shalet
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 3,430
- 3,547
umeona kosa lako unadhani sayansi inamilikiwa na wazungu unahitaji muda kujielemisha jaribu kupitia webstite mbalimbali na kama kweli unafuatalia utajua kuna miapngilio tofauti ya nyota kila baada ya vipindi unasema ulikuwa unaona zinabadilika nyuzi kutoka 90 hadi 110 ulitumia kifaa gani?Brother, usipende kuamini mafundisho yote ya mzungu, nilijiwekeza muda kufuatilia nyota, na nikachagua nyota kadhaa zikizokaribina. Amini usiamini nyota hazibadiliki, only they change angle..kwa maana..kwa muda huo huo utaojiwekea kuzifatilia...leo utaziona nyuzi 90..baada ya siku kadhaa utaziona 110, Mara 60 Mara 40...lakini utaziona. Trust me..