Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?


  • Total voters
    710
Vijana wa flat earth wamelala mbele....
hahahhaa.... tatizo hamtaki kueleweshwa zaidi ya kutaka kubisha, ila kitu kuhusu flat earth kipo ktk huu uzi so hata wakilala sio mbaya kuurudia huu uzi tena na tena upate kuelewa upande wa pili wa theory ya dunia mviringo
 
na kwa wale wanaoendelea kuulizia baada ya huo ukuta wa barafu mbele kuna nini? nimekaa nikiwaza nikapata jibu hili,...: Baada ya kuta za barafu zinazokinga maji ya bahari katika theory ya dunia tambarare, mbele yake ni ngumu kujua kuna nini zaidi ya kuamini kutakuwa na barafu zaidi.. so hata kufikika itakuwa ngumu coz bado science haina vyombo vyakupita katika barafu nyingi kupita kiasi..... REJEA KUAHIRISHWA SAFARI ZA NDEGE PINDI BARAFU INAPOKUWA NYINGI, unadhani ni kwanini?
 
Ingekuwa tambarare tusingepata usiku na mchana, kuhusu uduara wa dunia vipi picha live zinazopigwa ISS na zile za voyager 1 na 2 na bado satellite kibao zinaonyesha uduara wa dunia


Very clear! You're right... Mleta mada angeturidhisha kuhusu kama dunia ni tambarare? Then why nchi nyingine usiku, nyingine mchana? I mean huku wanaona mwezi, at the same time kwengine jua?! I agree with u
 
Very clear! You're right... Mleta mada angeturidhisha kuhusu kama dunia ni tambarare? Then why nchi nyingine usiku, nyingine mchana? I mean huku wanaona mwezi, at the same time kwengine jua?! I agree with u
Ngoja nami nisubiri jibu hapa
 
Hivi broadcasting satelite Mbona uwa zina Beam specific area wakati zenyewe zinaelea tu Shani. Kama dunia igekua inazunguka si kuna kipindi signal ingekua inapotea!
 
Very clear! You're right... Mleta mada angeturidhisha kuhusu kama dunia ni tambarare? Then why nchi nyingine usiku, nyingine mchana? I mean huku wanaona mwezi, at the same time kwengine jua?! I agree with u
Angalieni video za mleta Uzi mtauona haiku na mchana unavyopatikana
 
Eh na nyie mnaamini? Hivi unajua kama dunia sio sphere kuna formula nyingi sana na theory nyingi sana za kisyansi zitakataa kuagree? Dont be dumb guys dunia is still sphere
 
Eh na nyie mnaamini? Hivi unajua kama dunia sio sphere kuna formula nyingi sana na theory nyingi sana za kisyansi zitakataa kuagree? Dont be dumb guys dunia is still sphere
How
 
Wakuu, nimeamua kwenda Google usearch hao flat earth society ila website yao naona inasema kwamba ipo hacked.

Ndiyo yenyewe niliyoingia ama sio yenyewe!?
 
Wakuu, nimeamua kwenda Google usearch hao flat earth society ila website yao naona inasema kwamba ipo hacked.

Ndiyo yenyewe niliyoingia ama sio yenyewe!?
hiyo siyo yenyewe........ search flat earth society.org
 
Nina umri wa miaka 24
Kwetu mm ni mtoto wa kwanza ambae nategemewa na ndugu zangu wakiwemo wadogo zangu na mama yangu mzazi.
Nina fani ya ujenzi na tour guide by professional ila KILA NINAPOTAFUTA KAZI NAKOSA KISA NINA UMRI MDOGO.
PIA SINA REFER
Istoshe wadogo zangu wanarudi shule mwakani na mm ndio wakuwatafutia ADA.
NAUZA PIA FIGO PAMOJA NA INI.
naombeni msaada wenu.
Pesa za masharti nahitaji
 
Ni ujinga na upumbavu, aliyeleta evidence ya Dunia kuwa spherical alitafutwa na waumini wa Dunia kuwa flat ili wamuue kisa kawakosoa! wewe unaleta ya mwaka 0 sijui tukueleweje? utakuja na kushabikia kwamba kukeketa watoto wa kike ndiyo mpango wa Mungu unakoelekea.
 
Kuna hii mada inasema Quran and BILBLE in the light of morden science bible inaonekana imefel sana kwenye scientific fact kuna theory tu ndio zimejaa ikiwemo hii ya dunia kuwa flat au mwez kuwa unawaka kwa mwanga wake wenyewe ukiangalia kwemye siku sita za uumbaji inasema iliumbwa miti na mimea kabla ya jua kisayans mimea haiwez kusurvive bila jua zipo nyingi hiiada ni katika juhud za kutaka kuprove kuwa dunia ni flat kama ilivyo kwenye bible ndio maana karud kule kule kwenye genesis ambayo kiasili ni theory za wagiriki..!..na ishu hii ilianzia America.!
 
“And the earth, moreover, hath He made egg shaped.”
[Al-Qur’an 79:30]



The Arabic word for egg here is dahaahaa1 which means an ostrich-egg. The shape of an ostrich-egg resembles the geo-spherical shape of the earth. Thus the Qur’an correctly describes the shape of the earth, though the prevalent notion when the Qur’an was revealed was that the earth was flat.

Hii ni kwa mujibu wa quran ambao umeendana sayans ya leo kuwa dunia sio flat wa duara ila ipo kwa mfano wa umbo la yai la mbuni ipo kwenye umbo la sphere.!
 
