Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?


  • Total voters
    710
Usipinge fact kabla hauchunguza kwanza asa nyie mnaopinga wenyewe mnatumia source ya mzungu labda mlishafanyaga research yenu wenyewe?
 
Duhh we jamaa wa ajabu sana..hoja zote unazotoa ni zile za kupinga tu kuwa Earth sio tufe na kwamba tulifundishwa vibaya na tunapewa picha za kutungwa. Ila huleti facts za kuelewka zaidi ya hoja zinazoongeza maswali na kuendelea kung'ang'ania kuwa ulishatoa majibu(ambayo bado yanaleta maswali)... Sasa kama unasema camera zinazotumika zinafanana la lens za macho na zinatoa picha feki ya dunia kwa sababu ya lens ya duara kwaiyo hata macho yetu yanatupa picha nyingi ambazo ni feki hivyo kuna vitu vingi tunavyoviona ni feki maana unasema hizi camera ambazo zinafanana kila kitu na macho yetu haziaminiki sasa tutayaaminije macho yetu... Hizo camera mnazozitumia ardhini kuonyesha flat earth kwa nini msizitumie hizo kutupigia picha from above tukaiona jinsi dunia yote ilivyotambarare? Au hamziamini hizo camera sababu zikiwa kwa juu zinadanganya au...? Kama mnaweza kuiona meli ikiwa mbali kuwa dunia ni tambarare mziboreshe hizo kamera then mtupigie picha ya full earth..? Afu hiyo flat earth chini imeshikiliwa na nini sasa... Inaelea? Kama inaelea wat follows ukifika ukingoni mwake....?

Afu unataka kusema hapa ikiwa ni saa sita basi dunia yote ni sasa sita? Basi we noma! Hiyo ya 12+ diff ipo mzee.. Mfano Morocco ni GMT0 na fiji ni GMT +12 so tofauti ya mda baina yao ni 12 hours mzee.. Kama huamini hata hilo tafuta watu wa huko uwaulize manake nikisema usearch Google utasema wanadanganya... Na kama unaamini kama hapa kwetu ni mchana basi kuna nchi ni usiku thena wats happening hapo...inakuaje kama dunia ni flat? Hizo hoja zako zote za ndege mzee hazina maana... Hivi hujiulizi mbona nzi ndani ya gari akiwa anaruka anaenda pamoja na gari... Kwa nini asiwe anaachwa mpka anajigonga nyuma ya gari? Sababu ni sehem ya gari kwa mda huo...yupo ndani ya atmosphere ya gari... Hakuna ndege inayoweza kuruka nje ya atmosphere ya dunia mpaka ikaachwa kwa sababu ya mzunguko wa dunia.. Atmosphere ya dunia mzee inaenda mpaka 700km above surfaces na ndege haiendi zaidi ya 20km above earth.. Mambo mengine hayahitaji hata kutumia nguvu mzee.. Kwaiyo pia unataka kusema hao wanaoamini flat earth hamna hata mwenye uwezo kisayansi akaingia mashirika makubwa ya kisayansi na kutupa data za ukweli kuhusu hiyo flat earth?

Majibu ya maswali yako:
1. Haya mambo yote mzee tumejifunza tu hamna mtu amezaliwa anajua... Ila unachojifunza kinabebwa na facts.. Kama kuna ushahidi unaonekana kwa macho then its proven... Nimefundishwa dunia duara.. Wanasayansi woote hata wale wa kale kabisa wasiokuwa na vifaa vya kisasa walili prove hilo.. Mimi mwenyewe naona tofauti ya masaa hapa duniani.. Mwezi unaonekana kwa macho jua linaonekana kwa macho na zipo sayari zinaonekaka kwa mcho zote hizo ni tufe na satellites kbao hadi za watu binafsi zimejaa kibao zote zinaprove same thing..

2. Swali la pili nimekujibi hapo juu.. Chukua tu Morocco na Fiji ni tofauti ya masaa 12..na nchi nyingine zoote ambazo ni GMT 0 na GMT 12..

3. Unauliza juu ni wapi? Sasa kitu kikiwa tambarare juu ni wapi? Duh kazi ipo! Yaan we unasema dunia ni tambarare ila hamjui juu ni wapi ndo maana hamwezi kupiga picha ya dunia.... Ndege inaruka umbali mdogo sasa mzee kutokea ardhini ukilinganisha na ukubwa wa dunia..na huwezi kuona dunia nzima ukiwa juu ya ndege ila ingekuwa ni flat labda ungeweza kuiona dunia nzima.. Kama unataka picha ya dunia lazima uwe umbali wa kutosha na ndo maana nikasema nyie sasa ndo mtumie kamera zenu..mtupigie hiyo picha ya flat earth ya dunia nzima tuione..ila hampajui juu ni wapi......kuhusu speed ya ndege na dunia mzee hata ku search kidogo tu.. Aaah huiamini google...sorry! Hivi nzi na gari kipi kina speed kubwa.. Mbona nzi aliye ndani ya gari anaruka kwa uhuru anaoutaka bila kuonekana kuachwa na gari wakati gari ipo speed 130km/hr?
Umenijibu vizuri sana.... Lakini haujayajibu maswali yangu zaidi ya kutumia reference ambazo niliomba tuachane nazo na tujikite kwenye uelewa wetu kabla hatujaeleweshwa na elimu.

