Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ANGALIA CURVATURE YA DUNIA👇Nimekwambia tofautisha curvature na mwinuko😄 alafu mbona hujibu maswali yangu?
Unaambiwa zipo Antarctica [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Kaaaaazi kweli kweliKwahiyo flat earthers hizo kingo za kuthobiti maji yasimwagike zipo wapi
Dunia ni rough sio smooth kama wewe unavyoelewa, kama ingekuwa smooth round, every point ingekuwa ni curved na maji yasinge move kutoka point Moja Hadi nyingne yangekuwa stationary.ANGALIA CURVATURE YA DUNIA👇
HAKUNA sehemu yoyote hapa duniani inayoonesha any curvature of the Earth kama NASA wanavyodai dunia ni sphere.
EARTH IS FLAT! Njoo uone 👇
Spherical trigonometry za NASA zinasema. Globe ina total ya 25000 miles kwa mzunguko wote wa lile lisphere, kwahivyo kila baada ya mile moja unatakiwa kukutana na 8 inches ya curvature. Akimaanisha curvature inatakiwa iwe na total ya 8 inches per mile square. Ikiwa na maana ukitaka kucalculate unasquare mileage then una zidisha na 8 unapata curvature!
Yani kwa lugha rahisi ni kwamba unachkua square root ya umbali uliosafiri in miles, then jibu unalopata unazidisha na 8 inches unapata total namba ya curvature!
Mfano:👇
Ukisafiri 1 mile (1×1×8) = 8 inches of curvature
2 miles (2×2×8) = 32 inches
Kubadili inches kuwa feet unagawa kwa 12.
So 32 inches ÷12 = 2 feet of curvature
3 miles (3×3×8) = 72 inches
So 72 inches ÷12 = 6 feet of curvature
4 miles (4×4×8÷12) = 10 feet of curvature
5 miles (5×5×8÷12) = 16 feet of curvature
6 miles (6×6×8÷12) = 24 feet of curvature
7 miles = 32 feet of curvature
8 miles = 42 feet of curvature
9 miles = 54 feet of curvature
10 miles = 66 feet of curvature
Kadri unavoenda mbali na curvature inaongezeka
11 miles = 80 feet
12 miles = 96 feet
13 miles = 112 feet
14 miles = 130 feet
15 miles = 150 feet
20 miles = 266 feet
30 miles = 600 feet
40 miles = 1,066 feet
50 miles = 1,666 feet
75 miles = 3,750 feet
100 miles = 6,666 feet
Kutokana na hiyo theory ya NASA hapo juu☝️ ukiileta kwenye facts ambazo ni observable haifit kabisa! Iwe kwenye Ardhi au kwenye Water bodies.
Mfano hilo ziwa hapo chini(LAKE BAIKAL), ni ziwa kubwa duniani kuliko yote yenye fresh water! Lina urefu wa 395 miles na upana wa 49 miles
Tukipiga hesabu according to NASA inakua
395 miles (395 × 395 × 8) = 1,248,200 inches
Tubadilishe Inches to feet by dividing to 12
1,248,200 ÷ 12 = 104,016.66666666 feets
Tubadilishe feets kuwa miles ÷ to 5280
104,016.66666666 ÷ 5280 = 19.70 miles
Kwahiyo kwenye ziwa kwa urefu wake tulitakiwa kuona curvature ya jumla ya 19.70 miles!
Lakini mpaka sasa navyokwambia kuanzia mwanzo mpaka mwisho wa hili ziwa hata ukienda sahizi, ziwa zima ni flat hutakutana na curvature yoyote!😂🤲 Sio hapo tu sehemu nyingi sana!
Kuna video hapo chini tumepima sehemu ingine angalia!
Kinachozuia tusione mbali ni mwisho wa uoni wetu. Angular resolution limit ya macho yetu. Yanaruhusu only kuona 3 miles away from you! Ndio maan utaona meli imedisapia (Tulishajifunza angalia kwemye comments uone hiyo episode)
Tunapangwa sana, yote ni UONGO! We need to wake up
View attachment 2855580View attachment 2855581
Kingo zipo chief naandika uzi na upost soonKwahiyo flat earthers hizo kingo za kuthobiti maji yasimwagike zipo wapi
ANgalia earth altitude profile mkuu, misri kule ni bondeni ukitokea uganda,,Wazee wa Spinning Ball nina swali hapa. Kama Dunia ni globe maji ya mto nile yanawezaje kupanda mlima kwenda Egypt?? Toka lini maji yakapanda mlima?? Naombeni majibu hapa.