Mkuu umetoa somo zuri, ila kwemye INTRO umenichanganya! Umewaponda wazungu na elimu waliyotuletea na wanavyoendelea kutudanganya na kutuficha mambo, wakati huo huo unatuelimisha kwa kutumia lugha, vyombo na elimu hiyo hiyo ya hao jamaa..!!
dah sio kwa ubongo huo wako
 
kama kweli unataka kujua ukweli na ushahidi wa dunia tambarare, kitu cha lazima kwako ni kuwa wewe kama wewe kwa akili zako wewe, then kama ulivyofundishwa dunia ni DUARA kama mpira (mviringo) inabidi na hapa uwe tayari kufundishwa kuwa dunia ni DUARA kama sahani (tambarare)

baada ya hapo kwakuzitumia akili zako, utachanganua ipi ni ipi bila kulazimishwa na mtu wala kumkosoa mtu coz hakuna zawadi wala kombe la mshindi wa hoja na hatushindanishi hoja humu, zaidi ya kuujua ukweli kupitia mafundisho tuliyoletewa,

maswali yako na wenzako wengi yapo humu humu kwenye uzi so kama unabishana na maandishi ni ngumu kueleweshwa hata kwa ushahidi unaoutaka. kama umeshindwa kujua usiku na mchana unapatikana vp ktk dunia tambarare... fanya hivi, nenda kalale ukiamka anza tena kuusoma uzi huu kuanzia uzi wenyewe na kila aliyechangia....

NAPENDA KUKUSAIDIA TUU, MSAADA WANGU UPO KATIKA MAJIBU UTAKAYOYAPATA KATIKA MASWALI NINAYOKUPA. ILA KAMA UNAAMINI WE NI MBISHI NA HAUTAKI KUSHINDWA.. KAUSHA!!

SWALI LA KWANZA........ KUJUA KAMA DUNIA NI TAMBARARE AU DUARA MVIRINGO
kabla haujafundishwa kuwa Dunia ni Duara Mviringo, na baada ya kufundishwa hvyo. wewe kama wewe unaionaje, je ni mviringo au tambarare?... nipe ushahidi wako wewe vile unavyoiona, yaani bila kudeal na kitabu chochote kile wala elimu yoyote ile wala video wala picha, JE DUNIA NI DUARA MVIRINGO AU NI TAMBARARE?

SWALI LA PILI..... KUJUA USIKU NA MCHANA.
pamoja na nchi kutofautiana masaa na hali ya usiku na mchana... ni kwanini hakuna nchi zenye utofauti wa MASAA KUMI NA MAWILI...? yaani kama huku kwetu ni saa sita mchana, ni nchi gani itakuwa saa sita usiku? kwanini?

SWALI LA TATU.......... JUU YA KUPATA PICHA INAYOONESHA DUNIA NI TAMBARARE AU MVIRINGO.
angani ni wapi...... je picha unayoipata ukiwa katika ndege... inakuonesha nini.....utambarare au uduara? Kipi kina speed kati ya ndege na dunia?

UKIYAJIBU HAYO TUTAENDELEA KUBADILISHANA UELEWA.
Ila kabla ya yote napenda kukushirikisha kitu kimoja hivi..... hivi haufikirii kuwa kutokana na macho yetu kuwa katika hali ya uduara flani yanaweza kufanya kitu kinachokuwa mbali sana tukione katika hali ya uduara kutokana na kucover eneo kubwa la upeo. ukitumia jicho moja kuangalia na unapotumia macho yote unadhani kwanini haoni picha mbili mbili. maana yangu ni kwamba...... lens za kamera hazina utofauti na mfumo wa lens za macho yetu, ndio maana unachokiona wewe hakitakuwa tofauti na ukipiga picha japo lenzi ni ya duara ila picha itatoka mstatiri, so tufikirie kiundani kama macho yetu yanapofika ukomo wa kuona kwanini yanaform taswira ya uduara. tena hilo duara huwa ni mbele ya upeo na angani tuu ila pembeni na ardhini uduara huwa hatuuoni, huwa ni kwanini, mimi mwenyewe natafuta majibu hayo.
kwa mfano baharini, kweli meli ikiwa inakuja kutoka mbali utaanza kuiona sehemu ya juu kwa macho ila kwa darubini inaonekana yote, (kabla ya kubisha uwe umejaribu zoezi hilo) vile vile ukitazama hiyo meli kwa umbali ule ule uliouiona pindi unaangali mbele, ukiiangalia kwa usawa wa mashariki magharibi napo utaiona yote, ili kunielewa namaanisha meli inaonekanaga nusu mtu anapoiangalia kwa usawa wa mbele, lakini kwa usawa wa pembeni inaonekana yote (pitia picha ya mleta uzi).
So kama macho yetu utengeneza uduara hakuna camera itakayokwenda kinyume na macho yetu. so ushahidi wa camera ni sawa na ushahidi wa macho tuu, kwa hiyo hata watu wa flat earth wakipiga picha uduara utaendelea kuonekana labda wabuni lens zao mpya za camera zisizofanan na lens za macho yetu.
pia kwa speed inayotumiwa na dunia katika kujizungusha hata mimi nitasema hiyo live streaming ya ISS ni uongo labda wawe wameweka slow motion.
Umedadavua...Nadhan amekuelewa.
 
Hili suala halihitaji NASA hata NASA walichelewa kulijua. Jibu hoja nyepesi tu ambazo hazihitaji picha.
Hapa sio NASA tu kwanza kabla hoja dhaifu ya kuwa Ile picha yao ni doctored.hujawahi hata kujiuliza kwa nini space crafts zinapaa vertically na planes horizontal? Without knowledge of universes and space utawarudisha watu zama za mawe mkuu. Leta wewe picha iliyopigwa na FLAT earth society japo sina uhakika kama wamewahi kuvuka hata critical velocity kunyesha dunia ni flat.
- labda nikurekebishe hakunaga space craft inayoenda vertically upward kwann?
 
Back
Top Bottom