Ni nchi gani itakuwa sa sita usiku kama hapakwetu ni saa sita mchana? Au fiji pakiwa saa sita mchana morroco patakuwa saa sita usiku?

Kuuliza angani ni wapi sina maana sipajui, bali nilitaka kujua anga la xunia mviringo ni lipi kiasi cha watu kwenda angani. Maana ma sehemu angani kwa mtazamo wa dunia mviringo nikiwa na maana kuna uwezekano anga a south africa kwa urusi wataongelea ni chini, sijui kama umenipata.

Kwa mfano wako wa nzi ndani ya gari, bado haujanijibu kati ya dunia na ndege kipi kina speed... Au mtumie huyohuyo nzi na gari nani huwa ana speed zaidi ya kingine then nitarudi... Ila kama utabase kwenye theory ya maandiko ya dunia duara basi hauwezi kinijibu mpaka utakapojifunza juu ya theory za dunia ni flat... Bila hvyo tutumie ftafakuri zetu wenyewe.....

Hvi kati ya utambuzi wa dunia duara na urushwaji wa vyombo vya anga za mbali... Kipi kilitangulia?
 
Umenijibu vizuri sana.... Lakini haujayajibu maswali yangu zaidi ya kutumia reference ambazo niliomba tuachane nazo na tujikite kwenye uelewa wetu kabla hatujaeleweshwa na elimu.

Ni nchi gani itakuwa sa sita usiku kama hapakwetu ni saa sita mchana? Au fiji pakiwa saa sita mchana morroco patakuwa saa sita usiku?

Kuuliza angani ni wapi sina maana sipajui, bali nilitaka kujua anga la xunia mviringo ni lipi kiasi cha watu kwenda angani. Maana ma sehemu angani kwa mtazamo wa dunia mviringo nikiwa na maana kuna uwezekano anga a south africa kwa urusi wataongelea ni chini, sijui kama umenipata.

Kwa mfano wako wa nzi ndani ya gari, bado haujanijibu kati ya dunia na ndege kipi kina speed... Au mtumie huyohuyo nzi na gari nani huwa ana speed zaidi ya kingine then nitarudi... Ila kama utabase kwenye theory ya maandiko ya dunia duara basi hauwezi kinijibu mpaka utakapojifunza juu ya theory za dunia ni flat... Bila hvyo tutumie ftafakuri zetu wenyewe.....

Hvi kati ya utambuzi wa dunia duara na urushwaji wa vyombo vya anga za mbali... Kipi kilitangulia?
Aha ha ha ha ha ha ha lete nondo mkuu, eti dunia inazunguka.
 
Wengi wa wanaobisha ni wale waliojifunza dunia duara/mviringo bila kujifunza dunia ni duara/tambarare. So ni ngum kukibali wanaoabudu ng'ombe wanamuabudu mungu mpaka utakapoijua ibada yao.

Njia rahisi ni hii.. Mbali na picha na video thibitisha dunia ni duara kwa kuzielezea effect zake nami nifanye hivyo kwa upande wa flat earth..

Kwakuanza, napinga muonekano wa meli baharini kuwa ni ushahidi wa dunia duara.na nina hoja.

Napinga dunia kujizungusha tupate usiku na mchana bali linalozunguka ni jua.. Na ndio tunapata usiku na mchana.

Napinga maji kupwa na kujaa ni ishara ya ufuara mviringo wa dunia..

Nakataa utofauti wa masaa kutokana na dunia kuwa mvitingo

NB: kuna story za long tym kuwa mtu akipanda ndege anawaona watu kama vinukta, pia kama unaingia mji wowote usiku kwanini taa huwa zinakuwa na muonekano wa uviringo hata kama ni tube lyt na hao watu waonekanao kama nukta kwa chini huwa na umbo gani.

Je si sababu ya kitu kikiwa mbali ukione kama mviringo?

Jaribubkuichunguza ndege ikiwa angani kuelekea mbele yani imetoka kupaa ukiiangalia hadi inapopotelra huwa na shape gani na jee huonekana inazama kwa chini ama? Vp ukitumia darubini utaiona.?

But mi nimejitahidi kuwasoma waandishi wa dunia tambarare na kwakuwa na shule nilishafundishwa dunia duara, kuna mambo kiukweli hayana majibu ya uhakika kama sciencr inavyotaka ndio maana nipo hapa kwa upande wa pili nikiwa nataka kuthibitidhiwa kuwa dunia si tambarare kama mimi na wewe tunavyoiona bila msaada wa akili ya mzungu yeyote yule.
 
