tube by the applied AC
voltage. Some of the electrons transfer energy
to the mercury atoms in collisions, so that one or
more of the electrons of the mercury atom is
elevated to an excited state. Once the electrical
discharge in the tube is started, the current must
be controlled to maintain a steady light source.
This is done by coil arrangement called a
fluorescent light ballast .
The process of producing light from the mercury
atoms is fairly efficient, but a large part of it is
in the ultraviolet rather than the visible range.
((The final transition of the electrons to the
ground state of the mercury atom produces light
at 254 nm, considerably below the blue limit of
human vision at about 400 nm)) "" HAPA NDIPO PENYE UMUHIMU, BLUU TUNAYO IONA KATIKA ANGA NDO MWISHO /KIKOMO CHA KUONA , huo mwanga wa jua unazuia mchana nyota zisionekane unatoka wapi kama siyo uongo mnaeneza toeni fact siyo mnabisha .

The ultraviolet
light does not get through the glass envelope of
the tube, but because of its high quantum energy
it can be used to advantage in producing visible
light. To produce light in the visible range, the
inside of the tube is coated with a phosphor
powder. When the ultraviolet light strikes the
powder, it produces excitations of the electrons
of the phosphor which then produce visible light
by a process called fluorescence . ((Ultraviolet
photons associated with the 254 nm uv light
have quantum energies of 4.9 electron volts,
whereas the energy range for the visible photons
which we can see is from 1.6 to 3.1 eV)) UKIULIZWA JICHO LA BINADAMU LINATOA VOLT NGAPI YA MWANGA JIBU UMEPEWA linganisha na volt ya bulb utaelewa hatuna majibu ambayo not scientific proved kama yenu . Since
((Since there are many intermediate levels for the
electrons to drop to after being excited by the uv
photons, they can produce visible photons of
light throughout the visible range, producing
nearly white light)) KWA NINI WAKATI WA ASUBUHI, MCHANA,JIONI TUNAONA Mwanga inakaribia nyeupe jibu umepewa, tambuwa visible range ni 1.6 to 3.1 eV.
Haya mambo ukitaka kuelewa hupaswi kuishia form 2 wala form 4 kusoma physics. Kipaumbele cha 1 Elimu, Elimu, Elimu. Big up professor ndalichako science ni lazima hata ultraviolet, fluorescent wata elewa ni form 4.
 
Usiku inakuaje huo ukomo wa macho? Nitarudi kwa mengine.
 
haya sasa ndio maswali muhimu! Cuz ukisema mwisho wa dunia ni mabonge ya barafu, hayo mabarafu nyuma yake kuna nini??? Kama ni uwazi bado inarudi kuwa dunia ni Duara na pengine hio ndio mwanzo wa space. Somo gumu hili,
Hilo ni swali rahisi kabisa na siyo swali la maana kwakuwa muulizaji amechanganya mambo mawili kwa wakati mmoja ambayo hayahusiani......

Kujua mtu anaumwa ugonjwa fulani ni kitu kimoja na kujua dawa ya kutibu ugonjwa huo ni kitu kingine pia.Yaani muuliza swali anahoji kuwa kama unasema mtu anaumwa ugonjwa fulani basi ni lazim ujue dawa ya kumtibu kitu ambacho siyo sahihi.....

Kujua kuwa maji ya barafu yamezuiwa na barafu siyo lazima kujua mwisho wa barafu kuna nini.Kujua kuna barafu iliyozuia maji ni kitu kimoja na kujua mwisho wa barafu kuna nini ni kitu kingine.Unaweza kujua kimoja na usijue kingine kwakuwa kujua kimoja hakukufanyi ujue kingine.......
 
Hii picha yako hapa inaonyesha the other half of the world baada ya barafu uliosema inakinga maji.
upload_2016-11-11_15-57-51.png
 
Nawauliza kama JUA limesimama mbona mnasema "JUA LIMETOKA MASHARIKI LIKAZAMA MAGHARIBI" kama limesimama je linatembeaje???
Mleta mada Niko na wewe 99% kuna kitu hakiko sawa kwa kila kitu Mzungu anatuambia. From kuwa tulikuwa nyani mpk now.
Kiukweli anga halibadilikagi always liko vile vile mchana na usiku. So kama dunia ingekuwa inazunguka ingebidi anga libadilike.
Pole sana..
 