Watuoneshe hiyo ramani yao kwanza then tuzungumzeUnaambiwa zipo Antarctica [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Kaaaaazi kweli kweli
Mkuu wewe mwaga maji hapo nje utaona ya nakwenda kwenye mteremko na sio kwenye mlima, why?Kwanini maji yanaenda bondeni na sio mlimani?
Kama ni bondeni unarudi kuwa Dunia sio globe na ni flat ndomana maji yanakwenda Egypt. Wake up guys kuna vitu hata wewe unathink, maji yanawezaje kupanda ball???ANgalia earth altitude profile mkuu, misri kule ni bondeni ukitokea uganda,,
Yani uganda papo juu misri papo chini
TUnasubiri mkuuKingo zipo chief naandika uzi na upost soon
Kwahy we hutaki kukubaliana na point kwamba Kuna curvature na pia Kuna vilima na mabonde at the same time. Nimekuuliza pia unaamini Jua lipo? Unaamini Kuna gravity?Kama ni bondeni unarudi kuwa Dunia sio globe na ni flat ndomana maji yanakwenda Egypt. Wake up guys kuna vitu hata wewe unathink, maji yanawezaje kupanda ball???
Kama ni bondeni unarudi kuwa Dunia sio globe na ni flat ndomana maji yanakwenda Egypt. Wake up guys kuna vitu hata wewe unathink, maji yanawezaje kupanda ball???
😂😂😂😂 Nasa wanavyosema kila baada ya mile 1 unakutana na curvature ya inch8 waongo😂😂😂🙌🏿🙌🏿Dunia ni rough sio smooth kama wewe unavyoelewa, kama ingekuwa smooth round, every point ingekuwa ni curved na maji yasinge move kutoka point Moja Hadi nyingne yangekuwa stationary.
Na kitu namuambia Kila muda anashindwa tofautisha mlima na curvature. Sisi watu tunaofanya design za maji tunatumia sana concept za Dunia kuwa Duara, ila pia unaweza kuiproject Dunia into 2D.Altitute profile unaifahamu???
Au swali rahisi unaamini kilimanjaro ndo mlima mrefu africa? Tuanze hapa kwanza🤣🤣🤣
Ni kweli, Sasa hiyo curvature inatofauti na hills au bonde, angalia hii picha😂😂😂😂 Nasa wanavyosema kila baada ya mile 1 unakutana na curvature ya inch8 waongo😂😂😂🙌🏿🙌🏿
Nimeandika hapo kuhusu Curvature according to NASA lakini haijafiti kwenye maeneo mengi tu ni lies. Hakuna Gravity hizo ni theory walizokupa ili kutudanganya vizuri ni kitu ambacho ni impossible. Jua lipo na linaonekana kwa machoKwahy we hutaki kukubaliana na point kwamba Kuna curvature na pia Kuna vilima na mabonde at the same time. Nimekuuliza pia unaamini Jua lipo? Unaamini Kuna gravity?
Hapo ndo nilikuwa nakusubiria😄,Nimeandika hapo kuhusu Curvature according to NASA lakini haijafiti kwenye maeneo mengi tu ni lies. Hakuna Gravity hizo ni theory walizokupa ili kutudanganya vizuri ni kitu ambacho ni impossible. Jua lipo na linaonekana kwa macho
Mimi sikubaliani na curvature nimekwambia according to NASA na bado hizo prove zao hazifiti. Siamini kwenye curvature maana najua dunia ni flat hakuna curvture zozote mkuu.Kwahy we hutaki kukubaliana na point kwamba Kuna curvature na pia Kuna vilima na mabonde at the same time. Nimekuuliza pia unaamini Jua lipo? Unaamini Kuna gravity?
Nimejaribu kutafakari kwa kina akili imegoma kabisa.Unaambiwa zipo Antarctica [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Kaaaaazi kweli kweli
Ship VisibilityMimi sikubaliani na curvature nimekwambia according to NASA na bado hizo prove zao hazifiti. Siamini kwenye curvature maana najua dunia ni flat hakuna curvture zozote mkuu.
Hivi unavyoongea haviwezi kufanya kazi kwenye globe mkuu mbona simple tu.