Safi vijana kwa michango, nami niongezee tu kidogo wote Bila shaka tunaamini kuwa mwezi nyota vinaliflet mwanga Kutoka kwenye jua je? Hilo jua linakuwa wapi hadi mionzi yake if I lie kusafiri hadi kwenye mwezi? Licha ya giza nene la usiku, jibu jua linakuwa millions miles on the angle around the earth hivyo kusafirisha mionzi mchache Kwenda kwenye mwezi.
 
INTRO<br />Watu wengi wanaopenda kudadisi na kutafakari undani na ukweli wa mambo.
Hivi we jamaa haujaacha tu kukopi vitu bila kuonyesha ulipovitoa?

Halafu unashindwa hata kuchuja kipi kikae kipi kisikae, umeshindwa kuhariri ili hata mtu akiamua kusoma huu ushahidi wa kuonesha umecopy na kupaste usionekane?
 
Heri ya mimi nilie mdadisi wa mambo na kuwashirikisha wenzangu kuliko mjinga na kapuku wa akil ambae unapitia post ya mwenzio kuishia kutusi hunirudishi nyuma
 
Kitu kinachonifanya niendelee kuamini kuwa dunia ni duara ni usiku na mchana,yaan huku kukiwa usiku nchi zingine kunakuwa mchana........kama dunia ingekuwa flat au nusu duara,jua lingekuwa linafika katikati basi dunia nzima yaan nchi zote ingekuwa mchana lakin hiki ktu hakiwezekan lazma kwingne kuwe usku kwingne mchana,afu UN bendera yao waliitoa hvo ili mabara yote yaonekane vizuri(yaan picha imechukuliwa juu ya dunia na sio pembeni kama picha zingine zinavyoonesha)
Rud nyuma kusoma tena kwamba kutoa mile moja up to mile 100 kitu huwa hakionekan so calculate tz mpaka marekan pana umbali gan? Na je? Huo umbal unaweza fanya muonekano wa jua o mionzi ya jua kuonekana mapema? Pili kama so kwel y bendera ya umoja wa mataifa haina ramani ya mduara?
 
Hivi we jamaa haujaacha tu kukopi vitu bila kuonyesha ulipovitoa?

Halafu unashindwa hata kuchuja kipi kikae kipi kisikae, umeshindwa kuhariri ili hata mtu akiamua kusoma huu ushahidi wa kuonesha umecopy na kupaste usionekane?
Ukijikuta sifai usiwe unafungua makala ninazotuma mbona wapenda nifatilia ndugu?
 
And here I have a question.
Kama the Earth is flat, kuna maelezo gani kwa nyakati ambapo kuna sehemu kunakuwa mchana na kwingine usiku kwa muda huohuo?
 
Ukijikuta sifai usiwe unafungua makala ninazotuma mbona wapenda nifatilia ndugu?
Sikufuatilii.
Ni basi tu sina tumbo la kuhifadhi unafiki pia vichwa unavyovikopi hua vinaonesha kuna maarifa mtu anaweza kuyapata.
Kwamba hata hujui uzi wako umeunganishwa kwenye uzi ambao ulikuepo tayari?
 
Mtoa mada hata sijui unapingana kwa nn wakat wao waliosema dunia mviringo wanadhibitisha kwa mambo mengi

Ndege kusafiri,kujua umbali na muda kati place moja na nyingine
Wanatumia latitude na.longitude kucalcalate..hizo time na distance

Nyinyi mnao sema dunia n flat waweza kuweka calculations zenu tujue ship's na aeroplane zinasafiri vipi??
 
Very convincing,but I wonder Why the Chinese,Russians,Indians And all other Nations that have travelled in space not disproved the round earth theories?
 
Maajabu ambayo mtoa post hauyajui ni kwamba kila muda yaani from 00.00 to 23.59... unaexist somewhere katika dunia yetu...(it always 7.00 am etc. somwhere).
 
-Hii thread inaonesha kuna watu ni wavivu sana wa kujifunza na kusoma.

-Mleta mada ameshaelezea kuwa jua ndio linazunguka dunia na sio dunia kulizunguka jua. Lakini cha ajabu watu bado wanaendelea kuuliza swali hili.

-Mwanzoni wa Thread mleta mada alisema kuna kundi la watu ndio wapo nyuma ya haya mambo, so hiki kikundi sio kipo Marekani tu au Russia tu. NO kipo kila mahali. Na hiki kikundi ndio kimeaminisha jamii kuwa mwanadamu ametokana na Sokwe.

-Tuliambiwa kuwa wanadamu tumetokana na nyani na akilini mwetu tukakataa katakata kabisa. Je, una uhakika gani kukwmabia kuwa dunia inalizunguka jua?

Mungu alimwambia Joshua, Simamisha Jua ili upigane vita na Jua likasimama, kwanini asingesema simamisha dunia ikiwa dunia ndio inajizungusha?
 
Back
Top Bottom