Usiku inakuaje huo ukomo wa macho? Nitarudi kwa mengine.
Acha kuwa dhaifu wa kufikiri, hata kiingereza ujuwi kilichoandikwa hapo juu bora ukae kimya, naona kazi kujibu swali ambalo limejibiwa siyo lazima uliona hapo juu bali ni kufikiri, Na inaonyesha uwezo Wako wa kufikiri ni mdogo. .
Kuna kitu kwenye maelezo hapo juu kinaitwa visible range ya human vision umepewa 1.6 to 3.1 eV.
Swali gani la kipuuzi hilo. tambuwa kuwa volt ikizidi hapo matatizo ndo yanaanza.
Wakati ujao ukirudi Anza kujibu maswali niliyokuuliza hapo juu kwenye post iliyopita, siyo unaogopa kujibu maswali unakimbilia kuuliza tu.
Alafu swali lolote la mwanga na kuona limeelezwa hapo juu. Usiishie kusoma hayo maneno ingia zaidi ndani.
 
Hilo ni swali rahisi kabisa na siyo swali la maana kwakuwa muulizaji amechanganya mambo mawili kwa wakati mmoja ambayo hayahusiani......

Kujua mtu anaumwa ugonjwa fulani ni kitu kimoja na kujua dawa ya kutibu ugonjwa huo ni kitu kingine pia.Yaani muuliza swali anahoji kuwa kama unasema mtu anaumwa ugonjwa fulani basi ni lazim ujue dawa ya kumtibu kitu ambacho siyo sahihi.....

Kujua kuwa maji ya barafu yamezuiwa na barafu siyo lazima kujua mwisho wa barafu kuna nini.Kujua kuna barafu iliyozuia maji ni kitu kimoja na kujua mwisho wa barafu kuna nini ni kitu kingine.Unaweza kujua kimoja na usijue kingine kwakuwa kujua kimoja hakukufanyi ujue kingine.......
Inamaana binadamu kashindwa kufika huko mwisho wa barafu au? Na kama amefika kwanini picha zake hakuna? Hicho kitu hakipo
 
Ukiona watu hawakubariani na wewe ina maana una hoja dhaifu ambazo umeshindwa kuzitetea unataka watu wakubari tu kibwege bwege.
Hata waliokuwa wanaamini dunia ni flat na waliokuwa ndiyo wengi kama wewe na hiyo society watu waliwapa facts and proves ndipo wakabadirika so acha kukurupuka.
Print that Point
 
Acha kuwa dhaifu wa kufikiri, hata kiingereza ujuwi kilichoandikwa hapo juu bora ukae kimya, naona kazi kujibu swali ambalo limejibiwa siyo lazima uliona hapo juu bali ni kufikiri, Na inaonyesha uwezo Wako wa kufikiri ni mdogo. .
Kuna kitu kwenye maelezo hapo juu kinaitwa visible range ya human vision umepewa 1.6 to 3.1 eV.
Swali gani la kipuuzi hilo. tambuwa kuwa volt ikizidi hapo matatizo ndo yanaanza.
Wakati ujao ukirudi Anza kujibu maswali niliyokuuliza hapo juu kwenye post iliyopita, siyo unaogopa kujibu maswali unakimbilia kuuliza tu.
Alafu swali lolote la mwanga na kuona limeelezwa hapo juu. Usiishie kusoma hayo maneno ingia zaidi ndani.
Kweli uwezo wangu mdogo. Mi sijaona kabisa kwanini usiku visible range na hizo mavolt za macho zinabadilika tunanza kuona nyota. Hebu select tu hiko kipengele bila hata maelezo yako.
 
Hivi nyota kuonekana usiku hii ni mada mpya au bado inaendelea kuhusu nyota kuto onekana mchana?
 
Back
Top Bottom